"kila la kheri stars. We dream that our future will be bright. We are heading to the world cup only two steps to reach where we want to be...................................."
"Dhambi ndugu zangu ni kitu kibaya. Binadamu anataka kufanya kila kitu. Yatupasa kumuomba Mungu ili atuepushe na kila nguvu ya dhambi inayoendelea kitafuna dunia."
"Ni vena wanadamu tukajua juu ya swala shida na mahangaiko kama aliyonayo uyu jamaa, lakini anachotakiwa kujua kuwa kutoa ni moyo na si utajiri na hivyo mtu kutoa figo si kitu ambacho unaweza kuongea kibishara kama hivyo bali inapasa aongee kwa namna…"
"yaani ni hatari sana. Ipo siku jambo hili litazidi sana hapa nchini. Hii ni kwa sababu askari wetu wana njaa kupindukia na ndiyo maana wapo tayari kupoteza roho ya mtu. inatisha sana."
"Mchungaji anatakiwa kukumbuka kuwa vita ni vya Mungu na kisasi na juu yake Mungu. Wapo akina Paulo na Sila katika maandiko matakatifu(Biblia) walipigwa na kuvuliwa nguo lakini hakuwa na kisasi, pia mchungaji anatakiwa kufanya hivyo. Ila serikali…"
"Kweli Hellen; Ila nadhani shirika ni lazima lifanye utafiti wa kutosha kushirikiana na jeshi la polisi ili kubaini kama jambo hili lilitendeka kwa makusudi au ni bahati mbaya. Na kama ni bahati mbaya basi shirika linapaswa kuimarisha mawasiliano ya…"
"Usipoziba ufa utajenga ukuta; yapo mengi ya kusema ila nadhani kilichokosewa ni kuruhusu viongozi kupeleka watoto wao ktk shule binafsi na nje ya nchi. Kama watoto wa vigogo wangekuwa wanasoma ktk shule hizi basi mambo yangekuwa kama kipindi cha…"