Started this discussion. Last reply by Babengwa May 28, 2011. 6 Replies 0 Likes
Wote tunaelewa fika kuwa Tanzania ni moja kati ya nchi masikini sana hapa Duniani japokuwa ina lasilimali za kutosha. Hivi karibuni kiongozi wetu wa nchi alishindwa kuueleza umati wa watu…Continue
Added by Joan
Posted on August 17, 2013 at 23:07 4 Comments 0 Likes
Nimeamini kuwa waganga wa jadi ni wajanja sana. Baadhi ya tiba zao huendana na tukio ambalo huonekana ni tatizo sana kwa wanajamii wengi kwa wakati huo.
Yafuatayo ni baadhi ya matukio ambayo yalitokea nyakati tofauti halafu waganga uchwara wakadai kuwa wanatoa tiba zake:-
-Kunasiana wakati wa kujamiiana.
-Kujiunga na Freemason
-Na sasa ni…
ContinuePosted on August 30, 2012 at 3:00 0 Comments 0 Likes
Polisi nchini inamshikilia raia wa Lithuania kwa tuhuma za kukutwa na dawa za kulevya aina ya kokeni.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa jana na Polisi Viwanja vya Ndege Dar es Salaam jana, anayeshikiliwa ni Christina Biskasevskaja (20) ambaye ni mwanafunzi, mwenye pasipoti namba LTY 231302121 iliyotolewa Lithuania Agosti 7.
Mshukiwa huyo alikamatwa katika Uwanja wa…
ContinuePosted on April 6, 2012 at 17:00 9 Comments 0 Likes
Nimeona nije kuliweka mezani suala hili la makosa aliyofanya Lema na Lusinde(Mbunge wa Mtera) katika Kampeni za Ubunge japo ni katika vipindi tofauti. Wazo hili nimelipata baada hukumu ya Lema kutoka ambayo ni kumfuta ubunge na kumkataza kugombea ubunge kwa kipindi kisichopungua miaka mitano.
Jaji Gabriel Rwakibarila alimtia hatiani Lema kwa makosa mawili kati ya…
ContinuePosted on March 24, 2012 at 3:00 14 Comments 1 Like
Don’t worry about the calories in those Valentine’s Day chocolates – a proper celebration in the bedroom can help keep you in shape.
In fact, sex can benefit your health in many ways. Here are seven reasons to give and get a little love – not just this special day, but any time.
Sex is good for your heart. Like any…
ContinueJoaniiiiiii
Nuff Respect Nuff Love
PamoJah We Can help each other.
ONE LOVE ONE HEART ONE DESTINY!
Nimepita kusalimia jamani.Siku njema
Habari ya hapa dada mzuri
Habari ya hapa dada mzuri
© 2023 Created by Tulonge.
Powered by