"Asante Dismas nwamenipata na wanawasiliana na mimi ili kufuata taratibu za kisheria katika ngazi mbalimbali za uongozi ili niruhusiwe kumtunza. Kazi nzuri kaka. Ni mimi Grace"
"Mimi ni mtumishi wa serikal. Ninaomba nitoe msaada kwa mtoto huyo wa binti mlemavu. niko tayari kumtunza na kumsomesha. Namba yangu ni 0767 882525 sina majukumu mengi na mwanangu mdogo amemaliza kidato cha nne mwaka huu, Uongozi wa tulonge…"
"jamani mbon a mnacomment hivyo nyumba ni yake kweli kwani kuna ajabu gani, mbona wolper alipopewa gari la kifahari watu mlisema mengi hivyohivyo ooh mara la wizi , mara kahongwa, mara ninisijui mali yake hadi leo acheni mtimanyongo alopewa kapewa…"
"NI MSHAMBA KWELI MAANA WENYE PESA ZAO HAWAONESHI KAMA BAKHRESA, LOWASSA, MANJI, MFURUKI NA WAO WAKISEMA WAONESHE HUYU JAMAA ATATUPIA WAPI HIZO ELFU TANOTANO ZAKE ! HUTO TUBUNDA TUNGEKUWA DOLA JE SI ANGEUMWA?"