mkwe mbona kimya saaana? Au ndio ulishamkimbia mwanangu Lucie? Nimekukumbuka sana sana sana
Mkwe umekimbilia wapi? Mie nakuja kudai mahari. Ha haa haa
Asante sana mkwe kwa birthday wishes, mvi zinazidi kuniongezeka kichwani. LOL....
Vipi salama wote? Masomo umemaliza au bado? Nimefurahi kusikia kwako, nakutakia kazi njema na maisha mema
Hi buddy!
You're requested to join PamoJah Foundation and become a permanent member. The Foundation is aiming at assisting Orphans and Vulnerable Childrens. Be a part of us in changing the world! PamoJah We Can Change The World, Let's Get PamoJah Now!
__________________________________________________________________
Hello mpendwa! Unaombwa kujiunga na Foundation ya PamoJah na kuwa mwanachama permanent. Foundation itajihusisha na kusaidia Yatima na Watoto waishio katika mazingira magumu. Jiunge nasi katika kuibadili dunia. PamoJah tunaweza Ibadili Dunia, Tujumuike PamoJah sasa!.
http://www.facebook.com/home.php#!/group.php?gid=119375004777263
© 2023 Created by Tulonge.
Powered by