Started this discussion. Last reply by Lucie Mar 24, 2011. 11 Replies 1 Like
An American preaching couple (Reverend Mr & Mrs Stumbles) held acrusade in Kiambu where Njoroge, their Kiswahili translator, did a realmess of the whole event.. & meaningRev STUMBLE:…Continue
Tags: lucie
Mambo niaje hapa..
Lucie mzima dada?
Amani iwe kwako ndugu! Kila Siku, Saa, Dakika na Sekunde ya uhai wako mkumbuke Mungu wako hasa kwa kutenda mema. Inawezekana usiende Msikitini au Kanisani lakini unatenda yale yaliyo mema; mfano kutoa chochote ulichonacho kwa yatima na watoto waishio mazingira magumu.
Ungana nami kwa kusema NDIYO kwenye link hiyo hapo: http://tulonge.com/forum/topics/sema-ndiyo-kwa-watoto ukiambatanisha (attach) ujumbe wowote.
Mimi binafsi nasema tuwapende na kuwajali watoto.
PamoJah
Nimepita kusalimia jamani.Siku njema
Habari ya hapa dada mzuri
Lucie wangu hujambo? Naona Severin anataka chapya fimbo za mchana mchana. lol...
© 2023 Created by Tulonge.
Powered by