Tulonge

Masha waryoba
  • Male
  • Mwanza
  • Tanzania, United Republic Of
Share on Facebook MySpace

Masha waryoba's Friends

  • Tulonge

Gifts Received

Gift

Masha waryoba has not received any gifts yet

Give a Gift

 

Masha waryoba's Page

Latest Activity

Masha waryoba commented on Tulonge's blog post Wakamatwa kwa kutaka kumpindua Rais Kabila
"Ukingia kwa upanga utatoka kwa upanga!!Kabila mtoto mwisho wake hautakuwa na tofauti na wa babake!Kwa nini ung'ang'anie madaraka!!??"
Feb 8, 2013
Masha waryoba commented on Tulonge's blog post Kigoma: Rais Kikwete akutana na Nasib Abdul “Diamond” Ikulu ndogo
"Daah!!sijawahi ona presedent aliye na rariba loose kama kikwete!!ila simshangai kwani hata last week alikuwa Amerika akakutana na msanii wa R&B Robert Kelly!!Unachoma Kodi ya watanzania ssb ya wasanii!!?hahaha"
Feb 6, 2013
Masha waryoba commented on Tulonge's blog post Hali ya afya ya Msanii Matumaini siyo nzuri
"Duuuh!!Pole sana Dada Matumaini,Tunakuombea kwa Mola,upate afya njema."
Jan 23, 2013
Masha waryoba commented on Tulonge's blog post Sakata la Gesi Mtwara/Lindi: Tazama moja kati ya mabango ya wananchi
"Ukiona Moshi unafukuta,ujue Moto uko kwa ndani!!Tumechezea mikataba ya Madini,hatimae Gas!Dharau viburi,vimewajaa viongozi wetu!!Kamati ya hesabu za Mashirika ya Umma(PAC)ni juzi tu imebaini Udanganyifu kwenye mkataba wa uchimbaji wa gas…"
Jan 20, 2013
Masha waryoba commented on Tulonge's blog post Mwanafunzi wa sekondari ajinyonga kwa mtandio
"Pole kwa Familia ya huyo kijana!ni mdogo sana,Taifa limepoteza nguvu kazi!lkn maadili kwa vijana yameshuka sana,kuna ulazimu wa kutoa elimu ya ushauri nasaha mashuleni na kwenye Jamiii,kwani kujiua siyo njia ya kusolve ttz."
Jan 20, 2013
Masha waryoba commented on Tulonge's blog post AFCON 2013 yaanza na mdudu wa sare
"Hiyo kweli!maake kuna Miamba iko hapo;ambayo Bafanabafana asipojipanga atakula kichapo cha kutosha!!"
Jan 20, 2013
Masha waryoba commented on Tulonge's blog post Picha nyingine jinsi wanafunzi wa IFM walivyo dhibitiwa (picha 6)
"Ifike kipindi tuchukue hatua vijana nchini tanzania,hiii ndo nchi inayosifika kama kituo cha Amani!!!wakati vitendo vya Askari kuua na kunyanyasa raia vimekuwa vikiripotiwa kila kukicha!!hebu kwenye katiba mpya Tuweke maoni ya Wanafunzi wote kuanzia…"
Jan 20, 2013
Masha waryoba commented on Tulonge's blog post AFCON 2013 yaanza na mdudu wa sare
"Bafana bafana yawapasa wajipange,kwani hawakupaswa kutoa droo!coz ukizingatia tim wanayocheza nao lengo lao lilikuwa ili mradi kufuzu,ili waje kushiriki,Je Afrika kusuni kama wenyeji wa mashindano watafuzu kuingia round ya Robo fainali!!!!?"
Jan 20, 2013
Masha waryoba commented on Tulonge's blog post Matokeo ya kidato cha pili aibu
"Hayo matokeo ni lazima yawe hivyo,ttz liko pande zote!serikali haiko serious,walimu ndo usiseme,wazazi wenyewe hawako commited kwa watoto wao,ukija kwa wanafunzi wenyewe ndo basi!!wako busy na mtandao wa kijamii!tunajenga taifa gani!!?"
Jan 12, 2013
Masha waryoba commented on Tulonge's blog post Aliyepiga picha na Lema jela miaka minne
"Kijana kapoteza nguvu kazi ya miaka miwili kisa,kuitwa MJEDA!!!duh,komaa mzee miaka 2 siyo mingi sana,ukitoka utakuta bei ya bia Tsh 5000/=kwenye grocery za mererani."
Jan 12, 2013
Masha waryoba commented on Tulonge's blog post Ndege 3 za Serikali zaenda kwa Milioni 1.5/-
"Hiyo ni mali ya umma!Fedha iliyotumika kununua hizo ndege ni ya walipakodi,wavuja jasho nchi hii!!viongozi yawapasa kuwa makini,ilitakiwa hizo ndege ziwe zimekatiwa bima Kubwa inayoendana na thamani ya ndege hizo.Ujanja ujanja mpaka lini…"
Jan 4, 2013
Masha waryoba commented on Tulonge's blog post Hatimaye mwanajeshi aliyepiga picha na Lema akamatwa
"Mbona huyu bwana mdogo kajitafutia kesi isiyo ya lazima!!?Kwanza unaanzaje kuvaa sare za askari wakati ww siyo Askari,kwa maana kwamba unaihujumu nchi kwa kutumia nyara za serikali,ikiwemo combat ya jrshi!duh pole yake!!"
Jan 4, 2013
Masha waryoba commented on Tulonge's blog post Msikilize Msanii wa Bongo Fleva 'Barnaba' akifunguka kuhusu kupewa nyumba London
"Mbona bado sijaelewa mie!Nani kampa hiyo nyumba barnaba."
Jan 3, 2013
Masha waryoba replied to EDDY Mhando's discussion Utapeli Wa SENEGALES IN DAKAR
"Hao hawana Jipya!Mie mwenyewe nilitumiwa ujumbe toka Thailand,na mwanadada akidai ni mjane na mumewe kamwachia Urithi wa £256million.Akanitumia mpaka na Document kibao!Baada ya kutrace zile document!hakukuwa na yoyote iliyo sahihi,zote…"
Dec 29, 2012

Profile Information

Occupation
None!!
Email Address
mashawaryoba@yahoo.co.uk
Phone No
+255767086000

Comment Wall

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

  • No comments yet!
 
 
 

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*