"Jamani hali inatishia amani! Kweli tutategemea kupata viongozi wa kesho kwa mtindo huu!? Unaweza kupata kesi ya kuua bila kukusudia endapo unakutana na mtoto wako akifanya upuuzi huo! Hii ni hatari."
"Tatizo watanzania tumezidi ushamba, kiasi kwamba maafa mengi yanatokea kutokana na uzembe wa baadhi watu.
Ukiangalia hilo tukio la michezo ya pikipiki, watazamaji wamejisahau kiasi kwamba hawajui kama ajari inaweza kutokea.
Hatuna budi sasa…"
"Huyo dada mjane wa Kithailand hata mimi kanitumia akisema ana hizo pesa na anaogopa kudhurumiwa na shemeji zake. yaani ni wataalam wa kutumia lugha nzuri na yenye kuvutia. kwa kusema ukweli tuwe waangalifu wezi ni wengi sana kwenye mitandao hii ya…"
"Mr. Eddy hao mbona tumeshawazoea mimi nimeshatumiwa na sms na madada wawili nimeshawabana kisawasawa matokeo yake siku hizi hawatumi hata sms. maelezo yao yote yanafanana eti ni yatima wako uhamishoni na mengine kibao. Tujiangalie jamani."