Started this discussion. Last reply by Babengwa May 25, 2011. 11 Replies 3 Likes
Inanikera sana,Imekuwa ni kitu cha kawaida sana kwa wanawake kuonekana malaya sana pale inapogundulika ametembea na mwanaume mwingine nje ya ndoa yake,hata kama ni mara moja tu. Lkn mwanaume akitoka…Continue
Started this discussion. Last reply by Babengwa May 31, 2011. 4 Replies 0 Likes
Siku chache zimepita toka milipuko ya mabomu kutokea katika kambi ya jeshi Gongo la Mboto.Hii ni mara ya pili kwa tukio kama hili kutokea baada ya lile la mwaka 2009 huko Mbagala.Mimi nilidhani lile…Continue
Started this discussion. Last reply by Silas A. Ntiyamila Jan 22, 2011. 15 Replies 0 Likes
Kumekuwa na matukio mengi ya mimba zisizo tarajiwa. Unadhani nani wa kulaumiwa kati ya msichana na mvulana? Toa sababu kutetea pointi yako.Continue
Heri ya Krismas na Mwaka mpya wenye mafanikio tele. Ubarikiwe sana.
Diana how r u?
Kwema huko ulipo?
bilashaka mambo yako yako sawa.
kila laheri nakutakia
imenifurahisha sana
Nimepita kusalimia jamani.Siku njema
Habari ya hapa dada mzuri
Kwema hapa?
Habari ya siku nyingi.
© 2023 Created by Tulonge.
Powered by