Pole sana kwa baridi, inapasa unywe maziwa na matobolwa kwa wingi. Sie tuliozoea baridi hiyo ya hapo Shinyanga tunaona bado ni joto. Mwaka jana nilikuwa nchini Namibia kikazi, kuna sehemu kuna baridi kali hata ile ya Mbeya haioni ndani.
Usihofu... hapa ndio makazi yangu ya kudumu, hivi sasa najihusisha na project ingawa muda mwingi nafanyia kazi nyumbani sababu ya watoto. Unajua tena huku hawana utamaduni wa housegirl kama Tanzania, hivyo ukiwa na watoto unakuwa busy hadi hapo watapoanza university ndio unapumua. Unafundisha Primary school au Secondary school ili nikuletee wanangu shuleni kwako? He hee hee heee...
Asante Mihayo, hiyo sehemu sijapata isikia ila nimefika Shinyanga mjini na Mwadui 1980s kutembelea rafiki. Napenda shinyanga kuna viazi vitamu vizuri sana. Mie niko Uingereza ndugu yangu tunapambana na baridi. Natumai ulikuwa na weekend njema, nakutakia Jtatu njema.
Comment Wall (4 comments)
You need to be a member of Tulonge to add comments!
Join Tulonge

I strongly agree with you Mihayo. Karibu sana, upo sehemu ipi Shinyanga?
Hi Mihayo! Karibu sana Tulonge