Tulonge

Mjata Daffa
  • Male
  • Dar-es-salaam
  • Tanzania, United Republic Of
Share on Facebook MySpace

Mjata Daffa's Friends

  • Moreen
  • Tulonge

Gifts Received

Gift

Mjata Daffa has not received any gifts yet

Give a Gift

 

Mjata Daffa's Page

Latest Activity

Mjata Daffa commented on Tulonge's blog post Mambo yameanza Uganda: Benki ya Dunia 'yaibania' msaada wa dola milioni 90
"kaza BUT museveni usitishike bora kula nyasi kuliko kuuza uhuru wako"
Mar 1, 2014
Mjata Daffa commented on Tulonge's blog post Mapacha waliotenganishwa warejea
"watoto wazuri mashallaaaaaaaaah, acheni mungu aitwe mungu hakunalinaloshindikana kwake"
Feb 20, 2014
Mjata Daffa commented on Tulonge's blog post Mwanamuziki Lady Jaydee aanza kufanya mazoezi ya Karate
"nimekukubali mama, nadhani unajiandaa na wale jamma wa CLOUDS, ila kwamkwala huo hawata kuchezea tena."
Feb 19, 2014
Mjata Daffa commented on Tulonge's blog post Waganga wa siku hizi wapo wazi kabisa
"asante sana dada yangu bahati nzuri nilikuwa na WIFE  kama kawaida yetu ikabidi nimtanie nikamwambie nakwenda kununu ile dawa alicheka baadae akakichukua kile kikaratasi na kukichana. sijui alizani nitaenda kweli hahahahahaha. woga wake tu hata…"
Feb 18, 2014
Mjata Daffa commented on Tulonge's blog post Waganga wa siku hizi wapo wazi kabisa
"Nchi hii sasa imegeuzwa shamba la bibi, hata wewe ukiwa na chochote unaweza kubandika popote na hutaulizwa na yeyete. mfano leo nikiwa naendesha gari kuelekea ofisini alipita kijana dirishani akanitumbukizia kikaratasi cha tangazo linlosema Njoo…"
Feb 18, 2014
Mjata Daffa commented on Tulonge's blog post Rais Kikwete awakabidhi kadi za kujiunga na CCM baadhi ya wasanii maarufu Tanzania
"Dix atakae kuchukia hajui maana ya democrasia, uko huru kusema unavyofikiri bila ya kuingilia uhuru wa mwinzio. BIG UP, Lakini nakukumbusha kido msanii kujiunga na CCM siojambo geni, Hadija Kopa, Viki Kamata, Asha Baraka na wengine wengi walijiunga…"
Feb 7, 2014
Mjata Daffa commented on Tulonge's blog post Rais Kikwete awakabidhi kadi za kujiunga na CCM baadhi ya wasanii maarufu Tanzania
"wakinuna shauli yao wakicheka kivyao, mbona Mr. J alijinga na chadema. mambo yote CCM ila msije tugeuka! maana wasnii kama jina lao wanaweza kufanya usanii popote pale."
Feb 5, 2014
Mjata Daffa commented on Tulonge's blog post Habari mbaya kwa walaji wa Kitimoto: Huenda wengi wao wakaja kupata kifafa
"Zainabu ngoja nikakutafutie AYA kwenye Bible, halafu tuendelee na mjadala maana wewe unaonekana unapenda ushahidi. lakini umeshawahi kusoma BIBLE? nisijekupa aya ukaikataa"
Jan 28, 2014
Mjata Daffa commented on Tulonge's blog post Habari mbaya kwa walaji wa Kitimoto: Huenda wengi wao wakaja kupata kifafa
"Kwa sababu mimi na wewe ni wavivu wakusoma ndio maana unauliza kama hilo "which part in the Bible" nakushauri kama unaishi na msabato karibu ambae anaiamini BIBLE kama wewe muombe akuonyeshe hilo andiko hi. Pia hujakosea kuwa upande wa DIC…"
Jan 28, 2014
Mjata Daffa commented on Tulonge's blog post Habari mbaya kwa walaji wa Kitimoto: Huenda wengi wao wakaja kupata kifafa
"Kaka DIC, nakushauri kuaacha tu, hamna njia nawala usimzalilishe PROFESA kwa sababu ya tamaa binafsi mpaka amepata uprofesa maana yake dunia imemkubali kwa tafiti zake iweje wewe mwenzangu mimi umkosoe? angalia usije ukawa wewe ndio umekurupuka…"
Jan 27, 2014
Mjata Daffa commented on Tulonge's blog post Habari mbaya kwa walaji wa Kitimoto: Huenda wengi wao wakaja kupata kifafa
"Kwani lazima kula? Dawa ni kuacha tu, nawashauri watumiaji wa kitoeo hiki wajifanye waisilamu kwa muda. mpaka utakapo patikana ufumbuzi wa gonjwa hiii. KIFAFA NOMA jamani.hakichagui pakukuangushia popote pale. poleni sana walaji wa ngurue…"
Jan 24, 2014
Mjata Daffa commented on Mama Malaika's blog post Museveni Akataa Kuidhinisha Mswada (Adhabu Kali) Dhidi Ya Mashoga Akiogopa Nchi Wafadhili Kusitisha Misaada Kwa Uganda
"Hatuna viongozi Afrika wote ni vibaraka wa wazungu, Mseveni njaa ndio inamsumbua mbona mwanzo alilaani vitendo vichafu vya ushoga?"
Jan 18, 2014
Mjata Daffa commented on Tulonge's blog post Rais Kikwete aongoza mamia ya waombolezaji katika mazishi ya Dkt. Mgimwa
"Poleni sana wanafamilia, wanakalenga na wana CCM kwa ujumla."
Jan 8, 2014
Mjata Daffa commented on Tulonge's blog post Kama na wewe huwa una'tweet' fitna na majungu juu ya Mh.Halima Mdee basi hii inakuhusu
"wacha siasa fanya kazi tuone, siasa za maneno zimepitwa na wakati, watanzania wanataka matokeo sio kuona vijembe mitandaoni. Timiza kwanza ahadi ulizotupa KAWE wakati wa kampeni otherwise 2015 M4C itakukumba hatuta angalia sura. (Peoples Power)."
Jan 6, 2014
Mjata Daffa commented on Tulonge's blog post Pale Rais wa Angola alipomlipa Mariah Carey bilioni 1.6 kwa onesho la dakika 120
"thank you for your quick understanding ndio maana nawapenda wanatulonge ni wepesi kuelewa.  kwakweli mtu yeyete unapoona jamii fulani inanyanyaswa kwa sababu ya imani yao lazima ikuume ndiomaana mm na ww imetugusa nakuchangia mada hii. hebu…"
Jan 3, 2014
Mjata Daffa commented on Tulonge's blog post Pale Rais wa Angola alipomlipa Mariah Carey bilioni 1.6 kwa onesho la dakika 120
"Mama M, binafsi sijasikia kemeo wala kuona juhudi yoyote iliyofanywa na wanaharaki pale amri yakuvunja miskiti ilipotolewa, labda mm nilipitwa nahiyo habari kama kweli walinyanyua sauti zao kukemea uovu huo basi watakawa balance ktk kushughulikia…"
Jan 3, 2014

Profile Information

Occupation
Sales Manager
Email Address
daffa@raha.com
Phone No
0784220018

Comment Wall (3 comments)

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

At 23:25 on September 17, 2013, Moreen said…

Thanx for the add Mjata. Mambo?

At 21:14 on August 7, 2013, Mama Malaika said…
Ha haa haaa... Mjata angalia usije kuta unatania wakwe zako. Salama lakini? Mie naomba kazi ya kufuta vumbi humo kwa office yako.
At 11:20 on May 14, 2012, Tulonge said…

Karibu tulonge Daffa, msalimie mwizi Omari.

 
 
 

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*