Tulonge

Monica
  • 46, Female
  • Dar es salam
  • Tanzania, United Republic Of
Share on Facebook MySpace
  • Blog Posts
  • Discussions (4)
  • Groups
  • Photos
  • Photo Albums
  • Videos

Gifts Received

Gift

Monica has not received any gifts yet

Give a Gift

 

Monica's Page

Latest Activity

Monica commented on Tulonge's blog post Taarifa kamili kuhusu Chadema kuwavua uongozi Zitto, Dk Kitila na Mwigamba
"MM ni kama Yuda eskariot,yaani zito Kabwe ni balaa,usaliti upo kila mahali,ukifuatilia Kwa makini ni kweli alitulizwa na fedha za walipa kodi,tunalazimishwa tununue mashine na kulipa kodi kumbe fedha zetu wanafaidi wachache.mmmmmmmmmmm,mwisho Wa…"
Nov 26, 2013
Monica commented on Tulonge's blog post Mfanyabiashara wa Mwanza aua kisha kujiua Ilala Bungoni DSM
"Mapenzi ya uzeeni hayo,katika makuzi ya binaadamu kuna hatua za kupitia,wanasaikolojia wanasema mtu akiruka hatua yeyote lazima airudiee,inawezekana jamaa aliruka hatua Fulani za malovee,sasa kapata dozi ambayo ni adimu hataki kushare,.sijui mungu…"
Nov 20, 2013
Monica commented on Tulonge's blog post Vidume wa Tulonge mmeuona ujumbe huo? mnakubali au la?
"Severine unapenda kukunja!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!eeeeeeeeee,hala hala usije ukawa Nyoka Wa kibisa asiyeuma,"
Oct 28, 2013
Monica commented on Tulonge's blog post Vidume wa Tulonge mmeuona ujumbe huo? mnakubali au la?
"Anjela ukiona Nyoka kanyanyua kichwa ujue yupo tayari kutoka ushirikiano na mate atarusha,Hapo hajalazimishwa,wengine unaweza kupiga jeki akaishia kutepeta Kama bamia lililooza,ukiona mwanaume umempeti akakubali na kutapika huyo alikuwa mbali tu?,"
Oct 28, 2013
Monica commented on Tulonge's blog post Vidume wa Tulonge mmeuona ujumbe huo? mnakubali au la?
"Du,kaukweli kamo jamani,nauliza swali ,hivi wanaume nao wanaweza kubakwa au kulazimishwa tendo?"
Oct 28, 2013
Monica commented on Tulonge's blog post Mtoto wa msanii Afande Sele ambaye uwezo wake darasani umemfanya aanze kidato cha kwanza akiwa na miaka 11
"Mizizi imefanya kazi,"
Oct 21, 2013
Monica commented on Tulonge's blog post Diamond amwaga chozi la furaha akifanya show Malaysia
"Mmmmmmmmmmmmmmmmmmmm"
Sep 23, 2013
Monica commented on Tulonge's blog post Video: Hatimaye Mandela aruhusiwa kutoka hospitali
"Amepona kweli au gharama za hospital zimekuwa kubwa?"
Sep 2, 2013
Monica commented on Tulonge's blog post POLENI wadau wangu kwa kuwa kimya kwa muda, admin yupo hoi na majukumu
"Pole mkuu,"
Jul 20, 2013
Monica commented on Tulonge's blog post Matokeo ya Uchaguzi katika Kata Nne za Arusha
"Kama ni matusi hata CCM wanayo tena makubwa na wanajiamini Kwa vile chama chao ndio lipo madarakani,.chadema ndio wametufumbua macho kuhusu mambo mengi ambayo yalikuwa na manufaa Kwa wachache,.nashukuru sana upinzani angalau watendaji Wa CCM wakuwa…"
Jul 16, 2013
Monica commented on Tulonge's blog post Matokeo ya Uchaguzi katika Kata Nne za Arusha
"Chaliiiii,AIBU juu Yao,mwigulu jipange tena,."
Jul 15, 2013
Monica commented on Tulonge's blog post Wakati mwingine kifo huwa kimetulia zake ila kuna watu wanaki-beep, hebu angalia hii bembea (picha 4)
"Kila nafsi itaonja Mauti,.kufa ni kufa mbaya kutangulia,.hata Kwa fimbo au ahadi ya mamilioni bado sijabembea,.Anjela Hiyo bembea unaipandia kwenye mti wenye ngazi kwani ukisimama chini huwez kuipanda,.neno kilema halichezi mbali na wewe,.Dismas…"
Jul 11, 2013
Monica commented on Tulonge's blog post Picha za mpambano wa masumbwi kati ya Wolper VS Mdee, na Aunt Vs Bulaya
"Nimekupata brother D."
Jul 8, 2013
Monica commented on Tulonge's blog post Picha za mpambano wa masumbwi kati ya Wolper VS Mdee, na Aunt Vs Bulaya
"Tamasha la matumaini mtoe taarifa ya fedha iliyopatikana itasaidia nini katika jamii mbali kuwa chanzo chenu cha mapato"
Jul 8, 2013
Monica commented on Tulonge's blog post Teh teh teh! hivi ndivyo huwa ukioga maji baridi sehemu ya baridi kama Mbeya
"Mmmm,.hiyo ni stail ya maji ya Mvua bombani,je yaliyo kwenye ndoo unatakiwa ujimwagie mwenyewe una anzia wapi ?"
Jun 26, 2013
Monica commented on Tulonge's blog post Arusha: Kitu kinachosadikiwa kuwa ni bomu chalipuka kwenye mkutano wa CHADEMA Soweto
"Sio bure,.wana Arusha msiogope kujitokeza kupiga kura,mpaka Hapo mmeshajua mumchague nani?chadema ni watetezi Wa ukweli ndio maana wanapigwa vita,.ipo siku"
Jun 15, 2013

Profile Information

Occupation
Bussines
Email Address
Monica.msaky@yahoo.com
Phone No
0784445219

Comment Wall (1 comment)

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

At 22:26 on January 3, 2013, Mama Malaika said…

Habari yako Monica?

 
 
 

© 2023   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*