"Mchungaji huwa anachunga walao majani. Sawa kabisa kwa waliokubali kula hayo majani wacha wachungwe kwa kupelekwa malishoni kila siku wakale majani yao."
"Jamani tusipotoshane hapa barabara zitafungwa muda ule tuu wanaopita na wala haizidi nusu saa.
Pia airport itafungwa for one hour only nusu saa kabla ya kufika na nusu saa baada.
Mkuu wa mkoa ameshatolea maelezo yote hayo jana ITV. Watu tusiahirishe…"
"Sawa kabisa Dada Hellen huyu mtu anatimiza amri ya Mungu ya kumpenda kwanza jirani kama alivyompenda Mandale kwa vile anamwona ndio anaweza kumpenda Mungu asiyemwona pia.
Kwasababu kama huwezi kumpenda unamwona utampendaje usiyemwona?"
"Mama Malaika ni sawa unavyosema lakini ukumbuke huku nyumbani barabara zetu ni chache kama ile yakutoka airport ni moja tuu kwa hiyo kufungwa ni lazima. Huwezi kulingamisha na huko kwenye barabara za juu na chini na trani pia.
Pili hatuna mahoteli…"