Ndekia has not received any gifts yet
|
Habari ya siku nyingi.
Amani ipo hapa?
Nipo ndekia,asante kwa salamu.vp habari za masiku.
Haloo kiumbe mwenzangu mimi nipo bana mambo mengi tuu najaribu kukupigia number yako ya tigo haupatikani wakati wote au baada ya kuoa uliamua kuitoa nini ha ha ha ha
Mambo mengine Mungu anasaidia, tunasongesha mdogo mdogo.Pa1 sana
Duh! kaka upo? niliona salam yako pale kibarazani, nilipitiwa na ucngizi kidogo.Pa1 sana
Hongera sana, mara mshakuwa watatu? Ndio maana ulipotea, sasa ndio kazi inaanza. Ila raha sana kuwa baba. Ha haa haa haa....
Next time nikija natumai tutaonana. Ila nitajitahidi nikupigie hapa katikati siku moja tuongee. Upo Dar kwa sasa au nje ya Dar? Msalimie sana mkwe na mpe hongera, salimia pia huyo kijana
Asante sana! Pole sana na majukumu. Vipi umeshazoea maisha ya wawili? Ha haa haa
Mie mzima wa afya ila nimekukumbuka sana sana. Msalimie sana mkwe
Ndugu unapotea sana hapa kijijini. Sio poa hivyo bwana!
© 2023 Created by Tulonge.
Powered by