Tulonge

Omary
 • Male
 • DSM
 • Tanzania, United Republic Of
Share on Facebook MySpace

Omary's Friends

 • Halima Omary
 • STEPHEN IRUNGU NJOKI
 • chris deol
 • Georgia Mushashu
 • Elias Clement
 • ANGELA JULIUS
 • Vitus
 • Friday Kyando {The Concluder}
 • Jeath Justin Prosper
 • Belita
 • Mama Malaika
 • sia
 • LATIFA MOHAMMED
 • ABD
 • Dunda

Omary's Discussions

Nawapenda woooote

Started Apr 30, 2015 0 Replies

Ndugu zangu wana tulonge Habari za sikunyingi?,Nimekuwa kimya kidogo nafikiri kwakuwa majukumu yameongezeka, pia nimegunduwa kitu: nyumbani kwetu watu wapo free mno kulinganisha na ughaibuni.Maana…Continue

TIME & LIFE

Started Nov 13, 2012 0 Replies

When a bird is alive,it eats ants;when the bird is dead,Ants eat the bird!Time & circumstances can change at any time!.....Don't devalue or hurt anyone in life.You maybe poweful today;but…Continue

KISA CHA KWELI....SOMA UPATE MAFUNZO MAKUBWA.....

Started this discussion. Last reply by Wiseborn Makaka Dec 21, 2012. 4 Replies

KISA CHA KWELI....SOMA UPATE MAFUNZO MAKUBWA..... USIKU WA HAMU.................. Kijana mmoja mzuri mwenye nafasi nzuri ya maisha, aliamua kuoa. Hivyo alipata mchumba mwenye nisabu yake. Alifanya…Continue

MPENDE MAMA

Started this discussion. Last reply by Georgia Mushashu Mar 14, 2013. 8 Replies

Daima mpende na umjali saana MAMA, kumbuka MIEZI 9 ulikaa tumboni mwake, MIAKA 2 ulinyonya maziwa yake, Kitanda chako mapaja yake, Bembea lako mgongo wake, ulimpaka kinyes na mkojo kwa kadri…Continue

Gifts Received

Gift

Omary has not received any gifts yet

Give a Gift

 

Omary's Page

Latest Activity

Omary posted a status
"Jamani wazima? humu ndani, habari za masiku tele? Happy Mather's day to all mather's, I love you."
May 8, 2016
Mama Malaika left a comment for Omary
"(((( Omary )))))"
Sep 2, 2015
Omary posted a discussion

Nawapenda woooote

Ndugu zangu wana tulonge Habari za sikunyingi?,Nimekuwa kimya kidogo nafikiri kwakuwa majukumu yameongezeka, pia nimegunduwa kitu: nyumbani kwetu watu wapo free mno kulinganisha na ughaibuni.Maana hapa muda wako wa siku7 za week umeshaupangilia ni utaufanyia.Pamoja na kukosa muda, ila bado nawakumbuka woote nawaombea kwa Mungu muwe na afya njema na mungu akipenda tuje onana.Amani iwe juu yenu.See More
Apr 30, 2015
Mama Malaika left a comment for Omary
"(((((( Omary ))))))))"
Jan 31, 2015
CHA the Optimist left a comment for Omary
"Heri ya Krismas na Mwaka mpya wenye mafanikio tele. Ubarikiwe sana."
Dec 23, 2014
manka liked Omary's photo
Nov 17, 2014
Omary commented on Omary's photo
Thumbnail

My Princess

"Hahahahah CHA Omniscient eti nilikuwa pweza, mwanangu pweza nawatafuta huku siwapati bhana najuwa ni dawa ile."
Nov 15, 2014
Omary replied to CHA the Optimist's discussion NIMEHAMA RASMI FACEBOOK; NIMERUDI TULONGE
"Hod! Hod! Hod! Jamani ndugu zangu mpoo? dah! nimewakumbuka sana nimefurahi kukuta kijiji chetu bado kipo maana sijui ningefikia wapi? mie. Nawatakia afya njema. Karibu tena ulierudi, mimi nilikuwa shamba nalima ndiomana nilikuwa kimya."
Nov 15, 2014
Mama Malaika liked Omary's photo
Aug 25, 2014
Mama Malaika commented on Omary's photo
Thumbnail

My Princess

"Mtoto mzuriiii... Halafu wewe Omary huyu mtoto ni replica yako kuanzia macho hadi pose."
Aug 25, 2014
Tulonge commented on Omary's photo
Thumbnail

My Princess

"teh teh teh tena Ian akimuona huyo mrembo lazima aanze kumpigia misele"
Aug 3, 2014
Omary posted a photo

My Princess

Dis mchunge mwanao akijipendekeza kwa bint yangu namlima mitama simuangalii usoni
Aug 3, 2014
Omary replied to CHA the Optimist's discussion HIVI WAAFRIKA HATUWEZI KUJIENDESHA BILA WAZUNGU?
"Hakuna kinachoshindikana but fukuza wazee wote wa 10% kisha itungwe sheria kali ya kulinda fedha za serikali atakaesababisha hasara jera atakaekula rushwa jera au bunduki hadharani tena sheria hiyo ikitekelezwa bila kusita wala kuogopa ianze na…"
Jun 18, 2014
Omary liked Omary's profile
Jun 13, 2014
Omary liked Moreen's profile
Jun 13, 2014
Omary joined Danson Rioba's group
Thumbnail

Vijana na Maendeleo

Ili kuweza kujiletea maendeleo, ni wajibu wa kila kijana kuweza k uwajibika kila mmoja kwa nafasi yake ili kuweza kujiletea fifa nzuri. Hebu tuwajibikeni kama vijana na tunaofukuzana na ushindani wa sayansi na Teknolojia ili tuweze kufikia malengo yetuSee More
May 18, 2014

Profile Information

Email Address
dr_omari@hotmail.com
Phone No
0715 383836 0787 500004

Omary's Photos

 • Add Photos
 • View All

Comment Wall (123 comments)

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

At 3:18 on September 2, 2015, Mama Malaika said…
(((( Omary )))))
At 12:27 on January 31, 2015, Mama Malaika said…
(((((( Omary ))))))))
At 15:49 on December 23, 2014, CHA the Optimist said…

Heri ya Krismas na Mwaka mpya wenye mafanikio tele. Ubarikiwe sana.

At 6:51 on May 18, 2014, Moreen said…

Ommy upo?

At 20:12 on November 9, 2013, CHA the Optimist said…

Habari ya kwako!

At 12:14 on November 8, 2013, ANGELA JULIUS said…

HA HA HA LOL KWA SIASA WEWE SIKUWEZI HAYA BANA HUYO CHOTARA WA KIJERUMANI HA HA HA NGOJA NIMPIGIE SIMU GRATIOUS AMTAFUTE BABU YAKE KAMA KWELI KULE UJERUMANI TUJUE NA OLE WAKO ASIPOPATIKANA TUU IMEKULA KWAKO.

At 9:04 on November 8, 2013, Omary said…
Ila Angela huyo dogo ni mtoto wa Dadaangu bhana naona wewe umeisahau Tanga kuna kila rangi si unajuwa wajerumani na waarabu waliacha mbegu kule so hata ukigongewa unasema labda kaebda kwa Bibi lol pamojaj mtu wangu Faisal lazima achukuwe kipusa hicho lol.
At 9:01 on November 8, 2013, Omary said…
Angela kiukweli namshukuru Mungu
At 7:29 on November 8, 2013, ANGELA JULIUS said…

hee mzee mwenzangu mara hii umeanza kupata mtoto wa kizungu lol kweli wewe kiboko manake hiyo profile pic yako siielewi na kama ni hivo mwanao feisal hapa kwangu simtaki nahisi atakuwa na nyayo za baba bure ha ha ha,

vp lkn wazima?

At 5:59 on October 30, 2013, Moreen said…

Hahahhhaha utafiti gani huo kaka Omary, mimi kila siku nipo hapa.Ila huwa napita kimya kimya

 
 
 

© 2023   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*