"Hata mimi sijui swali limelenga matendo gani hasa, lakini kifupi matendo mabaya hayana mtu, jinsia, kabila au taifa fulani. Mfano unaweza kusikia Wahaya! ahh malaya sana lakini wote wanaojiuza ni wahaya au wazalamo wanapenda sana ngoma wakati…"
"Kwa upande wangu ningetamani kumwacha mtoto wangu kwenye msing imara, pamoja na kujiwekea mimi mwenyewe mazingira salama ya maisha yangu ya milele huko niendako. Eeeee Mola wangu nisaidie kutimiza mipango yangu. Ameeeen"