"Dah ww Dis umewaza nini kukumbushia mambo haya!!!!!!, Mi namkumbuka sana rafiki yangu John Kaduma alokuwa mchoraji wa picha karibu zote hizo!!
R.I.P Kaduma."
"Utabiri upo, wanasayansi wapo, ila isisahaulike kwamba mwanasayansi, sayansi yenyewe, Dunia na vitu vingine vyote ni vya MUNGU. Yeye ana amri na mamlaka juu ya vitu vyote, kwa sababu laiti kama ingekuwa sayansi na ama utabiri ndiyo kila kitu…"