Started this discussion. Last reply by Tulonge Mar 30, 2012. 15 Replies 0 Likes
Mimi nimechoshwa sana na utendaji kazi mbovu wa Tanesco ambao unatupelekea kukosa umeme kila wakati. Vile vile kutuunguzia vyombo vyetu kila mara pasipo kutulipa wala nini. Hebu libatize jina…Continue
Started this discussion. Last reply by Belita Jan 25, 2012. 3 Replies 0 Likes
Kuna bibi mmoja alienda gengeni kununua nyanya, wakati akichagua nyanya machozi yakaanza kumdondoka. Mwenye genge akamuuliza, bibi mbona machozi yanakutoka? Bibi akajibu, mjukuu wangu we acha tu.…Continue
Started this discussion. Last reply by Tulonge Aug 26, 2011. 7 Replies 1 Like
Utajisikiaje endapo mwezi mtukufu ukaongezwa muda na kuwa miwili mfululizo? Sema ukweli wako. Maana kuna wengine mnaombea uishe haraka harakaContinue
Started this discussion. Last reply by Omary Aug 27, 2011. 15 Replies 0 Likes
Naomba uniambie mauzo ya kitimoto mitaa unayoifahamu kama yameongezeka au kupungua kwa kuangalia mahudhurio ya watu sehemu hizo au sababu nyingine.-Kama mauzo yamepungua andika "YAMEPUNGUA", kama…Continue
Posted on November 30, 2013 at 23:00 2 Comments 0 Likes
Posted on August 17, 2013 at 22:57 1 Comment 0 Likes
Taarifa zilieleza kuwa nchini Afrika Kusini mtandao uliowasaidia kina Masogange kupita na dawa za kulevya hapa Dar, pia ulijipanga kufanikisha upitishaji wa dawa hizo aina ya Cyrsatl Methamphetamine au “TIK” pasipo kubughudhiwa.
Taarifa zinaeleza baada ya Masogange na wenzake kufanikiwa kupita katika maeneo ya ukaguzi ya uwanja wa Oliver Tambo, Mangunga…
ContinueSeverin chizi kumbe upo? hbr ya siku
Ww chizi upo?
HAJAKALIA KITU NI MAUTUNDU YAKE TUU YA SHOW ANGEKUWA MTUPU LABDA NINGESEMA KITU
umeonaaaa eeeeeeee mambo nayaweza. mdada namwona anasikilizia kwa raha zake
MI sijambo,vipi wewe.
© 2022 Created by Tulonge.
Powered by