Hili ni kundi ambalo lina mfululizo wa hadithi toka kwa waandishi mbalimbali. Hadithi zote zitapitia kwa 'Administrator' kabla ya kuwekwa hapa.See More
"Dah! Me naona kwa sasa wote sawa nakama sikosei wanaume tunakwenda kuwazidi wakina dada zetu, sory jaman Kwa yule atakaye ona nimemkwaza ila nawambia vijana wenzangu tubadlike tunapo kwenda sio!"