Tulonge

Zainabu Hamis
 • Female
 • Dar Es Salaam
 • Tanzania, United Republic Of
Share on Facebook MySpace

Zainabu Hamis's Friends

 • Arnold Kyara
 • omary cavana
 • muyango hamisi
 • habiba mustafa mlawa
 • ILYA
 • ANGELA JULIUS
 • eddie
 • jangonyani
 • Bonielly
 • Dixon Kaishozi
 • KUNAMBI Jr
 • CHA the Optimist
 • Alfan Mlali
 • Tulonge

Zainabu Hamis's Groups

Zainabu Hamis's Discussions

JAMES LEMBELI KWENYE KASHFA NZITO YA MAHUSIANO NA MWANAFUNZI!!!!

Started this discussion. Last reply by Ramadhan Ahmard Apr 11, 2014. 6 Replies

Naam ukistaajabu ya Musa, utayaona ya FILAUNI.Yule Mbunge wa jimbo la Kahama; amejikuta akizama kwenye penzi na mwanafunzi wa chuo cha biashara CBE- Dodoma na kumjaza mimba hatimaye mtoto. Binti huyo…Continue

KATI YA WANAUME NA WANAWAKE NANI WANAONGOZA KWA MATENDO MABAYA?

Started this discussion. Last reply by Bonielly Dec 23, 2013. 14 Replies

Wanduugu wadau...nina swali dogo ambalo ningependa kupata jibu lake.Swali lenyewe ni hivi....KATI YA WANAUME NA WANAWAKE NANI WANAONGOZA KWA MATENDO MABAYA?Continue

SIHITAJI MICHANGO YA HARUSI

Started this discussion. Last reply by CHA the Optimist Nov 10, 2013. 7 Replies

Jamani nataka kuja na stahili ya peke yangu katika historia ya Tanzania. Mimi ikifika wakati nikaamua kuwa na mwenza, watu watakunywa na kula bure. Sitohitaji mchango wa mtu yoyote, badala yake…Continue

TUZUNGUMZE MAPENZI--NI SEHEMU ZIPI WANAUME/WANAWAKE WANAPENDWA KUGUSWA KABLA YA MCHEZO?

Started this discussion. Last reply by maembe79 Dec 18, 2013. 66 Replies

Wandungu, haina haja ya kujieleza sana kama vile ni maombi ya kazi ama kampeni za siasa ili upate ubunge ama urais. Kichwa cha habari kinajieleza, na bila kupoteza muda tuanze mjadala.Asanteni sana!Continue

Gifts Received

Gift

Zainabu Hamis has not received any gifts yet

Give a Gift

 

MAMA AFRIKA!

Latest Activity

Mama Malaika left a comment for Zainabu Hamis
"Wazima wote?"
Jan 31, 2015
Joan left a comment for Zainabu Hamis
"Zainabu vp?"
Jul 10, 2014
Ramadhan Ahmard replied to Zainabu Hamis's discussion JAMES LEMBELI KWENYE KASHFA NZITO YA MAHUSIANO NA MWANAFUNZI!!!!
"Wabunge na Mawaziri mbona tumeshawazoea"
Apr 11, 2014
Mama Malaika left a comment for Zainabu Hamis
"Salama hapa?"
Mar 2, 2014
Zainabu Hamis and Arnold Kyara are now friends
Feb 28, 2014
Zainabu Hamis commented on Tulonge's blog post Obama atishia kusitisha uhusiano na Uganda endapo itapinga ushoga
"Omniscient against Mama Malaika. Maana naona mmetofautiana; aya mie na Tulonge ngoja tuwasikilizeni kwanza,ili tupate madesa ya kutumia kwa mjadala huu."
Feb 28, 2014
CHA the Optimist replied to Zainabu Hamis's discussion JAMES LEMBELI KWENYE KASHFA NZITO YA MAHUSIANO NA MWANAFUNZI!!!!
"???????????????????//"
Feb 3, 2014
Zainabu Hamis commented on Tulonge's blog post Habari mbaya kwa walaji wa Kitimoto: Huenda wengi wao wakaja kupata kifafa
"Aya Mjata Daffa"
Jan 28, 2014
Zainabu Hamis commented on Tulonge's blog post Habari mbaya kwa walaji wa Kitimoto: Huenda wengi wao wakaja kupata kifafa
"Tusikubaliane tu na utafiti wa the so called Profesa. Yeye si Malaika kuwa kila anachosema ni sahihi. Kuna mengi sana tunadanganywa. Dixon I am on your side."
Jan 27, 2014
Zainabu Hamis commented on Tulonge's blog post Habari mbaya kwa walaji wa Kitimoto: Huenda wengi wao wakaja kupata kifafa
"Ooooops! Mbona mnaniacha njia panda. Which part in the Bible....forbids NGURUWE Bwana Mjata?"
Jan 27, 2014
Zainabu Hamis replied to CHA the Optimist's discussion NATAMANI NINGEZALIWA ENZI ZA YESU KRISTU!
"Ungekuwa katika kumbukumbu za maandiko matakatifu."
Jan 25, 2014
Zainabu Hamis commented on Tulonge's blog post Uhamisho na uteuzi wa Mawaziri na Naibu Mawaziri
"haya mambo ya CHA the ....sijui nini pale mwisho! ha ha ha ha ha"
Jan 25, 2014
Zainabu Hamis replied to CHA the Optimist's discussion ROLE OF THE HUSBAND IN THE BIBLE (COPY AND PASTE VERSION)
"Nimependa hii He who loves his wife loves himself. After all, no one ever hated his own body, but he feeds and cares for it, just as Christ does the church—for we are members of his body. ‘For this reason a man will leave his father and…"
Jan 25, 2014
Zainabu Hamis replied to CHA the Optimist's discussion ROLE OF THE HUSBAND IN THE BIBLE (COPY AND PASTE VERSION)
"Safiiiiii. I also love the bible."
Jan 25, 2014
Zainabu Hamis commented on Tulonge's blog post Jamaa wakiiba mafuta toka kwenye tanki la lori mchana kweupee eneo la Tazara DSM
"CHA The Omniscient, sasa tutakuita dictator. Natania kaka yangu, usije nianzishia mashambulizi mie! Good Idea, japo kwa wengine litaleta hisia mbaya."
Jan 25, 2014
Zainabu Hamis commented on Tulonge's blog post Habari mbaya kwa walaji wa Kitimoto: Huenda wengi wao wakaja kupata kifafa
"Astakafullahi! Ngoja nile ya mwisho mwisho weekend hii ili nisile tena. Sasa sijajua mbadala wa kitimoto utakuwa nini. Astakafullahi! Ha ha ha ha ha! Natania jamani, waisilamu wenzangu msije mkanitenga."
Jan 25, 2014

Profile Information

Occupation
Nothing
Email Address
zainabuhamisi@yahoo.com
Phone No
+255---

Comment Wall (23 comments)

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

At 12:23 on January 31, 2015, Mama Malaika said…
Wazima wote?
At 16:22 on July 10, 2014, Joan said…

Zainabu vp?

At 1:14 on March 2, 2014, Mama Malaika said…
Salama hapa?
At 19:32 on December 22, 2013, Mama Malaika said…
Asante kwa salamu! Vipi wazima wote?
At 12:48 on November 15, 2013, Mama Malaika said…
Habari ya leo?
At 0:59 on November 14, 2013, Mama Malaika said…
Sisi kwema sijui wewe. Karibu tule ugali na bamia la nazi.
At 14:44 on November 13, 2013, Dixon Kaishozi said…
Nakutakia wakati mzuri. Pamoja sana !
At 14:42 on November 13, 2013, Dixon Kaishozi said…
Salama kabisa pande zile.. Habari ya pande hizi ? Nakutakia a
At 18:22 on November 12, 2013, Tulonge said…

Kwangu kupo pouwa, cjui hapa kwako

At 18:54 on November 7, 2013, Tulonge said…

Nipo pouwa, hbr ya pande hizo?

 
 
 

© 2023   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*