araway kikaho has not received any gifts yet
KAKA NILINUNA SASA HASIRA ZIMEISHA HAYA VP LAIKINI MWANANGUI NA WIFI YANGU HAWAJAMBO WOTE? WEWE JE HAUJAMBO SINAYO NUMBER YAKO NILIKUWA HAPO MORO KIKAZI SUA KAMA TRIP MBILI HV NA HUKU KWENYE MTANDAO HAUONEKANIKI NIKAONA HATA NIKIKUTAFUTA THROUGH TULONGE UJUMBE UNGEFIKA LATE SANA. HAYA WAPE SANA SALAMU ZANGU HAPO MORO BILA KUWASAHAU HAO NDUGU ZANGU.
hongera jamani loo umekuwa mbaba sasa
araway una mutoto?//sipati picha maana wifi mcuteee sana
wewe ndugu yangu tangu umeoa hata kunitafuta imekuwa nongwa?,
Nakupa hongera naona tayari umeniletea shangazi mwambie namsalimu sana pia mpe salamu wifiiiiii
Mie nipo hofu kwako tu, mambo huonekani au ndio majukumu ya kubadirisha nappies? Ha haaaa....
Wajomba zako wamejaa tele? Haya niambie mtoto na mama yake hawajambo?
Kijana hujambo? Nakuona tu shavu lako lang'ara mitaani, na huyo ndio mjukuu au nani?
Pole sana kwa majukumu mkuu. Ndiyo ukubwa huo.Pa1 sana
Salamu zangu za kufufuka nazileta kibarazani.. tehehee... Nimefurahi kusikia kutoka kwako, Asante kwa kutukumbuka.. Kwa upande wangu Namshukuru Muumba kwa kuniweka mzima wa afya!! Karibu tena kijijini. siku njema.
Karibu tena mkuu, habari ya kufichwa?
© 2023 Created by Tulonge.
Powered by