Started this discussion. Last reply by sayd bakiry Mar 26, 2011. 8 Replies 0 Likes
nimasikitiko makubwa sana na pigo kwa watanzania na afrika nzima yote ni kazi ya mola letu nikuwatakia subra familia na mashabiki wa taarabu na pia kuwaombea mola awawake mahala pema peponi "AMEEN"
hassan damnan has not received any gifts yet
KAKA DAMNAN HAUJAMBO FAMILIA JE? NAONA UMETUTUPA KWELI USIPOTEE HIVO UNCLE NAKUPENDA NA SALAMU KWA WOTE MOMBASA
Happy birthday
kaka Damnan shikamoo habari za huko, salamu kwa wote huko
Pole sana kaka Hassan
Mkuu waonekana unapenda sana maua, nahisi nyumbani kwako umepanda maua hadi jikoni. Week end njema mkuu
((((((( kaka Hassan ))))))))))
Duuuh! mkuu naona umeamua kutukumbuka wana tulonge kwa style ya kutuwekea maua. Safi sana, habari ya kupotea?
Happy Birthday!
© 2023 Created by Tulonge.
Powered by