Tulonge

jemadari mimi
 • Male
 • dar es salaam
 • Tanzania, United Republic Of
Share on Facebook MySpace

Jemadari mimi's Friends

 • manka
 • ILYA
 • imani ngassa
 • ANGELA JULIUS
 • Gray
 • Bonielly
 • Wa Kimberly
 • Belita
 • Diana
 • Tulonge

Gifts Received

Gift

jemadari mimi has not received any gifts yet

Give a Gift

 

jemadari mimi's Page

Latest Activity

jemadari mimi commented on Tulonge's blog post Pale Rais wa Angola alipomlipa Mariah Carey bilioni 1.6 kwa onesho la dakika 120
"jamani mbona naona kiza mbele yangu,na machozi yananitoka kwa jinsi tunavyo fanyiwa waafrika  na tunaowaita viongozi wetu,tuliwachagua na kuwapa madaraka. leo hii wanatuona hatujui kitu na wala hatuna thamani tena kwao,wanatumia pesa zetu…"
Jan 4, 2014
maembe79 commented on jemadari mimi's blog post BILA ROHO MBAYA HUTOKI
"JE mwamke kubebwa namna hii kwa pikipiki hushusha hadhi yake kama  mwanamke?"
Dec 26, 2013
jemadari mimi commented on Tulonge's blog post 12 wafariki na 30 kujeruhiwa katika ajali ya basi Tanga
"Kwanza ningependa kutoa pole kwa wale wote waliopatwa na ajali hiyoo na pia kuwaombea majeruhi waweze kupona haraka na kuendelea na shughuli zao.Lkn hapa ningependa kutoa dukuduku langu kwa upande wa abiria ambao tunasafiri kila siku na mabasi[iwe…"
Dec 13, 2013
jemadari mimi commented on Tulonge's blog post Bajeti ya bilioni 11.1 yapitishwa kukamilisha maziko ya Mandela
"Mama malaika najua unafahamu juu ya maisha ya waafrika,jinsi tunavyoishi ktkt nchi zetu hizi.ebu niambie wasauzi wanajua anachofanya zuma na hawana sehemu ya kusemea zaidi ya hapo kwa kuonyesha hawana imani naye.tujiulize kwanini wasifanye hivyo kwa…"
Dec 12, 2013
jemadari mimi commented on Tulonge's blog post Bajeti ya bilioni 11.1 yapitishwa kukamilisha maziko ya Mandela
"Wabongo n watu wa ajabu sana,serikali wameshataja bajeti yao ya kumzika mzee mandela,sasa tatizo lipo wapi hapo mpaka muone watu wamechakachua,wangetaja bajeti ndogo mngesema wamekosea na kuonyesha dharau kwa mandela.nataka niwaulize swali moja tu…"
Dec 11, 2013
jemadari mimi commented on Tulonge's blog post Mwanajeshi JWTZ auawa Kongo
"poleni sana familia ya mshindo,mkuu wa jeshi la JWTZ mh, davis mwamunyange pamoja na wakuu wa vikosi vingine wa majeshi ,sote watanzania tumeudhunika na kusikitishwa na tukio hilo"
Aug 30, 2013
jemadari mimi commented on Tulonge's blog post Mtoto ang'olewa macho Uchina
"pole sana dogo"
Aug 30, 2013
jemadari mimi replied to Geoffrey Masai's discussion JE, TOZO LA KODI KWA WATUMIAJI WA LAINI ZA SIMU NI HALALI?
"Kuna tukio mmoja lilitokea uganda ktk miaka ya 2000,mchungaji kibwetere alipowaongopea waumini wake mwisho wa dunia umeshafika toeni mlichonacho ili  muokoe nafsi zenu na pia tusali kwa pamoja ili mungu atusamehe wote cc pamoja,mwishowe…"
Jul 26, 2013
jemadari mimi commented on Tulonge's blog post Mmh! Huyu Mwalimu anatoa adhabu kwa wanafunzi au anaua joka?
"Kwa kweli c busara kwa mwalimu ama mzazi kutumia nguvu kupita kiasi kwa kumdhibiti mtoto au kijana wako, tunajua kuwa vijana wetu hawa wasomi wa leo wana matatizo sana ya dharau,kiburi na kujiona wanajua mambo zaidi ya walimu ama mlezi wake. Mwalimu…"
Jul 25, 2013
jemadari mimi commented on Tulonge's blog post Miili ya wanajeshi 7 wa Tanzania ikiagwa huko Darfur kabla ya kusafirishwa kuja TZ
"Inauma sana kaka zetu,baba zetu na pia watanzani wenzetu hawa kupoteza maisha yao ktk kupigania haki ya mwafrika ,Lkn ningependa kutoa maoni juu ya matukio ya wanajeshi wetu kuuawa ktk operation hizi,ningeomba serikali yetu iangalie kwa umakini sana…"
Jul 25, 2013
jemadari mimi commented on Tulonge's blog post Wamachinga: Ujio wa Rais Obama umetuletea njaa
"Unajua ni lzm tuseme ukweli hata kama wengine watachukia,binafsi siwezi kumlaumu rais ama media kutangaza ujio wa obama au viongozi wengine wa nchi mbalimbali wanaokuja hapa nchini.media zote duniani zipo kwa kusudio la kutoa habari kwa wananchi ili…"
Jul 3, 2013
jemadari mimi commented on Tulonge's blog post "Obama hebu nipasie na mimi nikuoneshe maujuzi"
"Hakika inafurahisha sana,na wala si igizo hilo ni kweli tupu"
Jul 3, 2013
jemadari mimi commented on Tulonge's blog post Eti ni Hoboma au Hubama? kazi kweli kweli
"Obama ni rais wa kawaida tu kama rais wa china na mataifa mengine duniani,lkn leo hii watu wanaondolewa kwenye maeneo yao ya biashara na sehemu lizokuwa chafu kwa miaka mingi nazo zimesafishwa ,,je akiondoka utarudia utaratibu wetu"
Jun 29, 2013
jemadari mimi commented on Tulonge's blog post Dodoma: Kesi ya Mh. Joseph Mbilinyi kumuita Waziri Mkuu 'Mpumbavu' yafutwa
"Kwa kweli ninashangazwa na uwezo wa watendaji  wa serikali juu ya mambo wanayoyafanya kwa kukurupuka bila ya kuchunguza kwa jambo husika,Hivi wewe ni DPP unaandaa mashtaka ambayo hayana nguvu ya kisheria na wala ushahidi wa kutosha,ni kweli…"
Jun 29, 2013
jemadari mimi commented on Tulonge's blog post Hawa ndiyo walioshinda Tuzo za Kilimanjaro Tanzania Music Awards 2013
"Halafu angalia kwenye upande wa taarabu kila siku ni walewale tu,hivi vikundi kama malindi,east african melody,jkt taarabu havipo jamani"
Jun 10, 2013
jemadari mimi commented on Tulonge's blog post Hawa ndiyo walioshinda Tuzo za Kilimanjaro Tanzania Music Awards 2013
"Nimekuwa nikifuatilia sana tuzo hizi za kili music awards lkn nimeona ni tuzo ambazo ni za kiujanja ujanja  tena hazina maana kabisa na wala faida kwa wanamuziki wa TZ,labda unaweza kusema kwanini  eti nasema hivyo, zipo sababu za msingi…"
Jun 10, 2013

Profile Information

Occupation
uhuruone
Email Address
jemadari@yahoo.com
Phone No
0755742204
oka nawashukuru wote wana tulonge

Jemadari mimi's Blog

unapomkumbuka wife

Posted on March 29, 2012 at 18:44 2 Comments

JANJA YA SANGOMA

Posted on March 21, 2012 at 21:56 7 Comments

MAREFA KUCHEZA KARATE

Posted on March 21, 2012 at 20:59 4 Comments

kukithiri kwa vipigo kwa waamuzi wa mchezo wa soka hapa nchini hivi sasa,kumefanya baadhi ya waaamuzi wa mchezo huo kutakiwa kujifunza karate ili kujihami pale wachezaji wanapomshambulia.

Mksa wa kupigwa na wachezaji ulimpata mwamuzi israel nkongo katika mchezo kati ya azam fc na young african kwenye uwanja wa taifa ,baada ya wachezaji wa yanga kuona mwaamuzi…

Continue

Je huyu anahijua haki yake?

Posted on March 15, 2012 at 11:11 23 Comments

Inasikitisha na kuhuzunisha juu ya picha hii,hivi naomba mniambie kuna haki hapa ya mwanamke huyu asiye na aibu na wala kutambua thamani ya utu wake,mama salma kikwete, anna kilango mpo wapi?

Comment Wall

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

 • No comments yet!
 
 
 

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*