Hili ni group ambalo litakuwa linalenga ktk kazi za wasanii wa bongo,tutakuwa tunaonyesha video zao hapa na wadau watatoa maoni yao pia zita kuwa zinagwa video mbili kama mpambanisha na wadau watachagua video iliyo bora kwa maoni yaoSee More
Hili ni kundi ambolo free kwa member yoyote wa tulonge, Hapa unaweza kusoma post mbali mbali pia waweza kutuma post yoyote ambayo unaona inastahili kupostiwa katika group hili.Jione mwenye kasi ya group hili
WADAU WA TULONGE SASA NI MUDA WA KUJADILI KWA UPANDE WETU WA VIJANA NN KIFANYIKE KTK KUHAKIKISHA TUNAPATA MAENDELEO???NA TUHAKIKISHE IFIKAPO MWAKA 2020 VIJANA WAWE 80% YA WABUNGE HUKO MJENGONI
Mapenzi ni moja kati ya mambo yaliyo tawala sana katika ulimwengu huu kwa sasa. Hatuna budi kuchukua nafasi hii ili tuweze kubadilishana mawazo kuhusu mapenzi.