Karibuni wadau wote kwenye kundi hili muhimu kuhusu tiba na afya zetu. Mnakaribishwa kuchangia na kubadirishana mawazao kuhusu Tiba Mbadala iwe kuhusu toka kwenye mimea, viungo, chakula, matunda, vinywaji, wadudu, n.k.Tiba Mbadala yatumika dunia nzima. Hata waingereza walogundua antibiotic na dawa nyingine nyingi bado wana thamini na kuendeleza Tiba Mbadala (e.g. vitunguu swaumu kwa High Blood Pressure na moyo mkubwa). Iwapo mtu amepata article yeyote kuhusu Tiba Mbadala pahala naomba sana…See More
Hili ni kundi ambalo lina mfululizo wa hadithi toka kwa waandishi mbalimbali. Hadithi zote zitapitia kwa 'Administrator' kabla ya kuwekwa hapa.See More
Comment Wall
You need to be a member of Tulonge to add comments!
Join Tulonge