Tulonge

Tulonge's Blog – February 2012 Archive (24)

Kenya:Mwanafunzi wa miaka 90 aendelea na masomo yake vizuri.Sasa yupo darasa la 3.

-Ameahidi kuendelea na masomo endapo Mungu atamuwezesha kuendelea kuona.

-Anapendwa sana na wanafunzi wenzake darasani,ambao ni kama vitukuu kwake.

-Huwaongoza wanafunzi wenzake kusoma wawapo darasani.

This is the story of a 90-year-old grandmother who is just in standard three. Priscillah Sitienei or 'gogo' as her she is popularly known, can now read…

Continue

Added by Tulonge on February 29, 2012 at 21:16 — 10 Comments

Zimbabwe: Mama aamua kufunga ndoa na kijana wake wa kumzaa. Tayari ana mimba yake ya miezi 6.

A Masvingo woman and her son have fallen in love with one another. And now they want to marry since the mom, Betty Mbereko from Mwenezi in Masvingo, is six months pregnant and expecting her son's child.Mbereko (40), who was widowed 12 years ago, has been cohabiting with her first child, Farai Mbereko…

Continue

Added by Tulonge on February 29, 2012 at 21:08 — 11 Comments

Dume la Kinaigeria labadilishwa na kuwa mwanamke huko Hispania,sasa laitwa Miss Stephanie.

She was once a guy. He was born Dapo Adaralegbe, but he’s now Stephanie Adaralegbe. Dapo was a popular homosexual law student back in the day in Obafemi Awolowo University but was expelled in 2001 because of his identity crisis. He moved to Spain where he is now living as a…

Continue

Added by Tulonge on February 29, 2012 at 13:01 — 8 Comments

Pale mtu asiye julikana alipofanikiwa kuupiga picha mwili wa Whitney ndani ya jeneza.

A photograph apparently showing Whitney Houston in her open coffin has been published on the cover of US magazine 'National Enquirer'.

The chilling picture shows the singer lying dead in her golden casket, clad in a regal purple dress and wearing what looks like a diamond brooch and earrings.

The weekly magazine has run the snap alongside a bold headline…

Continue

Added by Tulonge on February 23, 2012 at 22:30 — 2 Comments

IRAN: Mchungaji ahukumiwa adhabu ya kifo kwa kubadili dini kutoka uislam kwenda ukristo, na kukataa kuurudia uislam alipo amriwa kufanya hivyo.

Facing execution Youcef Nadarkhani with his wife and two children in

an undated photograph circulated by religious rights organisations

A Christian pastor who converted from Islam is to be put to death for leaving Islam following the ruling of an Iranian court, it was reported today.…

Continue

Added by Tulonge on February 23, 2012 at 22:00 — 21 Comments

Nigeria: Kijana wa miaka 28 afunga ndoa na mzee wa kizungu wa miaka 71

In a wedding ceremony at Ikoyi registry, Lagos, a 28-year-old Nigerian man has tied the knot with a 71-Year-Old European woman. Despite the 43 years difference in their ages, the couple expressed they got married because they are deeply in love. However, many Nigerians are saying this wedding maybe for other reasons but not love.…

Continue

Added by Tulonge on February 22, 2012 at 21:30 — 32 Comments

Tanesco yaishiwa mita za Luku

Ofisa Habari wa Tanesco Badra Masoud

Ibrahim Yamola

SHIRIKA la Umeme Nchini (Tanesco), linakabiliwa na uhaba mkubwa wa mita za Luku, kiasi cha kufanya baadhi ya wateja waliolipa zaidi ya miezi minne iliyopita kushindwa kupata huduma hiyo.Pamoja na wateja kuahidiwa kuanza kupata huduma ya Luku mwishoni mwa mwaka,…

Continue

Added by Tulonge on February 22, 2012 at 7:03 — 4 Comments

Zitto: Umeme wa dharura ni ufisadi

ASEMA SH 1.7 TRILIONI ZINAZOTUMIKA KWA MWAKA ZINATOSHA KUTANDAZA BOMBA LA GESI NA KUMALIZA KABISA TATIZO

Boniface Meena, Muheza

MBUNGE wa Kigoma Kaskazini (Chadema), Zitto Kabwe amesema miradi ya umeme wa dharura inayoigharimu Serikali Sh1.7 trilioni kwa mwaka ni kichaka cha ufisadi.

Akizungumza na wakazi wa Muheza katika mkutano wa hadhara juzi, Zitto…

Continue

Added by Tulonge on February 22, 2012 at 4:02 — 5 Comments

Waume nchini Kenya wanapanga kugomea vyakula vya mabibi zao kwa siku sita kutoka na kuongezeka kwa visa vya wanawake kuwapiga mabwana zao.

Nderitu Njoka, mwenyekiti wa chama cha wanaume

akimfariji baba aliyepigwa na mkewe

Badala yake wanaume watakuwa wakila mahotelini na magengeni.-Mwenyekiti wa Chama cha maendeleo ya Kina baba Nderitu Njoka amesema mgomo huo wa siku sita una lengo la kuwashinikiza wanawake kukoma kuwanyanyasa…

Continue

Added by Tulonge on February 20, 2012 at 10:30 — 7 Comments

Waziri amruka Manumba ripoti ugonjwa Mwakyembe

ASEMA HAJAONA RIPOTI ALIYOWAPA WAANDISHI, AELEZA RIPOTI YA UGONJWA ANAYO DK MWAKYEMBE MWENYEWE, DK SLAA NAYE ASEMA ,"SINA IMANI NA MANUMBA"

Waandishi Wetu

WINGU zito limetanda kuhusu afya ya Naibu Waziri wa Ujenzi, Dk Harrison Mwakyembe  baada ya Waziri wa Afya na  Ustawi wa Jamii, Dk Hadji Mponda, kusema kuwa ripoti ya ugonjwa wa…

Continue

Added by Tulonge on February 20, 2012 at 8:00 — 2 Comments

Kina dada wezi ndani ya Mlimani City, hii ni fursa kwa wale ambao hamkuona video hii.Maana ilitoka muda kidogo.

Tazama kina dada walivyo na roho ngumu hawa. Hawana hata uoga, wamemchanganya muuzaji hadi kaingia kingi.

Added by Tulonge on February 19, 2012 at 21:19 — 16 Comments

Yanga yalazimishwa sare ya 1-1 na Zamalek.

Timu ya Yanga imetoka sare ya bao 1-1 na Timu ya Zamalek ya Misri katika mchezo wa klabu bingwa barani Afrika uliofanyika uwanja wa Taifa Dar es Salaam.Yanga wamejitahidi kucheza mchezo mzuri hasa kipindi cha kwanza ila wamepoteza nafasi nyingi sana za wazi . Bao la Yanga lilipatikana kipindi cha kwanza dakika ya 36 kupitia mchambuliaji wao Khamis Kiiza. Zamalek…

Continue

Added by Tulonge on February 18, 2012 at 18:12 — 4 Comments

Afya za mawaziri watano ni tete

Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk Cyril Chami

WAWILI WAENDA INDIA KIMYAKIMYA, DK CHAMI AWA MBOGO, ASEMA WANAOSUBIRI KUONA WENZAO KWENYE MASANDUKU WATASUBIRI SANA

WAKATI tetesi za kupanguliwa Baraza la Mawaziri zikizidi kupamba moto, hali ya afya ya baadhi ya mawaziri imeelezwa kuwa tete…

Continue

Added by Tulonge on February 16, 2012 at 6:00 — 3 Comments

Polisi alivyochakazwa kwa Bomu lililotegwa na kundi la Boko Haram

This is really heart breaking, this was the moment an anti-bomb squad member Sergeant…Continue

Added by Tulonge on February 15, 2012 at 22:10 — 8 Comments

Kiongozi wa UVCCM atokomea na mamilioni aliyochangisha Nahodha

MWENYEWE ALITOA SH2 MILIONI, SHEKIFU, OLE SENDEKA NAO WALICHANGIA

Peter Saramba, Arusha

MMOJA wa wanachama wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Wilaya ya Simanjiro, mkoani Manyara,  anadaiwa kutoroka na zaidi ya Sh26 milioni za jumuiya hiyo zilizochangwa kwenye harambee iliyofanyika Mei 9, mwaka juzi na kuongozwa…

Continue

Added by Tulonge on February 15, 2012 at 1:49 — 3 Comments

IRAN: Serikali ya Iran yasitisha matumizi ya "Internet".

Iran has demonstrated further evidence of its strict regime after the government cut internet links leaving millions without email and social networks.

Interestingly, the shutdown comes at a time when inhabitants are preparing to celebrate the 33rd anniversary of the Islamic Revolution, with rumours of anti-government protests also planned.

But some…

Continue

Added by Tulonge on February 12, 2012 at 17:00 — 20 Comments

Utafiti:Chanjo ya ukimwi yagundulika

Leon Bahati

UTAFITI wa hivi karibuni uliofanywa katika Chuo Kikuu cha Tiba cha Johns Hopkins nchini Marekani, umegundua kuwa matumizi ya dawa za kurefusha maisha (ARV) yanaweza kuwafanya waathirika wa Virusi vya Ukimwi (VVU) kukutana kimwili na wapenzi wao bila kondomu, pasi kuwapa maambukizi.Wakati wataalamu hao wakifikia hatua hiyo muhimu katika kupata…

Continue

Added by Tulonge on February 12, 2012 at 0:28 — 9 Comments

INDIA: Wabunge watatu wabambwa wakiangalia picha za ngono ndani ya Bunge.

Laxman Savadi, the Karnataka state Co-operative Minister and CC Patil, the Karnataka Women and Child Welfare MinisterThree Indian politicians have resigned after being caught watching pornography on a mobile phone during a session of state parliament.

All three were from a morally…

Continue

Added by Tulonge on February 9, 2012 at 23:00 — 9 Comments

Ni kweli wanasiasa wana kazi nzito(nyingi) za kufanya?Hivyo huwapelekea kusinzia hovyo vikaoni.Politicians have very tough job. They have to solve a lot of very difficult problems, so there is no time to sleep. They have nothing else to do but to sleep at the meetings.…Continue

Added by Tulonge on February 9, 2012 at 20:38 — 11 Comments

NIGERIA: Kondoo azaa nusu mtu/ nusu kondoo

Residents of Sokoto metropolis are yet to come to terms with the unbelievable incident that occcurred in the city recently. That was when a sheep gave birth to a monstrous being at a government owned veterinary clinic in the Sokoto State capital. The date was Monday, January 22, this year. The news suddenly came into town at about 5pm that a monster-like creature had been…

Continue

Added by Tulonge on February 9, 2012 at 20:00 — 4 Comments

© 2020   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*