Tulonge

Tulonge's Blog – February 2012 Archive (24)

Unafahamu kuwa wanawake wa Nigeria wanaongoza kwa kukosa uaminifu kwa waume zao?

Nigerian women have been ranked first in the world for being the most unfaithful partners in a relationship. According to the survey conducted by the manufacturers of Durex condom, 62% of the Nigerian women that were interviewed confessed to have cheated on their partners.

Other countries following Nigeria are;

Thailand second place at 59%

Malaysia…

Continue

Added by Tulonge on February 8, 2012 at 11:00 — 13 Comments

Vigogo wachunguzwa ufisadi wa Sh86 bilioni

Waziri wa Nishati na Madini William Ngeleja

WAFANYAKAZI WA HAZINA, TANESCO NA WIZARA YA NISHATI WAHUSIKA, NGELEJA ATHIBITISHA UCHUNGUZI KUFANYWA

SERIKALI inawachunguza  baadhi ya maofisa wake waandamizi kwa tuhuma za wizi wa  dola50 milioni za Marekani sawa na Sh86 bilioni, zilizotengwa kwa ajili ya…

Continue

Added by Tulonge on February 7, 2012 at 1:00 — 4 Comments

Wabunge CCM wagoma kukutana na Kikwete

WAJIPANGA KUKWAMISHA MUSWADA  MABADILIKO YA KATIBA

Midraji Ibrahim, Dodoma

SASA ni dhahiri kuwa wigo wa mpasuko kati ya wabunge wa CCM na Serikali unazidi kupanuka, baada ya wabunge hao kugoma kukutana na Rais Jakaya Kikwete mjini Dodoma.Katika kikao chao kilichofanyika Ijumaa usiku ukumbi wa Pius Msekwa mjini hapa, Waziri…

Continue

Added by Tulonge on February 5, 2012 at 1:00 — 3 Comments

Nigeria yatishia kujiondoa bara la Africa!

Kufuatia kukosa uenyekiti wa AU kwa Boni Yayi wa Benin, utawala wa Rais Goodluck Jonathan Ebeble leo umetishia kujitenga kutoka bara la Afrika na kuanzisha bara huru la Nigeria. Katika taarifa fupi kwa vyombo vya habari iliyosainiwa na Bw Reuben Abati, Nigeria ilitamka: "Sababu Afrika imeona Rais wetu, Dr Goodluck Ebele Jonathan hafai uenyekiti wa AU, basi Afrika…

Continue

Added by Tulonge on February 3, 2012 at 23:00 — 9 Comments

© 2020   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*