Tulonge

Tulonge's Blog – February 2013 Archive (117)

Moto wateketeza maduka zaidi ya kumi Tegeta


Moto umeteketeza maduka zaidi ya kumi, katika eneo la Tegeta Sokoni, manisipaa ya Kinondoni jijini Dar-es-Salaam,na kuwasababishia Wafanyabiashara hao hasara kubwa.

Added by Tulonge on February 28, 2013 at 23:46 — 1 Comment

Morogoro: Wafanyakazi wa kiwanda cha nguo wapoteza fahamu baada ya hitilafu ya umeme(video)


Wafanyakazi zaidi ya 65 wa kiwanda cha kutengeneza fulana cha Mazava kilichopo Msamvu mkoani Morogoro wamelazwa katika hospitali ya rufaa ya mkoa wa Morogoro, zaidi ya 30 wakipoteza kabisa fahamu, baada ya kukosa hewa, kufuatia hitilafu ya umeme iliyotokea kiwandani hapo na kusababisha moshi mzito.

Added by Tulonge on February 28, 2013 at 0:35 — 2 Comments

Clouds FM yatwaa tuzo ya 'SuperBrand' mara 4 mfululizo

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu - Uwekezaji na Uwezeshaji, Dk Mary Nagu (kati) pamoja na Mkurugenzi wa Mradi wa Superbrands Afrika Mashariki, Bw Jawad Jaffer kwa pamoja wakimkabidhi cheti Mkurugenzi Mtendaji wa Clouds Media Group,Bwa.Joseph Kusaga kwa Couds Fm redio kuibuka na tuzo hiyo ya ubora kwa mara ya tatu mfululizo. Tukio hilo…

Continue

Added by Tulonge on February 28, 2013 at 0:21 — 3 Comments

Mbeya:Mwanafunzi aliyemaliza kidato cha IV 2012 akamatwa akiiba fedha kwenye ATM ya NMB pamoja wenzake watatu

POLISI wilayani Rungwe, mkoani Mbeya, limewanasa watu wanne akiwamo mwanafunzi aliyemaliza kidato cha nne mwaka jana, wilayani Bunda, mkoani Mara, baada ya kukutwa wakiiba fedha Benki ya NMB tawi la Tukuyu kupitia mashine za kutolea fedha (ATM).

Mkuu wa Wilaya ya Rungwe, Chrispin Meela alisema tukio hilo lilitokea juzi saa 2:30 usiku.

Meela aliwataja watuhumiwa  hao kuwa ni mkazi wa mjini Tukuyu,  Mfanyabishara wa Mbozi, mwanafunzi aliyemaliza kidato cha…

Continue

Added by Tulonge on February 27, 2013 at 22:01 — 3 Comments

Hospitali ya Butiama: Kitanda kimoja watoto wanne

*Watoto wanalazwa wanne kwenye kitanda kimoja

*Wodi ya wanaume ina vitanda Nane tu

Na Gordon Kalulunga, Mara

HALI ya hospitali ya Butiama iliyopo wilayani Musoma mkoani hapa, iliyofunguliwa rasmi mwaka 1972 na Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere imezidiwa na wagonjwa kutokana na kuachwa kama ilivyoziduliwa enzi za Mwalimu Nyerere. Tanzania Daima…

Continue

Added by Tulonge on February 27, 2013 at 21:44 — 4 Comments

Pwani: Kwa muda wa miezi minne binti atekwa,abakwa na kutolewa mimba

SI rahisi kuaminika, lakini imetokea wilayani Kibaha mkoani Pwani, ambako mwanafunzi wa wa umri wa miaka 16 wa kidato cha kwanza wa sekondari ya Pangani, ametekwa nyara na vijana watatu na kufungiwa ndani kwa miezi minne.Akisimulia mkasa huo kwa mwandishi wa habari hii huko nyumbani kwao mjini hapa jana baada ya kufanikiwa kuwatoroka watekaji wake, binti huyo ambaye ni mkazi wa kijiji cha Kidimu wilayani hapa, alidai kutekwa na vijana hao Novemba 11, mwaka jana, saa tisa alasiri…

Continue

Added by Tulonge on February 27, 2013 at 21:38 — 5 Comments

Watu watatu wamefariki dunia katika ajali iliyotokea eneo la Kwasunga

Watu watatu wamekufa papo hapo kufuatia gari waliokuwa wamepanda aina Pajero lililokuwa likitokea jijini Dar es Salaam kwenda Arusha kuacha njia na kupinduka.

Added by Tulonge on February 26, 2013 at 22:43 — No Comments

Vituo viwili vya Radio vyafungiwa, Clouds FM yapigwa faini

Makamu Mwenyekiti wa Kamati Maadili ya Utangazaji nchini, Walter Bgoya (katikati) akizungumza na wanahabari leo jijini Dar es Salaam ukumbi wa habari Maelezo

KAMATI ya Maadili ya Utangazaji nchini imevifungia vituo viwili vya radio pamoja na kukipiga faini kituo cha Clouds FM kutokana na kukiuka maadili ya utangazaji.Vituo…

Continue

Added by Tulonge on February 26, 2013 at 20:23 — 7 Comments

Utafiti: Dk Slaa aongoza vinara tisa urais 2015

Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk Willibrod Slaa

WAKATI baadhi ya wanasiasa wakiwa wameanza kujiwinda kwa ajili ya kuwania urais katika Uchaguzi Mkuu wa 2015, Shirika la…

Continue

Added by Tulonge on February 26, 2013 at 18:32 — 16 Comments

Nigeria: Picha za mazishi ya msanii Goldie Harvey huko Lagos leo

Gazeti la Daily Post liliripoti leo asubuhi kwamba msanii Goldie ambae aliiwakilisha Nigeria kwenye jumba la Big Brother 2012 anazikwa leo, baada ya muda kupita ndio nimezipata hizi picha za msiba wa Goldie ambae alifariki siku ya Valentine feb 14 2013.

Imeripotiwa kwamba manenoya mwisho ya Goldie yalikua ni kumuomba baba yake amuombee apone maumivu makali ya kichwa…

Continue

Added by Tulonge on February 26, 2013 at 0:00 — 13 Comments

Rais wa Kwanza mwanamke aapishwa nchini Korea Kusini

Rais mpya wa Korea Kusini Park Gun-Hyeh (pichani) ameapishwa katika sherehe zilizofanyika kwenye mji mkuu wa nchi hiyo Seoul.

Watu elfu 70 wamehudhuria sherehe hizo zilizofanyika kwenye jengo la bunge la nchi hiyo.

Akihutubia baada ya kuapishwa, Mwanamama Park ameitolea wito Korea Kaskazini kuachana na mpango wake wa nyuklia na kuacha kutumia vibaya rasilimali…

Continue

Added by Tulonge on February 25, 2013 at 22:47 — 8 Comments

Arusha: Mchungaji aliyedhalilishwa kwa kuvuliwa nguo na kuchapwa viboko atoa onyo kali

Mchungaji wa Kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG) lililopo katika kata ya Ngusero mkoani Arusha aliyedhalilishwa na vijana wa jamii ya kifugaji kwa kuvuliwa nguo zote na kuachwa uchi wa mnyama na kisha kutandikwa viboko amesema atanunua bunduki na kuitumia kuua endapo Serikali haitachukua hatua.Mchungaji huyo alifanyiwa udhalilishaji huo hivi karibuni baada ya kuwatahiri wanawe katika hospitali ya Kiteto, jambo ambalo vijana wa jamii hiyo walisema ni kosa kwa kwenda kinyume…

Continue

Added by Tulonge on February 25, 2013 at 22:03 — 15 Comments

Elimu yetu inatiririka tu bila kujua iendako

Added by Tulonge on February 25, 2013 at 10:26 — 9 Comments

Kondomu bandia aina ya Durex na Trojan zauzwa nchini

KONDOMU zinazodaiwa kuwa ni bandia ambazo zilipigwa marufuku nchini Uingereza kutokana na kubainika kuwa hazina ubora unaotakiwa, zimetapakaa katika maduka mbalimbali ya dawa nchini, Mwananchi limebaini.

Kondomu hizo ni Durex na Trojan ambazo zina vipele na uchunguzi uliofanywa na gazeti hili umebaini kuwa zinauzwa katika maduka mbalimbali ya dawa kwa bei…

Continue

Added by Tulonge on February 25, 2013 at 8:15 — 13 Comments

Matokeo ya kidato cha Nne: Wakuu wa shule wadai ilitungwa kwa mfumo tofauti

MATOKEO mabaya ya mtihani wa kidato cha nne yamezidi kuibua mapya, baada ya wamiliki wa shule na vyuo binafsi nchini kusema mitihani ilitungwa kwa mfumo tofauti na uliozoeleka miaka yote, huku tume iliyounndwa na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda ikipondwa na baadhi ya watu.

Mwenyekiti wa Chama cha Wamiliki wa Shule na Vyuo Binafsi nchini (TAMONGSCO), Mahmoud…

Continue

Added by Tulonge on February 25, 2013 at 1:04 — 1 Comment

Wanahabari 150 wanusurika kutekwa wakitokea Mtwara kupata habari kuhusu Gesi

Wanahabari kutoka vyombo mbalimbali vya habari nchini, walioshiriki Kongamano la Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) mjini Mtwara, wakilindwa na Askari wa Kikosi cha Polisi cha Kutuliza Ghasia (FFU), eneo la Chuo cha VETA, mjini Lindi jana asubuhi

Na Richard Mwaikenda, Mtwara

WAANDISHI wa Habari 150 kutoka vyombo mbalimbali…

Continue

Added by Tulonge on February 24, 2013 at 23:18 — 1 Comment

Geita: Watuhumiwa 7 wa ujambazi wakamatwa

Watu saba wanaosadikiwa kuwa majambazi sugu akiwemo mfanyabiashara Bw. Jamal Mabula maarufu White anayemiliki duka la jumla Mkazi wa kijiji cha Masumbwe wilaya ya Mbogwe mkoani Geita wanashikiliwa huku wakimiliki silaha moja ya kivita aina ya UZ-gun ikiwa na Risasi 53 baada ya kudaiwa kumuuwa mtu mmoja na kupora mali mbalimbali za wananchi.

Added by Tulonge on February 24, 2013 at 22:42 — 2 Comments

Sababu hizi za Msanii R.O.M.A zaweza isaidia SANA Tume ya uchunguzi wa matokeo mabaya ya kidato cha IV 2012

R.O.MA

Ukizungumzia wasanii muziki wa kizazi kipya wenye upeo mkubwa wa kufikiria hapa Tanzania huwezi muacha ROMA. Baada ya matokeo ya kidato cha nne 2012 kuwa mabaya, alimua kuandika sababu zilizopelekea matokeo hayo kuwa hivyo. Tume ya uchunguzi iliyoundwa na Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda inaweza kupitia sababu hizi za ROMA ili…

Continue

Added by Tulonge on February 24, 2013 at 22:09 — 10 Comments

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*