Tulonge

Tulonge's Blog – February 2014 Archive (18)

Mtu mmoja afariki dunia, 38 wajeruhiwa baada ya basi kugonga kichwa cha treni

Mtu moja amefariki duni na wengine 38 wamejeruhiwa baada ya basi la Bunda kugonga kichwa cha treni katika makutano ya reli na barabara wilayani Manyoni.

 

Akithibitisha kutokea kwa ajali hiyo ambayo imehusisha basi la Bunda lenye usajili wa namba T 782 BKZ lililokuwa likitokea mkoani Dodoma na kuelekea mkoani Mwanza, mkuu wa wilaya ya Manyoni bi Fatuma Toufiq…

Continue

Added by Tulonge on February 28, 2014 at 22:45 — 3 Comments

Mambo yameanza Uganda: Benki ya Dunia 'yaibania' msaada wa dola milioni 90

Wafadhili wakatiza misaada UgandaBenki ya dunia imebana msaada wa dola milioni 90 kwa Uganda , siku chache tu baada ya Rais Yoweri Museveni kuishinisha sheriua mpya dhidi ya mapenzi ya jinsia moja.

Benki hiyo imesema kuwa inataka kufanya tathmini yake kuhakikisha kuwa malengo yake ya…

Continue

Added by Tulonge on February 28, 2014 at 22:33 — 6 Comments

Mapacha waliotenganishwa warejea

Watoto Elikana na Eliudi wakiwa wamebebwa na Daktari wa Hospitali ya Rufaa ya Bugando, Glory Joseph (kushoto) na mama yao, Grace Joel baada ya kuwasili jana katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Dar es Salaam wakitokea India kwa matibabu.Picha na Salim Shao 

Dar es Salaam. Watoto pacha, Elikana na Eliud waliokuwa…

Continue

Added by Tulonge on February 20, 2014 at 23:52 — 3 Comments

Maandishi juu ya vest ya Diamond yawa sababu ya kufungiwa kwa video ya Dully Sykes

Mnamo oktoba 19,2013 ilitoka habari hapa tulonge ya kutoridhishwa na maandishi juu ya 'vest' ya msanii Diamond ambayo aliivaa kwenye video ya 'Kabinti Special' ya Dully Sykes. Maandishi hayo yalisomeka 'Fuck the Police' yamekuwa moja ya vigezo vya…

Continue

Added by Tulonge on February 20, 2014 at 23:30 — 1 Comment

Ajali ya lori la mafuta mlima Sekenke Singida

Ajali hii iliripotiwa na mdau wa mtandao wa facebook kama ifuatavyo:- "Hii ajali ni mbaya jaman imetokea muda si mrefu kwenye mlima Wa sekenke Lori la mafuta limeanguka na kuua watu wa nne. Hicho cheus kinachofuka moshi ni mwili wa dada mmoja alieomba lifti"…

Continue

Added by Tulonge on February 19, 2014 at 17:26 — 1 Comment

Mwanamuziki Lady Jaydee aanza kufanya mazoezi ya Karate

Msanii maarufu wa Muziki Tanzania Judith Wambura 'Lady JayDee' ameanza rasmi kujifua na Karate ili kuweka mwili 'fit' na kujijengea ulinzi binafsi. Mwanadada huyu ambaye pia hujiita 'Komando' aliweka picha zikimuonesha akifanya mazoezi kwenye ukurasa wake wa facebook.…

Continue

Added by Tulonge on February 19, 2014 at 6:30 — 5 Comments

Waganga wa siku hizi wapo wazi kabisa

Hili ni bango linalomnadi mganga mwenye uwezo wa kumpatia mtu hela za majini lililopo eneo la Sinza Mori. Siku za nyuma ilikuwa ni vigumu sana kukutana na mabango ya aina hii. Mambo ya kutafuta hela za majini ilikua ni siri. Ila kwa sasa ni wazi…

Continue

Added by Tulonge on February 17, 2014 at 12:49 — 11 Comments

Mbunge Ndungulile aanika siri mpya za matumizi ya madawa ya kulevya kwa watoto wadogo

Mgeni rasmi ambaye pia ni Mbunge wa jimbo la Kigamboni Ndugu Faustine Ndungulile akifungua rasmi Baraza la kazi la UVCCM (W) Temeke mbele ya Wajumbe (hawapo pichani) lililofanyika kwenye ukumbi wa Malaika uliopo Kata ya vijibweni, Jimbo la Kigamboni. Picha na Emmanuel J. Shilatu

Na Emmanuel J.…

Continue

Added by Tulonge on February 17, 2014 at 8:34 — No Comments

Obama atishia kusitisha uhusiano na Uganda endapo itapinga ushoga

Rais wa Marekani Barrack Obama amemwonya rais wa Uganda,Yoweri Musuveni, kwamba ikiwa atasaini mswada wa sheria inayoharamisha mapenzi ya jinsia moja basi uhusiano kati ya Uganda na Marekani utatatizika.

Chini ya sheria hiyo iliyopendekezwa, watu watakaopatikana na hatia ya kujihusisha na vitendo vya ushoga watakabiliwa na hukumu kali, ikiwemo kifungo cha maisha…

Continue

Added by Tulonge on February 17, 2014 at 8:14 — 20 Comments

Umewahi fanyiwa 'massage' na tembo?

Wengi tumezoea kufanyiwa huduma ya 'massage' na binadamu wenzetu.  Lakini huko Thailand eneo la  Muang kuna kambi iitwayo 'Maesa Elephant Camp' ambapo watu hupewa huduma ya 'massage' na tembo. Tembo hao hutoa huduma hiyo kwa utulivu mkubwa kwa kutumia mguu wake bila kumdhuru mteja. Pia kuna michezo mingine ambayo tembo hao huonesha kama kucheza mpira, muziki, vishale (darts)…

Continue

Added by Tulonge on February 17, 2014 at 7:54 — 3 Comments

Kwa picha hii utaamini ni kweli "Hakuna kama Mama"

Katika pita pita zangu kwenye mitandao nilikutana na picha hii. Nilijaribu kutafuta chanzo chake halisi ili nipate habari kamili lkn nilikosa. Ila picha hii inatosha sana kueleza upendo wa mama kwa mtoto. Ni fundisho tosha kwa wanaodharau mama…

Continue

Added by Tulonge on February 15, 2014 at 8:26 — 4 Comments

Africa Review: Tanzania must be a rich country to pay MPs so much

Tanzania Parliament in session. It is bloated and expensive.

There is an infographic available on the Internet that seeks to illustrate the relative financial burden of politicians across countries.Specifically, it compares the incomes of politicians with the GDP per capita of their fellow countrymen. A number of years ago…

Continue

Added by Tulonge on February 10, 2014 at 22:53 — 1 Comment

Mwenyekiti wa CCM Dar kizimbani kwa tuhuma za kusambaza ARV feki

Mwenyekiti wa chama cha mapinduzi -CCM, mkoa wa Dar es Salaam Ramadhani Madabida na wenzake watano wamepandishwa kizimbani kwa tuhuma za  kusambaza dawa bandia za kurefusha maisha  ARV na kuisababishia serikali hasara ya Sh. Milioni 148.3.Wakili wa serikali Shedrack Kimaro amedai mbele ya hakimu mkazi wa mahakama ya hakimu mkazi kisutu, jijini Dar es Salaam…

Continue

Added by Tulonge on February 10, 2014 at 20:30 — 3 Comments

Taarifa ya Wizara ya mambo ya nje kuhusu wafungwa wa kitanzania nchini China

Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa inapenda kukanusha taarifa za uvumi zinazosambazwa kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii na vyombo vya habari kuwa kuna Watanzania wapatao 160 wamenyongwa nchini China kwa kosa la…
Continue

Added by Tulonge on February 10, 2014 at 20:30 — No Comments

Zaidi ya kilo 200 za madawa ya kulevya zimekamatwa katika bahari ya Hindi.

Zaidi ya kilo 200 za madawa ya kulevya zimekamatwa katika bahari ya Hindi.

 

Zaidi ya kilo 200 za madawa ya kulevywa aina ya heroin yamekamatwa na kikosi cha polisi wanamaji katika bahari ya hindi yakisafirishwa kutokea nchini irani pamoja na mabaharia kumi na wawili kutoka nchi ya Irani na Pakistani.

 

ITV imefika katika eneo la bandari ya Dar es…

Continue

Added by Tulonge on February 4, 2014 at 22:06 — 5 Comments

Msimamo wa ligu kuu ya vodacom TZ baada ya michezo ya jana

Added by Tulonge on February 3, 2014 at 7:56 — No Comments

Rais Kikwete awakabidhi kadi za kujiunga na CCM baadhi ya wasanii maarufu Tanzania

Mwenyekiti wa CCM,Rais Jakaya Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Wasanii mahiri wa Filamu hapa nchini,mara baada ya kuwakabidhi kadi za kujiunga na chama cha CCM kwenye maadhimisho ya  miaka 37 ya chama hicho huko Mbeya jana.…

Continue

Added by Tulonge on February 3, 2014 at 7:30 — 15 Comments

Dodoma:Askari polisi 5 wamefariki papo hapo baada ya gari yao Corolla kugongana na Basi la Mohamed trans

Askari polisi 5 wamefariki papo hapo baada ya gari yao Corolla kugongana na Basi la Mohamed trans huko Dodoma.

 

Askari watano wa jeshi la polisi kituo cha polisi wilaya ya Kongwa wamefariki papo hapo katika ajali ya barabarani baada ya gari dogo aina ya Toyota Corolla walilokuwa wakisafiria kutoka Dodoma manispaa kwenda wilayani Kongwa kugongana uso kwa uso na…

Continue

Added by Tulonge on February 2, 2014 at 23:00 — No Comments

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*