Kwa wale wasiyo fahamu, Wema(Miss Tz 2006) alikuwa mpenzi wa Diamond lkn walikorofishana.
Baada ya Diamond kurudi stejini ndipo mwanadada Wema Sepetu alienda kumtuza na pesa zake kukataliwa. Wema alikaa akimbembeleza kwa muda wa dakika 10 japo zoezi lake halikufanikiwa.…
Added by Tulonge on March 31, 2012 at 11:00 — 14 Comments
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Diamond, jana alikonga nyoyo za mashabiki ndani ya ukumbi wa Mlimani City Dar. Shoo yake kali ilifanya watu kusimama mara kwa mara kuonesha kukubali kazi yake. Ona tukio hilo ktk picha. Picha zote na…
ContinueAdded by Tulonge on March 31, 2012 at 9:30 — 2 Comments
An angry Cambodian father punished his son for skipping school to play computer games by chaining him by the neck to a powerline pole.
Motorbike taxi driver Sok Thoeun, 40, spotted his son in an internet cafe in the northern town of Battambang playing online games when he should have been in class.
Mr Thoeun was so outraged he decided to 'teach his son a lesson'…
ContinueAdded by Tulonge on March 30, 2012 at 22:00 — 6 Comments
KIEV, Ukraine -- An 18-year-old Ukranian woman died Thursday, two weeks after her grisly rape set off protests across the country against corruption and favoritism toward the wealthy.
Prosecutors said Oksana Makar was raped by three young men on March 9 in the southern city of Mykolaiv. The men then tried to cover up their crime by strangling her, dumping her naked body…
ContinueAdded by Tulonge on March 30, 2012 at 17:33 — 2 Comments
Rapper Mfalme wa Ilala Chidi Benz baada ya kutoboa pua yake, amekubali kuzungumza EXCLUSIVE na millardayo.com nyumbani kwake kuhusu chanzo cha yeye kufanya hivyo na sababu zake.
Chidi amesema “kila kitu ni mtu jinsi unavyoishi, mimi nilitoboa pua mara ya kwanza nilivyosafiri nikaacha pini kwa hiyo ikaziba kidogo kwa hiyo nilivyorudi…
ContinueAdded by Tulonge on March 30, 2012 at 17:18 — 8 Comments
To become successful in life,one should have 3 factories.
1. Ice factory in brain
2. Sugar factory in tongue
3. Love factory in heart.
Added by Tulonge on March 30, 2012 at 7:00 — 6 Comments
Mkurugenzi mkuu wa Kampuni ya Usambazi wa Nishati Umeme nchini Tanzania (TANESCO) Bw. William Mhando (kulia) akitoa maelezo kwa waandishi wa habari kuhusiana na hali ya umeme katika gridi ya taifa. Katika ufafanuzi huo amesema mitambo ya kuzalisha umeme iliyounganishwa katikagridi ya Taifa ina uwezo wa kuzalisha jumla ya MW 1270.74, wakati…
Added by Tulonge on March 29, 2012 at 22:57 — 4 Comments
Italian police yesterday seized asssets worth €1.1bn from the family of the late Libyan dictator Muammar Gaddafi, on the request of the International Criminal Court in the Hague.
Most the wealth was in the form of shareholdings, including stakes in Italian bank Unicredit, the Juventus football team and the energy giant…
ContinueAdded by Tulonge on March 29, 2012 at 9:42 — No Comments
Konvict Music label boss, Akon yesterday paid a surprise visit to the Omole mansion of singing group, P-Square named Square Ville.
The top American hip hop star recently signed P-Square, which comprises Peter and Paul Okoye.
He was featured in Chop My Money remix, which is a track in their last album titled, Invasion.…
ContinueAdded by Tulonge on March 29, 2012 at 8:30 — 2 Comments
Chuo cha elimu ya biashara, CBE, nchini Tanzania kimeonya kuwa kitawachukulia hatua kali wanafunzi na watumishi wa chuo hicho watakaovaa mavazi yasiyo na staha wala kufuata maadili ya utumishi wa umma.
Kaimu mkuu wa chuo hicho Athumani Ally Ahmed amesema kuwa maamuzi hayo yamo katika sheria mwongozo wa mavazi wa chuo hicho ambapo wanafunzi watakaobainika watachukuliwa…
Added by Tulonge on March 29, 2012 at 0:00 — 29 Comments
Mrembo wa Kibrazil mwenye umri wa miaka 12 Natasha Moraes de Andrare ameamplfy kwamba ameamua kuziuza kwa pound 3,500 nywele zake ndefu ambazo zinamlazimu kuzishika anapotembea, akitarajia kwamba pesa hiyo itayaboresha maisha yake.
Ukubwa wa nywele zake unamnyima uhuru wa kufanya mambo mengi, akitoka tu shuleni ni nyumbani, hawezi…
ContinueAdded by Tulonge on March 28, 2012 at 15:47 — 6 Comments
1. Never wake up early:
Keep stretching and turning in bed until you get too hungry to continue dozing. If there are no bedbugs, why hurry to get up?
2. Never plan how to spend your money:
Whenever you get money, start spending it right away and when it is finished, try to count and recall how you spent it.
3. Don't think of saving until you have real big money:
How can you save when you earn so little? Those…
Added by Tulonge on March 28, 2012 at 7:00 — 3 Comments
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco),
William Mhando,
Midraji Ibrahim
MKURUGENZI Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), William Mhando, amesema ingawa suala la kupatiwa umeme lipo kwenye stahili za mkataba wake, hawezi kubishana na uamuzi wa Kamati ya…
Added by Tulonge on March 28, 2012 at 6:30 — 4 Comments
For better health, try standing up more, a new study suggests. Those who spend 11 or more hours a day sitting are 40 percent more likely to die over the next three years regardless of how physically active they are otherwise, researchers say.…
ContinueAdded by Tulonge on March 28, 2012 at 6:30 — 7 Comments
Added by Tulonge on March 27, 2012 at 23:27 — 8 Comments
Added by Tulonge on March 27, 2012 at 22:30 — No Comments
Banda la TTB lilivyokuwa likionekana wakati wa maonesho haya
Bodi ua Utalii Tanzania iliratibu vyema maonesho ya utalii yaliyofanyika nchini ujerumani katika jiji la Berlin kuanzia tarehe 7 – 11 Machi 2012.
Maonesho ya ITB ndio maonesho makubwa duniani yanayowakutanisha wafanya biashara za utalii duniani.
Jumla ya…
ContinueAdded by Tulonge on March 27, 2012 at 22:30 — 3 Comments
Miaka michache iliyopita hili lilikuwa jambo lisilowezekana! Mwalimu kufanya wimbo wa Bongo Fleva na mwanafunzi wake! It was unheard of. Lakini kwa dunia ya leo, it is possible. Video hii hapa chini ni ushahidi. Easy Muchwa ambaye jina lake kamili ni Mathew Protas ni Mwalimu pale Kawe Ukwamani Secondary School na Makongo Secondary School na Dogo Janja ni Mwanafunzi…
ContinueAdded by Tulonge on March 27, 2012 at 21:00 — 2 Comments
Wasanii wa muziki wa Bongo fleva Roma na Izzo B, leo wamekutanishwa na waandishi wa habari ili kuongelea tofauti yao. Kila mtu alieleza maneno mabaya aliyoambiwa na mwenzake. Wakati Roma akijieleza, Izzo alionekana kuguswa/ kukerwa na maneno hayo ndipo alipoamua kusimama na kutaka kumvaa Roma. Waandishi walimtuliza Izzo na kuendelea na mjadala.
Izzo alilalamika kuwa…
ContinueAdded by Tulonge on March 26, 2012 at 22:30 — 5 Comments
2014
2013
2012
2011
1999
© 2019 Created by Tulonge.
Powered by