Tulonge

Tulonge's Blog – June 2012 Archive (104)

Mapenzi ya Michael Essien na Nadia Buari yarudi upyaaaa.

Essien na Nadia

Mcheza wa timu ya soka ya Chelsea ya Uingereza Michael Essien, ameonyesha dhamira ya kurudiana na mpenzi wake wa zamani Nadia Buari ambaye ni muigizaji huko Ghana. Wapenzi hawa walitengana miaka miwili iliyopita. Wakiwa kwenye sherehe ya siku ya kuzaliwa ya mwana habari wa TV3 iliyofanyika huko Ghana, Essien na Nadia…

Continue

Added by Tulonge on June 25, 2012 at 0:30 — 2 Comments

Madaktari (Tanzania) waendelea kutoa huduma kama kawaida,hakukuwa na mgomo.

Leo madaktari wameendelea kutoa huduma kwa wagonjwa kama kawaida. Wakihojiwa na Clouds TV leo, wagonjwa wa hospitali ya Muhimbili wamesema wamepata huduma kama kawaida. Hakukuwa na dalili yoyote ya mgomo. Itakumbukwa kwamba jana mahakama kuu ya Tanzania ilitoa agizo kwa Madaktari kuwa hawatakiwi kufanya mgomo hii leo.

Swali ya kizushi:-

-Ni kweli madaktari…

Continue

Added by Tulonge on June 23, 2012 at 19:30 — 1 Comment

Mwili wa mtoto mchanga waokotwa jijini Mbeya

VITENDO vya kutupwa watoto wachanga vimezidi kushamiri ambapo leo asubuhi mwili wa kichanga kingine chenye jinsia ya kiume umeokotwa jirani na Msikiti wa Soweto jijini Mbeya. Mama wa mtoto huyo bado hajafahamika mpaka sasa.…

Continue

Added by Tulonge on June 23, 2012 at 8:20 — 6 Comments

Zimbabwe: Wabunge watahiriwa kupunguza HIV

Mmoja ya wabunge akitahiriwa.

Wabunge karibu 10 nchini Zimbabwe wametahiriwa kama moja wapo ya hatua zao ya kukabiliana na kusambaa kwa virisi vya Ukimwi nchini humo.

Nje ya majengo ya bunge mjini Harare , kulijengwa zahanati ndogo kwa sababu ya shuhuli hizo za kuwapasha wabunge tohara.

Blessing Chebundo, ambaye ni…

Continue

Added by Tulonge on June 23, 2012 at 2:14 — 11 Comments

Nimeshindwa kuelewa kama huyu Dereva alikuwa anafanya jaribio au.....?

Gari aina ya Canter Toyota ikiwa imetumbukia katika mto Jianga maeneo ya Ilolo Jijini Mbeya, baada ya kuvunjika kwa daraja na katika ajali hiyo hakuna mtu aliyejeruhiwa. Lakini wakazi wa eneo hilo walieleza kwamba daraja hilo ni bovu toka muda mrefu na viongozi wao hawajafanya jitihada zozote juu ya ubovu huo.( picha na Godfrey Kahango).…

Continue

Added by Tulonge on June 23, 2012 at 2:07 — 4 Comments

Euro 2012: Ujerumani yaichapa Ugiriki 4-2 na kutinga nusu fainali.

Timu ya soka ya Ujerumani imeichapa Ugiriki 4-2 na kufanikiwa kutinga nusu fainali ya kombe la Euro 2012. Kwa sasa Ujerumani inasubiri kucheza na mshindi kati ya Italy na England ambao watacheza kesho.

Leo ni kati na Spain na France, mshindi wa hapa atacheza na Portugal katika nusu…

Continue

Added by Tulonge on June 23, 2012 at 1:30 — No Comments

Mahakama Kuu ya Tanzania imetoa amri ya kusitisha mgomo wa Madaktari

Kufuatia Tangazo la Chama cha Madaktari nchini (MAT) la kuanza mgomo siku ya Jumamosi tarehe 23 Juni, 2012, Mahakama Kuu ya Tanzania,Kitengo cha kazi,Dar es Salaam imetoa amri ya kusitisha mgomo huo mpaka hapo pande zote mbili yaani Serikali na Chama cha Madaktari Tanzania (MAT) yatakaposikilizwa na kutolewa uamuzi.

  • Amri hiyo ya Mahakama imetolewa kufuatia maombi…
Continue

Added by Tulonge on June 22, 2012 at 22:54 — No Comments

Dogo Janja atua Dar tena baada ya kurudishwa Arusha na Madee

Hatimaye msanii wa muziki wa kizazi kipya Dogo Janja atua Dar leo asubuhi baada ya kurudishwa Arusha na Madee siku kadhaa zilizopita ambaye alikuwa Kiongozi wake kipindi Dogo alipokua na kundi la Tip Top Connection. Akihojiwa na Millard Ayo wa Cluds FM, Dogo alisema yafuataayo:-

-Japo alisema kuwa hawezi rudi Dar ila wazazi wake walimshauri sana arudi Dar na kuendelea na…

Continue

Added by Tulonge on June 22, 2012 at 22:10 — 2 Comments

Picha 21 za warembo toka Afrika watakao shiriki Miss World 2012 akiwemo mtanzania.

Miss World 2012 yatakuwa ni mashindano ya 62 toka kuanzishwa, yatafanyika tarehe 18/08/2012 huko Dongsheng Fitness Center Stadium, Ordos, Inner Mongolia, China.

ANGOLA

Name: Edmilza SANTOS

Age: 22

Height: 172

 

EQUATORIAL GUINEA

Name:…

Continue

Added by Tulonge on June 22, 2012 at 20:30 — 8 Comments

"Wewe bwana mdogo hebu sikiliza", ndivyo Mh. Lukuvi anavyoonekana kumwambia Mh. Mnyika

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, (Sera, Uratibu na Bunge), William Lukuvi akizungumza na Mbunge wa Ubungo, John Mnyika katika viwanja vya bunge jana. Mnyika amerejea kuhudhuria vikao vya bunge baada ya juzi kutimuliwa bungeni na Naibu Spika wa Bunge, Job Ndugai. Picha na Edwin Mjwahuzi

Chanzo:…

Continue

Added by Tulonge on June 21, 2012 at 7:31 — 7 Comments

Ukiwa nacho USIMDHARAU asiye nacho

Wadau tukumbuke hali ya maisha huweza kubadilika wakati wowote. Leo waweza kuwa tajiri lakini kesho ukawa masikini na:-

Atembeae kuwa Kiwete

Aonae kuwa Kipofu

Aongeae kuwa Bubu

Mzima kuwa Mfu

n.k

Endapo unaamini hayo yanaweza tokea wakati wowote, basi huna budi kumuheshimu yule asiye nacho ulicho nacho…

Continue

Added by Tulonge on June 21, 2012 at 3:00 — 16 Comments

Jamani!! Mwacheni Diamond alipwe hela nyingi, ona anavyo umiza kichwa kuandika mistari.

Picha hizi zinamuonesha Diamond akiwa ndani ya Mj Records akifanya tangazo la Cocacola na Marco Chali. Hapo akawa anafanya marekebisho ya mashairi yake ili arekodi. Nadhani unaona Bwana mdogo anavyo umia kichwa. Nadhani anastahili kuwa na umaarufu pamoja na hela alizonazo kwa sasa.…

Continue

Added by Tulonge on June 21, 2012 at 2:00 — 8 Comments

Mr.Blue feat Major Power - Loose control

Added by Tulonge on June 21, 2012 at 1:36 — 3 Comments

Mitanange ya EURO 2012 itaendelea hivi...

Added by Tulonge on June 20, 2012 at 20:30 — 4 Comments

John Mnyika: "Msimamo wangu wa sasa juu ya Kauli yangu bungeni!"

Mbunge wa jimbo la Ubungom Mh John Mnyika akitoka nje ya Bunge baada ya kuamriwa kufanya hivyo na Naibu spika.

Nitatoa tamko la kina baadae kuhusu kilichotokea lakini kwa ufupi ubovu wa bajeti hii ni matokeo ya udhaifu wa Rais Kikwete, yeye ndiye aliyesaini Mpango wa Taifa wa miaka mitano kama Kiongozi Mkuu wa Nchi tena kwa wino…

Continue

Added by Tulonge on June 19, 2012 at 19:30 — 7 Comments

Diamond anunua gari ya mil 60

"Thanx God my New Ride its finaly here" hii ndiyo sentensi ya Diamond aliyo iandika kwenye blog yake akimshukuru Mungu kwa kumuwezesha kuitua gari hiyo (Land Cruiser-Prado) kwenye himaya yake. Kijana anazidi kuthibitisha mafanikio ya kazi yake ya muziki.…

Continue

Added by Tulonge on June 19, 2012 at 17:00 — 2 Comments

Mbunge wa Jimbo la Ubungo Mh. John Mnyika asema waziwazi kuwa Rais Kikwete ni DHAIFU

Mh. John Mnyika

Mbunge wa Jimbo la Ubungo Mh. John Mnyika amesema waziwazi kuwa Rais Kikwete ni DHAIFU na Tanzania ilipofikia ni kwa sababu ya UPUUZI wa CCM.

  • Mnyika agoma kufuta kauli yake.
  • Naibu spika awaamuru askari wa Bunge wamtoe nje Mnyika hadi nje ya geti la eneo la Bunge.
  • Kwa…
Continue

Added by Tulonge on June 19, 2012 at 12:11 — 9 Comments

Alicho kiandika Diamond kuhusu kivazi kifupi cha Sarha Israel Miss Tanzania 2011

Miss Tanzania 2011, Sarha Israel

"Mnh! jamani walimbwende wetu kweli tunapenda mpendeze ila angalieni bas mavazi yenu namna hii vichupi wazi tunawafunza nini watoto na…

Continue

Added by Tulonge on June 19, 2012 at 7:00 — 17 Comments

© 2020   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*