Tulonge

Tulonge's Blog – June 2012 Archive (104)

Kenya: Pilot alazimika kutua Helkopta shambani kutokana na hali ya hewa kuwa mbaya.

Helkopta hiyo ikiwa imetua shambani.

Tukio hili limetokea huko Kenya pale Pilot,Bw. Allan Roo(75) alipolazimika kutua shambani baada ya kuona wingu limetanda ambalo lingempelekea kushindwa kuona mbele endapo angeendelea na safari.

Baada ya kuona hivyo, pilot huyo ambaye pia ni mtengeneza sinema aliamua kuitua Helkopta…

Continue

Added by Tulonge on June 19, 2012 at 2:00 — No Comments

Euro 2012:Matokeo ya mechi za kundi C jana. Italy na Spain zaingia robo fainali.

Hapo juu ni matokeo ya mechi za kundi C za michuano ya Euro 2012. Matokeo hayo yamezifanya timu za Italy na Spain kufuzu kwa hatua ya robo fainali kama msimamo wa kundi A unavyoonekana hapo chini.

Mechi za kesho za kundi D ni kama ifuatavyo:-…

Continue

Added by Tulonge on June 19, 2012 at 1:24 — No Comments

India: Baba amuua mtoto wake kwa kuwa alizaliwa wa kike.

Mama wa mtoto kulia akihojiwa na mtangazaji wa cnn kuhusu tukio hilo.

Yafuatayo ni maelezo yaliyo tolewa na Mama wa mtoto:-

"After my delivery my husband had come to see me and the baby. He said, 'It is a girl, why did you give…

Continue

Added by Tulonge on June 19, 2012 at 1:00 — 5 Comments

Maajabu:Kuku aliyeishi kwa miaka miwili bila kichwa miaka ya 1945.

Mike the headless chicken is fed through an eye dropper, directly into his esophagus, in 1945.

A picture of the suitcase containing the tools for feeding Mike the headless chicken,…

Continue

Added by Tulonge on June 19, 2012 at 0:33 — 2 Comments

Nigeria:Boko Haram wadai kuhusika kulipua makanisa matatu

Milipuko iliyo tokea huko Nigeria (Jimbo la Kaduna) jana ilisababisha vifo vya watu 21 na makanisa matatu kulipuliwa vibaya. Baadhi ya waumini waliokuwa wakiendelea na misa na raia wa eneo hilo walijeruhiwa.

Kikundi cha Boko Haram kimedai kuhusika na milipuko hiyo.…

Continue

Added by Tulonge on June 18, 2012 at 13:58 — 3 Comments

Wanamuziki wa Tanzania AY na Mwana FA wakiburudisha ndani ya jumba la Big Brother Africa

Ile nyota ya watanzania kualikwa ndani ya jumba la BBA imezidi kung'aa baada ya wasanii wa muziki wa kizazi kipya AY na Mwana FA kualikwa kufanya show ndani ya jumba hilo usiku wa jana. Watanzania wengine waliyo alikwa ndani ya jumba hilo kwa kipindi hiki ni Diamond na DJ Fetty wa Clouds FM.…

Continue

Added by Tulonge on June 18, 2012 at 0:00 — 4 Comments

Euro 2012:Matokeo ya mechi za kundi B leo. Germany na Portugal zaingia robo fainali.

Hapo juu ni matokeo ya mechi za kundi B za michuano ya Euro 2012. Matokeo hayo yamezifanya timu za Germany na Portugal kufuzu kwa hatua ya robo fainali kama msimamo wa kundi A unavyoonekana hapo chini.

Mechi za kesho za kundi C ni kama…

Continue

Added by Tulonge on June 17, 2012 at 23:55 — 2 Comments

Miss Tanzania mshindi wa pili 2006 ndiye atakaye tuwakilisha Miss World 2012. Atatuwakilisha vema?

Lisa baada ya kutangazwa mshindi jana

Aliyekuwa mshindi wa pili wa Miss Tanzania 2006 Lisa Jensen ndiye aliyeibuka  mshindi wa taji la Redds Miss World Tanzania jana usiku baada ya kuwashinda washiriki wengine tisa. Inasemekana shindano hili lilifanyika ghafla baada ya tarehe ya kinyang'anyiro cha Miss World kurudishwa nyuma ghafla.…

Continue

Added by Tulonge on June 17, 2012 at 21:00 — 8 Comments

Tanzania yatolewa na Msumbiji kwenye michuano ya kufuzu kucheza Kombe la Mataifa ya Afrika 2012

Timu ya soka ya Tanzania (Taifa Stars) imetupwa nje ya mashindano ya kuwania tiketi ya kuvuzu kucheza fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika 2012 baada ya kufungwa na Msumbiji kwa penati (8-7). Msumbiji walianza kupata bao dakika ya 10 kipindi cha kwanza na baadae kipindi cha pili dakika ya 92 Tanzania walisawazisha. Baada ya hapo penati zilipigwa na Tanzania kupata 7, wakati…

Continue

Added by Tulonge on June 17, 2012 at 19:30 — 6 Comments

Master J: Studio zimekuwa nyingi kama Saluni, muziki sasa haulipi

Producer mkongwe na mmiliki wa studio ya Mj Records Joakim Kimaryo aka Master J, amesema studio za muziki zimekuwa nyingi mno kiasi cha kufanya biashara hiyo kuwa ngumu.

Alisema ongezeko la studio za kurekodi muziki nchini ambazo hazina bei moja inayofanana limefanya biashara ya muziki kuzorota kila kukicha.

Akiongea na kipindi cha Bongo Fleva cha Clouds FM jana,…

Continue

Added by Tulonge on June 17, 2012 at 19:01 — 3 Comments

Euro 2012:Matokeo ya mechi za kundi A jana. Greece na Czech zaingia robo fainali.

Hapo juu ni matokeo ya mechi za kundi A za michuano ya Euro 2012. Matokeo hayo yamezifanya timu za Greece na Czech kufuzu kwa hatua ya robo fainali kama msimamo wa kundi A unavyoonekana hapo chini.

Mechi za leo za kundi B ni kama ifuatavyo:-…

Continue

Added by Tulonge on June 17, 2012 at 0:46 — 1 Comment

P.Square watangaza kutoendelea kuwasiliana kupitia facebook

Maelezo hayo yalitolewa na Peter Okoye kupitia mtandao wa kijamii "twitter" kama ifuatavyo:-

Peter ambaye ni pacha wa Paul wanaounda kundi la P.Square ametangaza kutoendelea kuwasiliana na wadau kupitia facebook kutokana baadhi ya watu kutumia jina la P Square kidanganyifu ili kujipatia hela.

Pamoja na hilo, pia Peter alionesha kufurahishwa na jinsi video yao…

Continue

Added by Tulonge on June 16, 2012 at 23:34 — 1 Comment

Binti akiri kutembea na wanaume 5000.

Added by Tulonge on June 16, 2012 at 22:30 — 2 Comments

AT aukubali wimbo "Babu Jinga" wa mahasimu wake Offside Trick.

AT

Licha ya kuwa katika ugomvi wa maneno na Offside Trick, AT ameusifia wimbo unaoitwa "Babu jinga" wa Offside Trick kuwa ni mzuri sana. Ni nadra sana kwa wasanii ambao wametofautina kusifiana kazi zao, nadhani AT anaweza kuwa mmoja kati ya wachache.

Amesema kuwa huwa anasikiliza nyimbo za wanamuziki wengine wakiwemo Offside…

Continue

Added by Tulonge on June 16, 2012 at 22:00 — No Comments

Pale Obama aliposahau kulipa bili baada ya chakula cha mchana na Vinyozi na Wanajeshi wakifurahia siku ya Baba.

Barack Obama isn’t necessarily known for being fiscally responsible, but it seems he may be a bit oblivious when it comes to personal finances as well as national.

ABC explains:

Amid the bustle of President Obama’s surprise stop for barbecue Wednesday the White House apparently overlooked one key detail: the bill.

Celebrating Father’s Day early, the…

Continue

Added by Tulonge on June 16, 2012 at 21:00 — 4 Comments

Video mpya ya AY feat. Marco Chali


Video hii imetengenezwa Afrika Kusini na umegharimu mil 30.

Added by Tulonge on June 16, 2012 at 10:30 — 3 Comments

Jela miaka 20 kila mmoja kwa kuua pundamilia huko Mara

WATU watatu wamehukumiwa na mahakama ya wilaya ya Bunda, mkoani Mara, kutumikia adhabu ya kifungo cha miaka 20 jela kila mmoja, baada ya kupatikana na makosa ya kuua mnyama aina ya pundamilia, ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Serengeti kinyume cha sheria.

Hukumu hiyo imetolewa na hakimu mkazi Mwandamizi wa Mahakama ya Wilaya ya Bunda, Joachim Tiganga, baada ya kuridhika na…

Continue

Added by Tulonge on June 16, 2012 at 9:20 — No Comments

Nigeria: Watoto masikini waliopoteza wazazi wao kwenye ajali ya Ndege (Dana).

Watoto Joel, Chisom na Esther ni moja kati ya wanafamilia ambao walipata pigo kubwa kwa kuwapoteza wazazi wao Jeremiah and Josephine Okwuchukwu katika ajali ya ndege ya Dana iliyotokea hivi karibuni huko Lagos.

Wazazi hao walikua wakarimu sana na waliipenda familia yao na kuwalea watoto katika maadili ya kidini zaidi licha ya kuwa masikini. Umasikini wa familia hiyo…

Continue

Added by Tulonge on June 15, 2012 at 19:38 — 6 Comments

Hizi ndizo tuzo kwa mwaka 2011 zilizo tolewa kwa wanamichezo mbalimbali jana Diamond Jubilee

Mchezaji wa Simba Shomari Kapombe ndiye aliye jinyakulia tuzo ya mwana michezo bora wa mwaka 2011 na kujinyakulia kitita cha Tsh. Mil 12 na kukambidhiwa na Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili,Mh. Ali Hassan Mwinyi ambaye alikua mgeni rasmi.

1. OLIMPIKI MAALUM-Zanzibar: Ahmada Bakar

2. OLIMPIKI MAALUM-TANZANIA BARA: HERITH SULEIMAN

3. PARALIMPIKI-WANAUME: ZAHARANI…

Continue

Added by Tulonge on June 15, 2012 at 8:05 — 2 Comments

© 2020   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*