Tulonge

Tulonge's Blog – June 2013 Archive (98)

Wadondoka kupitia dirishani wakifanya tendo la ndoa

Wapenzi wameanguka na kufa baada ya dirisha walipokuwa wakifanyia mapenzi kufunguka ghafla nchini China.

Wawili hao wanasemekana kudondoka kutoka kwenye dirisha la jengo moja la makazi kwenye jiji la Wuhan nchini humo pale dirisha hilo walilokuwa wameegemea kufunguka.

Mashuhuda walivieleza vyombo vya habari vya China kwamba wapenzi hao walikumbatiana wakati wakianguka kwenye njia ya waenda kwa miguu nje.

Kwa mujibu wa The Sun,…

Continue

Added by Tulonge on June 30, 2013 at 20:23 — No Comments

Wachezaji wa Tanzania chupuchupu kutapeliwa kwa tamaa ya kucheza Ulaya

Mngetapeliwa; Kutoka kulia, Athumani Iddi 'Chuji',Amri Kiemba na Nadir Haroub 'Cananvaro', wachezaji wa Taifa Stars wanaocheza nyumbani, ambao wote wana kiu ya kucheza Ulaya

Na Mahmoud Zubeiry, IMEWEKWA JUNI 30, 2013 SAA 2:31 ASUBUHI

UTAPELI umedunda! Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limeshitukia utapeliwa uliotakwa kufanywa na watu wanaojifanya…

Continue

Added by Tulonge on June 30, 2013 at 10:00 — No Comments

Video:Wakuu wa nchi za Afrika wajadili namna ya kutegemea sayansi na Teknolojia kwa maendeleo


Majadiliano ya kimataifa ya nchi za Afrika kwa manuafaa ya wote yameingia katika siku ya pili ambao washiriki wakiwemo wakuu Wa nchi mbalimbali wameanza kujadili namna ya kutegemea sayansi na teknolojia katika kuleta maendeleo ya kijamii na kiuchumi kwa haraka zaidi bila ya kuathiri haki za binadamu

Added by Tulonge on June 29, 2013 at 23:10 — 1 Comment

Picha na Video za Ziara ya Obama pamoja na Maandamano dhidi yake huko Afrika Kusini leo

In South Africa, protests against many facets of US foreign policy are taking place as President Obama continues his visit to the country.At the University of Johannesburg Soweto campus, where Mr Obama hosted a question and answer session on Saturday, groups were protesting about the use of drones in…

Continue

Added by Tulonge on June 29, 2013 at 22:30 — No Comments

Ndoa ya jinsia moja(kike) yafanyika huko California

Kristin Perry and Sandra Stier get married in San Francisco City Hall after same-sex marriages are reinstated in California.You can watch the ring exchange and kiss, via ABC 7 Bay Area, below.…

Continue

Added by Tulonge on June 29, 2013 at 8:06 — No Comments

California ex-wife sentenced for cutting off husband's penis

Los Angeles (CNN) -- A southern California woman convicted of cutting off the penis of her then-husband and throwing it into a garbage disposal was given a life sentence Friday with the possibility of parole after seven years, authorities said.

Catherine…

Continue

Added by Tulonge on June 29, 2013 at 3:05 — No Comments

Video: Obama alipotembelea kituo cha kihistoria cha watumwa huko Senegal

Obamas at the 'Door of No Return': First Family makes emotional trip to former slaving port in Senegal from where captives were shipped to America - never to see their homeland again

President Obama and his family visited Goree Island outside of Dakar

The island is where ships picked up slaves bound for North America

Hundreds of slaves were kept in tiny cells…

Continue

Added by Tulonge on June 29, 2013 at 2:36 — No Comments

Utafiti: Umbea una faida kiafya

Kama hujui, wanaume ni wambea zaidi ya wanawake, tofauti ni kwamba wao hawasutani hadharani!

 

Katika jamii yoyote mtu mwenye tabia ya umbea huchukiwa, hutengwa na hata wakati mwingine hupigwa kwa kuonekana kuwa ni chanzo cha migogoro na huku viongozi wa dini wakimwona mtu wa aina hiyo kuwa ni mtenda dhambi.

 

Watu wanaopenda tabia ya umbea huenda…

Continue

Added by Tulonge on June 28, 2013 at 23:44 — 3 Comments

Dodoma: Kesi ya Mh. Joseph Mbilinyi kumuita Waziri Mkuu 'Mpumbavu' yafutwa

Mbilinyi akiingia mahakamani akiongozana na Mwanasheria wake, Lissu (picha: Lukwangule Ent. blog)MWENDESHA Mashitaka wa Serikali (DPP) leo asubui aliambulia patupu baada ya Hakimu wa Mahamaka ya Hakimu Mkazi wa Wilaya ya Dodoma, kumwachia huru Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi, (CHADEMA) ambaye alimfikisha kizimbani kujibu…

Continue

Added by Tulonge on June 28, 2013 at 23:28 — 3 Comments

Eti ni Hoboma au Hubama? kazi kweli kweli

Added by Tulonge on June 28, 2013 at 23:20 — 2 Comments

Morogoro: Binti ajifungua barabarani

BINTI mmoja aitwaye Josephine Michael mkazi wa Kijiji cha Kiegea nje kidogo ya Manispaa ya Morogoro, Jumatano iliyopita alijifungua barabarani wakati akikimbizwa hospitalini kwa kutumia usafiri wa bodaboda.

 

Tukio hilo lililowashtua watu wengi lilitokea asubuhi kwenye Kituo cha Daladala Cha Nanenane kandokando ya Barabara Kuu iendayo Dar es Salaam.…

Continue

Added by Tulonge on June 28, 2013 at 22:25 — No Comments

Gari la kubebea mafuta laanguka Kibaha, watu "kama kawaida" na vidumu vyao...

Lori moja la kubebea bidhaa ya mafuta ya vyombo vya moto likiwa limeanguka eneo la Kongowe, Kibaha kama lilivyokutwa na mpiga picha jioni ya leo. Wananchi wanaonekana na vyombo vya kubebea, wamelizungukaa kana kwamba hawajali hatari inayoweza kutokea kama zilivyotokea nyingine siku zilizopita. (picha kutoka mdau wa wavuti.com via…

Continue

Added by Tulonge on June 28, 2013 at 6:51 — 3 Comments

Obama calls Mandela a 'personal hero'

(CNN) - President Barack Obama, who's tour of Africa this week includes a stop in South Africa, said Thursday his thoughts are with the nation's citizens as anti-apartheid icon Nelson Mandela remains critically…

Continue

Added by Tulonge on June 28, 2013 at 6:37 — 1 Comment

Membe "Mliopo mikoani msije Dar hadi Obama atakapo maliza ziara yake"

Waziri wa Mambo ya Nje, Bernard Membe(PICHANI) amewashauri watu walioko mikoani kusitisha safari za kuja Dar es Salaam wakati wa ziara ya Rais wa Marekani, Barrack Obama kutokana na wingi wa wageni katika jiji hilo.

 

Ugeni huo pamoja na ule wa viongozi kumi na moja kutoka nchi mbalimbali duniani watakaohudhuria mkutano wa kimataifa wa Smart Partnership…

Continue

Added by Tulonge on June 27, 2013 at 10:21 — 7 Comments

Njia mbalimbali za kumuombea Mandela zinatumika kwa sasa, huyu ametumia hii.

Artist Sudarshan Pattnaik gives finishing touches to a sand sculpture of former South African President Nelson Mandela with a message, at a beach in Puri - AP

Added by Tulonge on June 27, 2013 at 8:48 — 7 Comments

Nelson Mandela's breathing now depends on LIFE SUPPORT MACHINE

Johannesburg: Anti-apartheid icon Nelson Mandela has been kept on a life-support system following deterioration of his health condition at a South African hospital where the 94-year-old leader was admitted three weeks ago with a recurring lung infection.

 

"Ailing former President Nelson Mandela is on life support in the Pretoria Heart Clinic where he has been fighting a recurrent lung infection since June 8," The Citizen' newspaper reported.

 

According to the…

Continue

Added by Tulonge on June 27, 2013 at 8:32 — 3 Comments

Video: Mfalme Mswati wa Swatzland alipowasili Dar jana


Mfalme wa tatu wa Swatzland amewasili nchini na kupokelewa na mwenyeji wake makamu wa rais Dkt Ghalib Bilali aliyeambata na viongozi mbalimbali wa serikali akiwemo waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa Mhe. Bernad Membe.

Added by Tulonge on June 27, 2013 at 7:00 — 8 Comments

Mtandao wa Kutetea Wanahabari Duniani (CPJ) wamuomba Obama kujadili na Kikwete kuhusu Uhuru wa vyombo vya habari TZ

Mtandao wa Kutetea Waandishi wa Habari Duniani (CPJ), umemwandikia barua Rais Obama ukimtaka kujadiliana kwa kina na mwenyeji wake Rais Kikwete wakati wa ziara yake nchini kuhusiana na vitendo vya kuuawa na kuteswa kwa waandishi wa habari wa Tanzania.

Katika barua hiyo iliyosainiwa na Mtendaji Mkuu wa CPJ, Joel Simon na nakala yake kusambazwa kwa viongozi…

Continue

Added by Tulonge on June 27, 2013 at 6:30 — 2 Comments

Kigamboni MP offers a scholarship (re-advertised)

I am offering one (tuition free) scholarship for an interested person to study Bachelor of Science in Computer Engineering and Information Technology or Bachelor of Business Administration at the United African University of Tanzania (UAUT).

UAUT is run by the Korean Church Mission and is located in Vijibweni, Kigamboni Constituency, Temeke District in Dar es Salaam.

Those interested in this scholarship should meet the folowing criteria;

  1. Should be…
Continue

Added by Tulonge on June 26, 2013 at 7:30 — 2 Comments

Picha tano za shindano la Bibi mlimbwende huko Brazil

Shindano hili lilifanyika huko Brazil na lilishirikisha wazee wenye umri wa miaka zaidi ya 60. Kulikua na jumla ya washiriki 200 ambapo kati ya hao mshiriki mkubwa kuliko wote alikua na miaka 87. Sababu kubwa ya shindano hili ni kuwapa furaha wazee hao na kujisikia kua bado wanacho cha kujivunia mbele ya jamii licha ya umri wao kuwa mkubwa.…

Continue

Added by Tulonge on June 26, 2013 at 7:19 — 3 Comments

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*