Tulonge

Tulonge's Blog – June 2013 Archive (98)

Wawili wafariki Dunia katika ajali iliyotokea kijiji cha Uhelela Dodoma

Watu wawili wamefariki dunia papo hapo na wengine wawili kujeruhiwa kwenye ajali ya barabarani iliyotokea katika kijiji cha Uhelela mpakani mwa mkoa wa Dodoma na Singida baada ya basi la kampuni ya Sumry lililokuwa likitoka Bukoba kuelekea jijini Dar es salaam kuligonga kwa nyuma lori la mizigo lililokuwa limeegeshwa katikati ya barabara.

Added by Tulonge on June 26, 2013 at 6:49 — No Comments

Ulinzi wa Obama Dar ni balaa

Dar es Salaam. Maandalizi ya ujio wa Rais wa Marekani, Barack Obama nchini yanazidi kupamba moto huku maofisa wa usalama wa Marekani wakipiga kambi katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam.

 

Aidha, kutokana na ujio huo, Serikali imeagiza mashirika yote ya ndege kubadili ratiba zao za safari Julai Mosi, siku ambayo…

Continue

Added by Tulonge on June 26, 2013 at 6:44 — 5 Comments

Joseph Mbilinyi(Mb) akanusha kuomba radhi baada ya kumuita Waziri mkuu mpumbavu

Baada ya Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda kutamka kuwa watakao kaidi kufuata sheria wapigwe, Mbunge wa Mbeya Mjini Mh.Joseph Mbilinyi aliandika kwenye ukurasa wake wa facebook kuwa hajawahi ona Waziri Mkuu Mpumbavu kama Pinda.

Leo mitandao kadhaa ya kijamii iliripoti kuwa Mh.Mbilinyi aliamua kuomba radhi kufuatia kauli hiyo.Lakini masaa machache yaliyopita Mbunge huyo…

Continue

Added by Tulonge on June 24, 2013 at 21:35 — 2 Comments

Binti mtanzania mwenye kipaji cha kuchezea mpira ang'ara kwenye mtandao mkubwa UK "The SUN"

Binti mtanzania mwenye kipaji cha kuuchezea mpira wa miguu jinsi atakavyo ameng'ara kwenye mtandao mkubwa Dunia 'The SUN' na kushangaza wengi watembeleao mtandao huo. Zifuatazo ni comments za baadhi ya wadau wa mtandao huo.

Hii ni moja kati ya video…

Continue

Added by Tulonge on June 24, 2013 at 9:00 — 5 Comments

Ulikua ni wakati mgumu sana kwa Barnaba kipindi chote cha msiba wa Mama yake

Huu ndio Ujumbe wa Barnaba Boy Classic kwa friends wake wa BBM

"Nasikitika sana san jamani siwez eleza lakin naumia naumia naumia san sana sana. Jamani.. Asubu ya leo. Kwangu imekuwa mbaya mbaya. Sema ndo siwez laumu ila mama angu mzazi alieniza amefariki. Dunia kwa PRESHA. Jamani naumia sana sana... Jamani. natamani aamke aniage kidogo ndo aondoke naumia jamani. Mama…

Continue

Added by Tulonge on June 24, 2013 at 6:30 — 2 Comments

Mzee Mandela yu mahututi hospitalini

Mzee Nelson Mandela

Madaktari wanaomtibu rais wa zamani wa Afrika Kusini, Mzee Nelson Mandela wamesema hali yake imekuwa sio nzuri kwa saa ishirini na nne zilizopita na sasa ni mahututi.

Habari hizo zimekuja kupitia taarifa iliyotolewa na ofisi ya rais ya Afrika Kusini.

Taarifa hiyo imesema bado Mzee…

Continue

Added by Tulonge on June 24, 2013 at 6:10 — 2 Comments

'Kidela' Abdul Kiba ft. Ali Kiba

Added by Tulonge on June 24, 2013 at 0:51 — No Comments

Video: Pale Rihanna alipoamua kumpiga shabiki wake na 'mic' kichwani

Tukio hili lilitokea katika 'concert' iliyofanyika huko UK baada ya Rihanna kuamua kushuka chini toka jukwaani ili apeane mkono na washabiki wake. Shabiki mmoja baada ya kupewa mkono na Rihanna aliung'ang'ania na kumfanya Rihanna ashindwe kosonga mbele. Hapo ndipo alipogeuka na kumtandika shabiki huko 'mic' ya kichwa…

Continue

Added by Tulonge on June 23, 2013 at 7:50 — 1 Comment

Maneno ya Mh. Joseph Mbilinyi kufuatia kauli ya Waziri Mkuu "Nasema wapigwe tu"

Hapo juu ndicho alichokiandika Mbunge wa Mbeya mjini Mh. Joseph Mbilinyi a.k.a Sugu kwenye ukurasa wake wa facebook kufuatia kauli ya Waziri mkuu Mh. Mizengo Pinda kuhusu watu watakao kataa kutii amri za vyombo vya dola.

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda ameagiza vyombo vya dola kuwashughulikia kwa kuwapiga wale watakaokataa kutii amri wakati wakifanya vitendo vya uvunjifu wa…

Added by Tulonge on June 22, 2013 at 23:27 — 3 Comments

Confederations Cup: Spain YAITANDIKA Tahiti 10-0

Mambo yalikua kama uonavyo hapo chini

Added by Tulonge on June 21, 2013 at 1:45 — No Comments

Nassari: Lowassa anahusika kunipiga

Dar es Salaam. Mbunge wa Arumeru Mashariki (Chadema), Joshua Nassari amemtuhumu Mbunge wa Monduli Edward Lowassa kwamba anahusika na kipigo alichokipata kutokana na chuki aliyonayo kwake.

Aidha amemtuhumu Spika wa Bunge, Anne Makinda kwamba naye ni miongoni mwa watu wanaomchukia pamoja na viongozi wengine wa Bunge, kwa kuwa hakuna kati yao aliyempigia…

Continue

Added by Tulonge on June 20, 2013 at 21:51 — 1 Comment

Video:Mbowe na Lema wajisalimisha polisi, wakataa kutoa ushahidi wadai jeshi la polisi pia ni watuhumiwa

Mwenyekiti wa chama cha demokrasia na mandeleo Mh. Freeman Mbowe na mbunge wa jimbo la Arusha Godbless Lema wamejisalimisha kwa jeshi la polisi huku wakiendelea kusisitiza kuwa ushahidi walio nao hawatauwasilisha kwa jeshi la polisi mpaka pale rais Jakaya Kikwete atakapounda tume huru ya majaji ya uchunguzi.

Added by Tulonge on June 20, 2013 at 21:19 — No Comments

"I hired gang to kill my husband"

Faith Maina in court in Nairobi. She pleaded guilty to hiring some men to kill her husband, not knowing that she was dealing with police officers. PAUL WAWERU | NATION MEDIA GROUP

A Kenyan woman has pleaded guilty to plotting to kill her husband by hiring gangsters who turned out to be police officers from the Flying Squad…

Continue

Added by Tulonge on June 20, 2013 at 15:33 — 3 Comments

Ofisi ya Bunge yamhamishia Nassari Hospitali ya Muhimbili

 

Mbunge wa Arumeru Mashariki,Joshua Nassari akiwa amelazwa kwenye ndege akifungwa mkanda tayari kwa kusafirishwa kutoka Arusha na kuamishiwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es Salaam jana. Picha na Filbert Rweyemamu

Arusha. Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari amehamishiwa Hospitali ya Taifa…

Continue

Added by Tulonge on June 20, 2013 at 6:58 — 1 Comment

Msikilize Saida Kaloli akikanusha habari za uzushi kuhusu kifo chake


Leo baadhi ya mitandao ya kijamii ililipoti kuwa msanii wa nyimbo za asili Saida Kaloli amefariki kwa ajali na boti katika ziwa Victoria

Added by Tulonge on June 19, 2013 at 18:25 — 1 Comment

Kenya: Aliye vuliwa nguo na polisi ili kubaini jinsia kulipwa

Mwanamume aliyevuliwa nguo na polisi ili wathibitishe jinsia yake, atalipwa ridhaa ya Sh200, 000 na Serikali kwa kuvunjiwa heshima. Mwanamume huyo ana tatizo la kujitambua kijinsia (Gender Identity Disorder) na huvalia nguo za kike.

 

aji Mumbi Ngugi alisema maafisa wa polisi katika kituo cha Thika walikiuka haki za Alexander Ngungu Nthungi kwa kumvua nguo…

Continue

Added by Tulonge on June 19, 2013 at 1:49 — 3 Comments

Video:Wafuasi wa Chadema watawanywa na mabomu ya machozi Arusha


Jeshi la polisi mkoani Arusha limetumia mabomu ya machozi kuwatawanya wananchi na viongozi wa chama cha demokrasia na maendeleo Chadema waliokuwa wamekusanyika kwenye uwanja wa Soweto ulipotokea mlipuko wa bomu baada ya kukaidi amri ya kutawanyika katika eneo hilo iliyotolewa na jeshi hilo.

Added by Tulonge on June 19, 2013 at 1:33 — 1 Comment

Mdau umeipata hii?

Added by Tulonge on June 19, 2013 at 1:32 — No Comments

© 2020   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*