Tulonge

Tulonge's Blog – June 2013 Archive (98)

Askari 12 wafukuzwa kwa kushiriki biashara haramu

HATIMAYE Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam, limeamua kuwafukuza kazi askari wake 12 wanaotumiwa kujihusisha na biashara za magendo na kuwalinda wafanyabiashara wanaokwepa kodi.

Awali kabla ya hatua hiyo kufikiwa askari 16 walikuwa wakishikiliwa katika kituo cha kati na uchunguzi uliofanyika dhidi yao wanne walibainika kutohusika na tuhuma hizo.

Tanzania Daima imedokezwa kuwa askari 12 waliofukuzwa kazi wakati wowote kuanzia sasa watafikishwa katika…

Continue

Added by Tulonge on June 7, 2013 at 17:24 — 2 Comments

Wadau mlioniomba niwawekee nakala ya Rasimu rasmi ya Katiba Mpya ya Tanzania, hii hapa.

Bofya hapo chini uweze isoma, ina 5mb.

rasimu__final___ya_katiba_2013.pdf

Added by Tulonge on June 7, 2013 at 17:14 — No Comments

Wadau mnamkumbuka Kibakuli wa Kaole Sanaa Group? Huyu hapa

Dar. Mwigizaji wa tamthilia aliyewahi kutamba miaka ya 90 katika kundi la Kaole Sadiki Mbelwa maarufu kama Kibakuli ameibuka upya katika tasnia ya filamu akifanya kazi tofauti kabisa na kipaji chake cha awali.

Akizungumza Kibakuli alisema kwa sasa yeye ni soundman (anayehusika na marekebisho ya sauti katika filamu) kwenye kampuni ya Landline Production na punde…

Continue

Added by Tulonge on June 6, 2013 at 23:54 — 8 Comments

Video: Maelfu wamzika Mangwea Morogoro

Maelfu ya wananchi wa mkoa wa Morogoro na maeneo mengine ya jirani wamejitokeza kwa wingi kuuaga na kuuzika mwili wa aliyekuwa msanii wa kizazi kipya, Albert Magwea maarufu kama Ngwear au Cowboy.

Added by Tulonge on June 6, 2013 at 22:25 — No Comments

Khadija Kopa baada ya kupokea taarifa ya kifo cha Mumewe

Baadhi ya viongozi na wananchi wa mkoa wa Rukwa na Mpanda wakimsindikiza kuapanda ndege msanii wa taarab na malkia wa mipasho Tanzania Khadija Omar kopa kwenye uwanja wa ndege wa mpanda baada ya kupewa taarifa ya kufiwa na mumewe Jafari Ali Yussuf aliyefariki Dunia leo alfajiri kutokana na ugonjwa, Bi Khadija Kopa alikua akitokea kwenye Maadhimnisho ya siku ya Mazingira…

Continue

Added by Tulonge on June 6, 2013 at 17:12 — 3 Comments

Uganda: Ukimwi kupimwa nyumba hadi nyumba

Kampala. Kampeni ya kupima virusi vya ugonjwa wa Ukimwi, imeanza kwenye makazi ya watu na maeneo yenye mkusanyiko mkubwa wa biashara nchini Uganda.

Kampeni hiyo ya kupimwa virusi hivyo ilianza jana kwa watalaamu kupita nyumba kwa nyumba na maeneo yenye mkusanyiko wa biashara. Mratibu wa kampeni hiyo, Possy Kyiira kutoka Wizara…

Continue

Added by Tulonge on June 6, 2013 at 15:25 — 1 Comment

Dondoo na Picha ya kinachoendelea kwenye msiba ya Mangwea Morogoro,M 2 the P ashiriki.

Msanii M to the P ambaye alilikua akiishi na Mangwea Afrika kusini akilia kwa uchungu wakati wa kuaga mwili wa rafiki yake. Picha na DjChoka

-M to the P ambaye alikua na Mangwea huko Afrika Kusini awahi mazishi ya Rafiki yake. Awali alifichwa juu ya kifo cha Mangwea maana na yeye hakuwa na hali nzuri. Lkn…

Continue

Added by Tulonge on June 6, 2013 at 15:00 — 7 Comments

Benki ya Exim, Tanzania yaongoza kwa kutoa huduma bora

BENKI ya Exim ya Tanzania imetajwa katika utafiti uliofanywa na kampuni ya kimataifa ya ukaguzi wa hesabu ya KPMG kuwa miongoni mwa benki zinazowajali wateja na kujiimarisha katika sekta ya kibenki.

Kwa mujibu wa utafiti huo wa KMPG kwa sekta ya kibenki kwenye nchi 14 barani Afrika ikiwemo Tanzania ikihusisha masuala mbalimbali ya huduma kwa wateja kati ya Juni na Desemba mwaka jana, Benki ya Exim iliongoza kwa kujali wateja wake hapa nchini ikifuatiwa na benki ya Barclays na…

Continue

Added by Tulonge on June 6, 2013 at 12:10 — No Comments

Wengi wajitokeza kuupokea mwili wa Ngwea huko Morogoro

Msafara wa kupokea mwili wa msanii marehemu Albert Mangwea ukiwa unaingia morogoro hapa ni eneo la nane nane,Umati mkubwa ulijitokeza katika mapokezi hayo jioni ya jana. Zaidi ya pikipiki 150 zilikuwepo kwenye msafara wa kuupokea mwili wa Ngwea…

Continue

Added by Tulonge on June 6, 2013 at 11:30 — 2 Comments

Video:Binti Mtanzania aliyekamatwa Misri akituhumiwa kusafirisha dawa za kulevya

Kwa mujibu wa tovuti ya SalmaMsangi.com, yupo binti kwa jina Fatma almaarufu huko Ilala, Dar es Salaam kwa jina la Brown Berry ambaye inasemekana amekamatwa nchini Misri kwa tuhuma za kusafirisha madawa ya kulevya.

Link ya video (imepachikwa hapo chini) iliyowekwa na mmoja wa watoa maoni kwenye mtandao wa Instagram baada ya SalmaMsangi kuweka maelezo na picha ya…

Continue

Added by Tulonge on June 5, 2013 at 22:48 — 5 Comments

Watu wakiendelea kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa Albert Mangwea Leaders Club

Hapa ni viwanja vya Leaders ambapo mwili wa Msanii Albert Mangwea unaagwa kabla ya kusafirishwa kwenda Morogoro kwa mazishi. Wasanii wa tasnia mbalimbali walianza kuaga na baadaye kufuatiwa na watu wengine. Pichani juu ni Msanii Diamond akiwaongoza wenzake kutoa heshima za mwisho kwa marehemu.…

Continue

Added by Tulonge on June 5, 2013 at 11:30 — 1 Comment

Hii ndiyo ndoa ya kwanza ya jinsia moja toka Ufaransa iruhusu ndoa za aina hiyo hivi karibuni

Vincent Autin (40), and his 30-year-old partner, Bruno Boileau

Hii ni ndoa ya kwanza ya jinsia moja kufungwa huko Ufaransa toka nchi hiyo iruhusu ndoa za aiana hiyo hivi karibuni. Tukio hili lilirushwa moja kwa moja na kituo kikuu cha TV cha nchi hiyo. Wageni waalikwa wakiwemo mawaziri wa Ufaransa walihudhuria sherehe hiyo…

Continue

Added by Tulonge on June 4, 2013 at 23:43 — 8 Comments

Kenya: Bibi wa miaka 78 ajiunga na elimu ya Shule ya Msingi

Bibi Mariana kulia akielekezwa jambo na wanafunzi wenzake darasani.

Bibi Mariana Ong'ango Ololo (78) amejiunga na shule ya msingi Obambo huko Kenya akiwa ni mwanafunzi mwenye umri mkubwa kuliko waote shuleni hapo. Bibi huyo alijiunga na shule hiyo tarehe 14 Mei mwaka huu akiwa na sare za shule hiyo na akiwa amenyoa nywele zake.…

Continue

Added by Tulonge on June 4, 2013 at 23:27 — 3 Comments

Duuh! muone jamaa apendaye kula NGE kila siku (video)

Ismail Jasim Mohammed, a farmer from Samara, Iraq, claims he consumes at least one live scorpion every day, and experiences symptoms of withdrawal if he goes three days without eating a nasty stinger.

When people like David Gracer started preaching about the benefits of eating bugs, I don’t think they meant potentially deadly live scorpions. But that hasn’t stopped…

Continue

Added by Tulonge on June 4, 2013 at 23:05 — 3 Comments

Video: Watanzania walivyo muaga Ngwea huko Afrika Kusini

Added by Tulonge on June 4, 2013 at 22:03 — No Comments

Training on Digital Video Editing at UDSM

Added by Tulonge on June 4, 2013 at 22:00 — No Comments

Maalim Seif Sharrif Hamad ataka katiba mpya iitambue Zanzibar kama nchi kamili

Makamu wa kwanza wa rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharrif Hamadi amesema rasimu mpya ya katiba itakayozinduliwa wiki ijayo ili kukubalika kwa Wazanzibari inapaswa kuwa na mwelekeo unaoipa zanzibar mamlaka kamili ya nchi.

Added by Tulonge on June 1, 2013 at 23:45 — No Comments

© 2020   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*