Added by Tulonge on August 27, 2013 at 22:59 — No Comments
Kwa mara ya kwanza katika historia ya Liberia, wanafunzi wote wamefeli mtihani wao wa mwisho wa sekondari na hivyo kumaanisha kuwa hakuna hata mmoja ambaye atafuzu kuingia chuo kikuu.
Waziri wa elimu wa Liberia amesema ameshinda kufahamu ni kwa nini hakuna wanafunzi hao wamefeli kiasi hicho.
Zaidi ya wanafunzi elfu ishirini na watano walianguka…
ContinueAdded by Tulonge on August 27, 2013 at 22:00 — No Comments
Photo of a woman caught with Dhs3 million of drugs (photo: Yahoo! News)
A cross-post from Yahoo! News — A woman caught with Dhs3 million of drugs in her suitcase claims she was unwittingly being used as a mule by her husband, Dubai Police said.
The Tanzanian woman was arrested at Dubai International Airport in transit to her…
ContinueAdded by Tulonge on August 27, 2013 at 13:19 — 3 Comments
DADA wa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Grace Mbowe, amejiunga na Chama Cha Mapinduzi ( CCM) akitokea Chadema, kwa kile alichodai haoni jambo jipya katika chama hicho.
Added by Tulonge on August 26, 2013 at 22:39 — 9 Comments
Steven Mwendwa said he would pay the bride price
The woman had been having affairs with both men for more than four years and apparently refused to choose between them.
The agreement sets out a rota for Sylvester Mwendwa and Elijah Kimani to stay in her house and states they will both help raise any children she…
ContinueAdded by Tulonge on August 26, 2013 at 15:41 — 12 Comments
Teknolojia imekuwa sana siku hizi, kuwasiliana siyo lazima simu, barua au faksi kama ilivyokuwa zamani. Njia kama baruapepe na simu za mkononi ni haraka na zenye ufanisi mkubwa katika mawasiliano.
Tofauti kati ya taasisi za michezo na taasisi nyingine ni kuwa hizi za michezo zina mashabiki ambao lazima wapewe taarifa kila inapobidi. Kabla ya kuanza kwa msimu wa 2010/2011, Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) lilizitaka klabu zote za Ligi Kuu kuajiri ofisa habari ambaye atakuwa na…
ContinueAdded by Tulonge on August 26, 2013 at 14:30 — No Comments
Hili ni sanduku ya aliyekua Mfalme wa Roma(self-appointed Roma king),Florin Cioaba aliyefariki wiki moja iliyopita kwa mshtuko wa moyo huko Uturuki. Sanduku lake lilikua na Kiyoyozi kama lionekanavyo pichani.
Hivi karibuni watanzania tulishangazwa pale tulipoona sanduku la Billionea wa Arusha ambalo…
ContinueAdded by Tulonge on August 26, 2013 at 14:00 — 11 Comments
-Ujenzi kuanza leo, Kenya yaomba megawati 1,000
Na Robert Hokororo
SERIKALI imesema haitasita kuwachukulia hatua kali za kisheria wananchi, watakaofanya hujuma katika mabomba ya kusafirisha gesi yanayotarajiwa kujengwa kutoka Mtwara hadi Dar es Salaam.
Sanjari na onyo hilo,…
ContinueAdded by Tulonge on August 26, 2013 at 8:02 — No Comments
MABASI maalumu kwa ajili ya kubeba wanawake, watoto na watu wenye mahitaji maalumu, yanatarajiwa kuanza kufanya kazi jijini Dar es Salaam, ikiwa ni hatua ya kukabili tatizo la usafiri kwa kundi hilo.
Shirika la Usafirishaji Dar es Salaam (UDA) litaagiza mabasi 2,000 kwa ajili ya kutekeleza mpango huo mwakani.
Mwenyekiti Mtendaji wa Simon Group…
ContinueAdded by Tulonge on August 26, 2013 at 7:09 — 6 Comments
Serikali imefunga mashine mpya na za kisasa zenye uwezo wa kubaini aina yoyote ya dawa za kulevya na nyara za serikali kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar-es-salaam, lengo likiwa ni kudhibiti uingizwaji na upitishwaji wa mizigo uwanjani hapo,ambapo kuanzia sasa mizigo yote inayoingia na kutoka itakaguliwa.
Added by Tulonge on August 26, 2013 at 6:00 — 6 Comments
Hatimaye shindano la BBA 2013 limefikia tamati na binti wa Kinamibia, Dillish amefanikiwa kuwa mshindi na kujinyakulia kitita cha $300,000.
Jinsi kura zilivyopigwa:-
Angola: Dillish
Botswana: Cleo …
ContinueAdded by Tulonge on August 26, 2013 at 0:30 — No Comments
Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe, wabunge Tundu Lissu, Peter Msigwa, Joseph Mbilinyi (Sugu), David Silinde na viongozi wengine wa mkoa na Wilaya ya Iringa mjini, akiwemo Diwani Nyalusi, wanashikiliwa na Jeshi la Polisi, Kituo Kikuu Iringa, eti kwa kosa la kuzidisha muda wa mkutano.
Polisi wanasema mkutano ulimalizika saa 12.30 badala ya saa 12.00
Swali kwa msingi kwa Polisi, sheria gani wanayotumia katika suala hili. Au ni ule mwendelezo wa kutumiwa na…
ContinueAdded by Tulonge on August 26, 2013 at 0:08 — No Comments
Ule uvumi wa kuzuiliwa kwa filamu(Foolish Age) ya msanii Elizabeth Michael 'Lulu' umekanushwa na muhusika mwenyewe (Lulu) baada ya kuweka picha ya kibali cha filamu yake kupitia 'Instagram' .Kibali hicho kimetolewa baada ya kuambiwa afanye maekebisho sehemu chache lakini si kuwa ilikazuiliwa kabisa na Bodi ya Ukaguzi wa Filamu Tanzania.
Ujumbe toka kwa…
ContinueAdded by Tulonge on August 25, 2013 at 18:00 — No Comments
Hapo juu ni moja kati ya 'email' ambazo hutumiwa na wezi kwa njia ya mtandao. Sasa wameamua kuitumia google ili kutafsiri ujumbe wao katika lugha ambayo wanahisi inatumiwa na muhusika. Kwa vyovyote watakua wanatumia wasifu wa mtu ambao ameuweka kwenye ukurasa wake ili kujua sehemu alipo na lugha inayotumiwa eneo hilo.Baada ya kugundua lugha ya eneo hilo, huitumia 'google…
Added by Tulonge on August 24, 2013 at 22:49 — No Comments
Wale wanaotumia mzunguko wa barabara ya Kariokor, wanaelewa fika baadhi ya yale yanaendelea humo. Vijana wanawavizia walioko kwenye magari na kuwiabia simu, mikoba na vitu vingine. Hii leo wanahabari wetu walikita hema katika eneo hilo na kushuhudia jinsi uhalifu huo unavyotekelezwa
Added by Tulonge on August 24, 2013 at 2:22 — No Comments
Asha Mandela (47) kutoka Atlanta, Georgia amefuga nywele hizo kwa miaka 25. Inasemekana zina urefu wa futi 55. Asha amegoma kuzikata nywele zake licha ya kushauriwa na madaktari kutokana na madhara ya kupooza ambayo anaweza kuyapata. Alisema nywele hizo zimekua kama sehemu ya mwili wake, ni maisha yake hivyo kamwe hawezi kuzikata.
Asha huzichukulia nywele hizo…
ContinueAdded by Tulonge on August 24, 2013 at 1:30 — 17 Comments
Ney wa Mitego kushoto, na Madam Ritha
Mkurugenzi wa Benchmark Productions Limited, ambao ndio waandaaji wa EBSS Madam Ritha Poulsen amekanusha habari ya kumpandisha kizimbani mwanamuziki wa Bongo fleva Ney wa Mitego kwa kosa la kumsema Ritha kuwa hawapatii hela washindi wa BSS(Bongo Star Search) pamoja na maneno mengine ambayo yapo…
ContinueAdded by Tulonge on August 24, 2013 at 0:30 — 3 Comments
Yafuatayo ni maelezo toka Blog ya msanii Diamond kuhusu tukio hili:-
Hii ni leo mkoani Tabora,nipo hapa mahususi kabisa
kwaajili ya show ya Fiesta 2013 lakini siku ya
leo wasanii wote ambao tuko huku tulikuwa kwenye
Fursa ya…
Imeandikwa na Happiness Katabazi, Tanzania Daima — MFANYABIASHARA Amadi Ally Popi (35), amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam, akikakabiliwa na makosa mawili likiwemo la kughushi barua inayoonyesha imeandikwa na Waziri Mkuu Mizengo Pinda.
Inspekta wa Polisi Hamis Said mbele ya Hakimu Mkazi Waliarwande Lema alilitaja kosa la kwanza linalomkabili Popi ni la kughushi kinyume na kifungu cha 333,335(a) na 337 cha Sheria ya Kanuni ya Adhabu ya…
ContinueAdded by Tulonge on August 23, 2013 at 21:06 — 2 Comments
2014
2013
2012
2011
1999
© 2021 Created by Tulonge.
Powered by