Tulonge

Tulonge's Blog – August 2013 Archive (116)

Amnajisi mtoto kwa ngono ya mdomoni kwa hadaa ya kumpa mwanasesere

Habari ifuatayo imeandikwa Walter Mguluchuma, Mpanda, Katavi via HabariMseto blog — Fundi aiskeli mmoja mkaazi wa mtaa wa Nsemlwa, wilaya ya Mpanda, mkoa wa Katavi, Athumani Mussa (54) amefikishwa jana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi ya Wilaya ya Mpanda kwa tuhuma za kumlawiti (kunajisi) mdomoni mtoto msichana (4) baada ya kumdanganya kumpatia mdoli wa kuchezea.

Mtuhumiwa alifikishwa mahakamani hapo na kusomewa mashitaka na mwendesha mashitaka mkaguzi wa msaidizi wa…

Continue

Added by Tulonge on August 23, 2013 at 17:34 — 7 Comments

Mwanamuziki mkongwe Muhidin Ngurumo astaafu uimbaji

Msanii maarufu na mkongwe katika muziki nchini tanzania maalim muhidin ngurumo leo ametangaza rasmi kustaafu uimbaji huku akiomba serikali imsaidie katika maisha yake nje ya muziki.

Added by Tulonge on August 22, 2013 at 22:27 — No Comments

Tahadhari: Utapeli kwa kutumia jina la Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria

WIZARA YA KATIBA NA SHERIA

TAARIFA KWA UMMA

Kumezuka wimbi la utapeli kwa baadhi ya watu kutumia jina la Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria kuwarubuni watumishi wa Mahakama na Taasisi zilizo chini ya Wizara ya Katiba na Sheria ili wawatumie pesa kwa njia ya M-Pesa au akaunti ya Benki ili waweze kuteuliwa katika nafasi mbalimbali za uongozi.

Watu hao wamekuwa wakipiga simu Mahakama Kuu ya Tanzania na kujitambulisha kuwa ni…

Continue

Added by Tulonge on August 22, 2013 at 0:39 — No Comments

Rais JK amefanya mabadiliko ya makatibu wakuu

Rais Jakaya Kikwete amefanya mabadiliko ya makatibu wakuu na manaibu katibu wakuu wa wizara zote ambapo miongoni mwao kuna wapya na wengine wa zamani wameachwa ambapo sababu kubwa ni kuimarisha utendaji katika nafasi zao

Added by Tulonge on August 22, 2013 at 0:16 — No Comments

Sakata la dawa za kulevya: Diamond kuchunguzwa

Baada ya msanii maarufu wa muziki wa kizazi kipya nchini Diamond Platnum kutajwa kujihusisha na mtandao wa dawa za kulevya waziri wa Uchukuzi Mwakyembe atoa agizo msanii huyo aanze kuchunguzwa.Msanii huyo leo ameripotiwa na baadhi ya vyombo vya habari kujihusisha na dawa za kulevya.Uchunguzi huo utahusisha kuangalia vyanzo vyake vya mapato kama vinaendana na matumiz…

Continue

Added by Tulonge on August 21, 2013 at 22:23 — 5 Comments

Ngombe zaidi ya 80 wameuwa kikatili wilayani Mvomero-Morogoro

Ngombe zaidi ya 80 wameuwa kikatili kwa kukatwakatwa na wengine kuchinjwa baada ya mifugo kuingia katika mashamba ya wakulima wa vijiji vya Kisara na Mbogo wilaya Mvomero mkoa wa Morogoro .

Added by Tulonge on August 21, 2013 at 0:17 — No Comments

Taarifa ya polisi mkoa wa Dodoma juu ya ajali ya magari iliyotokea kwenye msafara wa mbio za mwenge

Baadhi ya washiriki walikuwa katika msafara wa kwenda kukabidhi mwenge kutoka wilaya ya Dodoma mjini na kuukabidhi katika wilaya ya Mpwapwa wakiangalia moja ya magari yaliyoharibika baada ya kutokea ajali hiyo Gari namba DFP.7178 TOYOTA LAND CRUISER (AMBULANCE) ambayo ni mali ya Halmashauri ya Manispaa ya Dodoma.…

Continue

Added by Tulonge on August 21, 2013 at 0:13 — 3 Comments

Serikali yasema Rais Kikwete SIYO shemejiye aliyekuwa Rais wa Rwanda

Mwambene

Msemaji Mkuu wa Serikali ambaye ni Mkurugenzi wa Idara ya Habari MAELEZO Assah Mwambene leo jijini Dar es Salaam alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa Idara hiyo amekanusha taarifa zilizoandikwa kwenye mitandao kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete ni shemeji wa…

Continue

Added by Tulonge on August 20, 2013 at 23:31 — No Comments

Takwimu za Serikali za mahabusu, wahukumiwa wa kesi za dawa za kulevya

Imeandikwa na Eleuteri Mangi — Serikali imeanzisha mkakati wa kutokomeza wimbi la tatizo la dawa za kulevya nchini kwa kudhibiti viwanja vya ndege na sehemu mbalimbali za mipakani zinazotuhumiwa kupitisha dawa za kulevya.

Hayo yamesemwa na Msemaji Mkuu wa Serikali ambaye ni Mkurugenzi wa Idara ya Habari MAELEZO Assah Mwambene leo jijini Dar es salaam alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa Idara hiyo: “Kwa yeyote aliyekuwa anafikiria kufanya…

Continue

Added by Tulonge on August 20, 2013 at 23:25 — No Comments

Video ya tukio la Sheikh Ponda kusomewa mashtaka jana mahakama ya Morogoro


Katibu wa jumuiya na taasisi za kiislamu nchini shekh Ponda Issa Ponda amepandishwa kizimbani katika mahakama ya hakimu mkazi mkoani Morogoro kujibu mashitaka matatu yanayomkabili ambayo ni kutotii amri halali, kutoa maneno yenye nia ya kuharibu imani za dini na kushawishi kutenda kosa.

Added by Tulonge on August 20, 2013 at 1:27 — 3 Comments

Video:Mwalimu mwenye uzoefu wa miaka 20 aumbuka mbele ya Gavana alipogundulika kutoweza kusoma kwa ufasaha huko Nigeria

It was a drama of sorts during the verification exercise of primary school teachers’ certificates in Edo State on tuesday as one of the teachers in the state, Mrs. Augusta Odemwingie, could not read a sworn affidavit she tendered as part of her credentials.

 

Mrs. Odemwingie teaches at Asologun Primary School, Ikpoba Okha local government area of Benin City,…

Continue

Added by Tulonge on August 20, 2013 at 0:30 — 4 Comments

Kapombe asajiliwa daraja la 4 Ufaransa huku akisubiri uwezekano wa kupata timu nyingine

Klabu ya soka ya Simba SC ya Dar es Salaam imefanikiwa kumuunganisha mchezaji wake, Shomary Salum Kapombe, na klabu ya soka ya AS Cannes ya Daraja la Nne nchini Ufaransa.Mwenyekiti wa Simba SC, Alhaj Ismail Aden Rage, amesema kwamba katika mkataba huo mpya na wa aina yake kuwahi kufanywa na klabu yoyote ya Tanzania, Simba imekubali mchezaji huyo achezee timu hiyo…

Continue

Added by Tulonge on August 20, 2013 at 0:19 — 1 Comment

Sheikh Ponda asomewa Mashtaka Morogoro

 

Ponda akiwasili mahakamani mkoani Morogoro leo asubuhi

Akiwa ndani ya mahakama…

Continue

Added by Tulonge on August 19, 2013 at 18:35 — No Comments

Mwanza: Zaidi ya wateja 80,000 wa Tanesco wanakabiliwa na ukosefu wa umeme

Zaidi ya wateja 80,000 wa shirika la umeme Tanzania - Tanesco katika baadhi ya mikoa ya kanda ya ziwa wanakabiliwa na ukosefu wa nishati ya umeme kwa siku tano baada ya transfoma inayopokea umeme kutoka gridi ya taifa,kupata hitilafu kubwa hali iliyosababisha mgao wa nishati ya umeme usioeleweka.

Added by Tulonge on August 18, 2013 at 22:47 — No Comments

Ofisa wa JWTZ ahofiwa kutorokea Rwanda na nyaraka nyeti za kijeshi

OFISA wa cheo cha juu katika Jeshi la Wananchi (JWTZ), anayeaminika kuwa na asili ya Rwanda, ametoweka katika mazingira ya kutatanisha, huku akiacha wingu la mashaka kwamba, hatua yake hiyo inaweza ikawa imeambatana na kupotea pia kwa baadhi ya taarifa muhimu za kijeshi.

Taarifa za kutoweka kwa ofisa huyo mwenye cheo cha luteni kanali, zinalihusisha tukio hilo…

Continue

Added by Tulonge on August 18, 2013 at 21:23 — No Comments

Mambo yalivyokuwa baada ya Trafiki feki kukamatwa

Taarifa kamili ya askari bandia James…

Continue

Added by Tulonge on August 18, 2013 at 8:46 — 8 Comments

Hii kali: Hiki ndicho alichokua akikifanya Ronaldinho kabla ya mechi alipokua na Barca

Mwanasoka bora wa zamani wa dunia, mbrazil Ronaldinho Gaucho amezungumza na jarida la picha za kiutuzima PLAYBOY na kutoboa siri kwamba wakati akiwa anaichezea klabu ya FC Barcelona mara nyingi kabla ya mechi hasa za nyumbani alikuwa akifanya ngono kabla ya kwenda kuungana na wenzie kwenda uwanjani.

Akizungumza na PLAYBOY BRAZIL, Ronaldinho ambaye hivi karibuni…

Continue

Added by Tulonge on August 18, 2013 at 1:14 — 1 Comment

Yanga yatwaa Ngao ya Jamii kwa kuichapa Azam 1-0

Kikosi cha Young Africans kilichoanza dhidi ya Azam FC

Young Africans imeendeleza wimbi la ushindi dhidi ya wana lamba lamba Azam FC kufuatia kuibuka na ushindi wa bao 1-0 katika mchezo wa Ngao ya Jamii uliofanyika dimba la Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam jioni ya leo.

Ukiwa ni mchezo nne kwa kocha Stewart Hall wa…

Continue

Added by Tulonge on August 18, 2013 at 1:09 — No Comments

Stori nzima jinsi kina Masogange walivyo pitisha 'unga' uwanja wa ndege Dar huku CCTV kamera ikiwamulika

WAZIRI wa Uchukuzi Dk. Harisson Mwakyembe jana alishindwa kuwataja vigogo wanaohusika na biashara ya dawa za kulevya nchini na badala yake akawataja watu waliofanikisha kupita kwa bidhaa hiyo haramu iliyokamatwa hivi karibuni nchini Afrika Kusini.

Waziri huyo pia alisimulia bidhaa hiyo ilivyopitishwa katika uwanja wa ndege wa kimataifa waJulius Nyerere (JNIA), uliopo jijini Dar es Salaam na kukamatwa Afrika Kusini ikidaiwa kusafirishwa na wasanii wa hapa…

Continue

Added by Tulonge on August 17, 2013 at 22:36 — 1 Comment

Meno ya tembo yakamtwa Uwanja wa ndege Dar (JNIA)

Kamanda wa Polisi wa Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere jijini Dares Salaam, ndugu Katto akionesha meno ya Tembo yaliyokamatwa yakiwa yametengenezwa mithili ya bangili tayari kwa kusafirishwa.…

Continue

Added by Tulonge on August 17, 2013 at 21:49 — 4 Comments

© 2020   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*