Tulonge

Tulonge's Blog – September 2012 Archive (120)

Kassim Mganga ft. Akili the Brean "Majeraha"

Added by Tulonge on September 30, 2012 at 23:12 — 1 Comment

Kashfa nyingine Tanesco

Fidelis Butahe

KASHFA mpya imeibuka ndani ya Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), baada ya kubainika kuwa vikombe vya kufungia nyaya za umeme vyenye thamani ya mamilioni ya fedha vimetelekezwa kutokana na baadhi ya vigogo wa shirika hilo kushindwa kunufaika na mradi huo.Habari kutoka ndani ya shirika hilo zinaeleza kuwa vigogo hao wanadaiwa kuvikataa vikombe…

Continue

Added by Tulonge on September 30, 2012 at 22:00 — No Comments

Francis Cheka nomaa, amchakaza Karama kwa raundi ya 6

Na Mahmoud Zubeiry

FRANCIS Cheka ‘SMG’ wa Morogoro, ameendeleza ubabe dhidi ya mabondia wa Dar es Salaam, baada ya kumtandika kwa Technical Knockout (TKO), raundi ya sita Karama Nyilawila na kutwaa ubingwa wa UBO uzito wa Middle, kwenye ukumbi wa PTA, Sabasaba, Dar es Salaam muda mchache uliopita katika pambano ambalo lilipangwa kuwa la raundi 12.Karama…

Continue

Added by Tulonge on September 30, 2012 at 0:30 — No Comments

Viingilio vya mechi ya Simba na Yanga jumatano ijayo vyatangazwa

Kiingilio cha chini kwenye mechi ya Yanga na Simba itakayochezwa Jumatano (Oktoba 3 mwaka huu) Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kitakuwa sh. 5,000 kwa viti vya rangi ya kijani ambavyo ni 19,648 kwenye uwanja huo wenye uwezo wa kuchukua watazamaji 60,000.…

Continue

Added by Tulonge on September 29, 2012 at 21:30 — No Comments

Alichokiandika Zitto 'facebook' kuhusu kutogombea Ubunge 2015

Added by Tulonge on September 29, 2012 at 7:12 — No Comments

Waliotoswa Halmashauri Kuu ya CCM (Nec) wafichua siri

Mbunge wa Musoma Vijijini Nimrod Mkono siku alipoweka sahini ya kutokua na imani na Waziri Mkuu. Ikihisiwa ni moja ya sababu yao kutoswa

FILIKUNJOMBE ADAI YEYE, MKONO, LUGOLA WALIPONZWA NA PINDA, NAPE ATAKA WASIORIDHIKA WAKATE RUFAA, WASOMI WAPONGEZA

Waandishi Wetu

SIKU moja baada ya Halmashauri Kuu ya CCM (Nec), kutangaza…

Continue

Added by Tulonge on September 29, 2012 at 6:30 — No Comments

Crotia: Huyu ndiye msichana wa kwanza kuteuliwa kuwa kocha wa timu ya soka ya wanaume

A former Croatia Miss Sport finalist and footballer Tihana Nemcic became the first woman to be appointed coach of a men’s club on Tuesday, local media reported.

The 24-year-old Nemcic will coach Croatian fifth division side NK Viktorija Vojakovac.

“I am the head coach and I have full liberty to create and plan the team’s tactics,” she told daily 24 sata (24…

Continue

Added by Tulonge on September 28, 2012 at 0:03 — 5 Comments

Huyu ndiye kocha mpya wa Yanga

Na Mahmoud Zubeiry

BEKI wa zamani wa kimataifa wa Uholanzi na klabu ya PSV Eindhoven ya Holanzi, Ernstus ‘Ernie’ Wilhelmus Johannes Brandts, ndiye kocha mpya wa Yanga na atawasili wakati wowote kuanzia kesho kusaini mkataba na kuanza kazi.

Mholanzi huyo aliyefukuzwa APR ya Rwanda baada ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati, Kombe la Kagame, Agosti mwaka huu…

Continue

Added by Tulonge on September 28, 2012 at 0:00 — No Comments

11 Wauwa wakila kiapo nchini Kenya

Wanachama wa MRC

Watu 11 wanaoshukiwa kuwa wanachama wa kundi haramu la Mombasa Republican Council (MRC) wameuwawa katika eneo la msitu wa Bamba eneo la Kilifi katika Mkoa wa Pwani.

Mkuu wa Polisi eneo la Pwani ya Kenya Bwana Aggry Adoli amethibitisha tukio hilo akisema kuwa wanakijiji waliwaona watu walioshukiwa kuwa…

Continue

Added by Tulonge on September 27, 2012 at 23:55 — 1 Comment

Kilimanjaro: Majambazi wadaiwa kudunga watu sindano za sumu

WANANCHI wa kata tatu za Wilaya ya Moshi Vijijini, wamekumbwa na hofu kubwa inayofuatia kuibuka kwa vitendo vya ujambazi huku kukiwa na madai kuwa majambazi hao hao, wanatumia sindano za sumu kuua watu.

Habari kutoka kata za Kilema Kusini, Kilema Kaskazini na Marangu zinadai kuwa mtandao wa majambazi hao wapatao 30, umekuwa ukilipiza kisasi kwa wananchi wanaojitokeza kutoa ushahidi polisi. Wananchi hao wamependekeza kutumika kwa sheria ya kuwaweka kizuizini watuhumiwa, ili kuepuka…

Continue

Added by Tulonge on September 27, 2012 at 10:11 — 1 Comment

Mh. Joseph Mbilinyi a.k.a Sugu apata mtoto kike

Hiki ndicho alicho kiandika kwenye ukurasa wake wa facebook akitoa taarifa hiyo.

Mh. Joseph Mbilinyi, Mbunge wa Mbeya…

Continue

Added by Tulonge on September 27, 2012 at 2:00 — 1 Comment

PNC-Binadamu (official Video)

Added by Tulonge on September 27, 2012 at 1:00 — No Comments

Kikwete: Anayetaka kuondoka CCM ‘ruksa’

NI WALE WANAOTISHIA BAADA YA KUTOSWA, AWASHANGAA WANAOTISHIANA SILAHA KWA AJILI YA UONGOZI

Midraji Ibrahim na Habel Chidawali, Dodoma

MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Jakaya Kikwete amewatolea uvivu wagombea wa nafasi mbalimbali ambao majina yao yamekatwa, akisema wanaotaka kukihama chama hicho kwa sababu wametoswa, waondoke haraka.

Licha ya…

Continue

Added by Tulonge on September 27, 2012 at 0:51 — 2 Comments

Chuo Kikuu Dodoma kuingiza sokoni filamu ya My Man-part2

Filamu Mpya Ya My Man Sehemu ya 2 inatarajiwa kuingia Sokoni muda si mrefu kutokana na kumalizika kwa kazi nzima ya utengenezaji wake.Filamu hii ya kitanzania ambayo story yake imeandikwa na Kijana Geric…
Continue

Added by Tulonge on September 27, 2012 at 0:25 — 1 Comment

Afrika Kusini: Malema ''Sitishiki na hatua ya mahakama''

Julius Melama akiwahutubia wafanyakazi wa migodi waliokuwa wanagoma

Julius Malema amewaambia wafuasi wake kuwa katu hatishiki na uamuzi wa mahakama kusema kuwa ana kesi ya kujibu.

Mahakama hii leo ilimwachilia kwa dhamana Malema anayekabiliwa na shtaka la kuhaulisha pesa.

Malema ambaye aliwahutubia wafuasi wake nje ya…

Continue

Added by Tulonge on September 26, 2012 at 23:30 — 2 Comments

Ulaya yasitisha msaada kwa Rwanda

Waasi wa M23

Muungano wa Ulaya umeamua kusitisha msaada kwa Rwanda.

Uamuzi wa Muungano huo umefikiwa kufuatia ripoti ya baraza la usalama la Umoja huo iliyodai kwamba Rwanda inaunga mkono waasi wa M23 dhidi ya serikali ya Congo.

Waasi hao wanadhibiti kimabavu sehemu kubwa ya Mashariki mwa Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo na hata…

Continue

Added by Tulonge on September 25, 2012 at 23:11 — 2 Comments

Klabu ya Yanga hatarini kusushwa daraja

Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (Fifa) limelitaka Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) likazie hukumu yake iliyoitoa kwa Yanga kumlipa mchezaji John Njoroge ambaye mkataba wake ulivunjwa bila kufuata taratibu.Katibu Mkuu wa TFF, Angetile Osiah akizungumza Dar es Salaam jana alisema licha ya Fifa kuitaka Yanga imlipe mlinzi huyo ambaye kwa sasa anachezea…

Continue

Added by Tulonge on September 25, 2012 at 23:00 — No Comments

Mwalimu matatani kwa kumpa mimba wanafunzi

MWALIMU wa Shule ya Msingi Magamba, wilayani Handeni,  amehukumiwa kutumikia kifungo  cha miaka mitatu jela, baada ya kupatikana na hatia ya kufanya mapenzi na kumpa mimba mwanafunzi.Mwalimu huyo, Daniel Lukindo…
Continue

Added by Tulonge on September 25, 2012 at 7:30 — 5 Comments

Daktari: Serikali inahusika ARV bandia

ATAKA IJIHOJI IJE NA MAJIBU, AELEZA ATHARI ZAKE, NAIBU WAZIRI ATAKA IPEWE MUDA ZAIDI KUCHUNGUZA TATIZO

Elias Msuya

WAKATI utata ukiendelea kugubika usambazwaji wa dawa bandia za kupunguza makali ya virusi vya Ukimwi (ARV), daktari katika Kitengo cha Ukimwi, Dar es Salaam ameitaka Serikali kujichunguza yenyewe, kwa kuwa dawa hizo hazisambazwi na watu…

Continue

Added by Tulonge on September 25, 2012 at 6:55 — 3 Comments

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*