Tulonge

Tulonge's Blog – October 2013 Archive (108)

Video:Hukumu ya Nguza Viking maarufu kama babu Seya imeanza kupitiwa

Mahakama ya rufaa imeanza kupitia hukumu ya mwanamuziki maarufu nchini mwenye asili ya jamhuri ya kidemokrasia ya congo DRC Nguza Viking maarufu kama Babu seya na mwanawe Johnson Nguza maarufu kama Papii kocha.

Added by Tulonge on October 30, 2013 at 21:57 — No Comments

Kiongozi wa m23 ajisalimisha

Kiongozi wa waasi wa M23 Bertrand Bisiimwa ameripotiwa kusalimu amri kwa jeshi la Uganda.

Kiongozi huyo wa waasi alivuka na kuingia nchini Uganda kwenye masururu wa magari mawili huku wanajeshi wa Umoja wa Mataifa na wale wa DRC walipofika kilomita tano kuelekea katika kambi yake ya kijeshi

Mwandishi wa BBC Ignatius Bahizi amesema baada ya kuongea na afisaa…

Continue

Added by Tulonge on October 30, 2013 at 21:41 — 1 Comment

Mchungaji Rwakatare atengwa

Mchungaji Getrude Rwakatare

MBUNGE wa Viti Maalumu, Mchungaji Getrude Rwakatare (CCM) wa

Kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG),…

Continue

Added by Tulonge on October 30, 2013 at 20:12 — 22 Comments

Wapinzani kusimamisha mgombea mmoja 2015

Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi, James Mbatia

UPEPO wa mabadiliko ya kisiasa unaovuma kuelekea kambi ya upinzani, sasa unaonekana kuwaamsha viongozi wa vyama hivyo baada ya kutolewa kwa taarifa kuwa wanafikiria kusimamisha mgombea mmoja wa urais kwenye Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015.Taarifa zilizolifikia gazeti hili kabla ya…

Continue

Added by Tulonge on October 30, 2013 at 8:29 — 4 Comments

Nadhani hili ni somo tosha la uhalisia kwa waigizaji wa TZ kutoka kwa Mercy Johnson

Mercy Johson ni mmoja wa wasanii maarufu wa tasnia ya maigizo nchini Nigeria. Pichani akiwa dimbwi la tope akiandaa moja ya filamu zake. Amejitahidi sana kuonesha uhalisia wa alichokua akikiigiza. Wasanii wengi wa Tanzania  hawawezi kufanya jambo kama hilo. Hii hupelekea kazi zao kupondwa sana na watanzania. Ni muda muafaka wa kujifunza kupitia wasanii wengine kama…

Continue

Added by Tulonge on October 30, 2013 at 7:14 — 2 Comments

Picha 46 za kilichojiri kwenye kuaga mwili wa Balozi Isaac Sepetu

Continue

Added by Tulonge on October 30, 2013 at 6:40 — No Comments

Msimamo wa ligi kuu ya Vodacom (VPL) baada ya mechi za leo

Added by Tulonge on October 29, 2013 at 23:06 — No Comments

Mtu mrefu zaidi Duniani afunga pingu za maisha

After almost giving up the search for a soulmate the world's tallest man was married yesterday, having fallen in love with a woman about two thirds his size.

Sultan Kosen stopped growing when he reached 2.51m last year but on Sunday he was wed to the woman of his dreams in Merve Dibo, a woman standing 173cms tall.

Even though Kosen's bride would…

Continue

Added by Tulonge on October 29, 2013 at 22:17 — 7 Comments

Mwanza: Watu 3 wamekamatwa na kiganja cha mkono wa binadamu(video)Watu watatu wakiwemo waganga wawili wa jadi wamekamatwa na polisi katika eneo la Igombe Tx, jijini Mwanza wakiwa na kiganja cha mkono wa kulia unaoaminika kuwa wa binadamu. Kaimu kamanda wa polisi mkoa wa Mwanza, kamishna msaidizi wa polisi Joseph Konyo amesema tukio hilo limetokea eneo la kati ya ziwani na nyuma ya uwanja wa ndege wa…

Continue

Added by Tulonge on October 29, 2013 at 21:42 — No Comments

Sepetu widow claims government didn’t offer help

Miss Tanzania 2006 Wema Sepetu mourns the death of her father Isaac Sepetu at their Sinza home in Dar es Salaam, yesterday. With her is Mariam, her mother. The former minister died on Sunday at TMJ Hospital in Dar es Salaam and will be buried tomorrow in Zanzibar. PHOTO | SALIM SHAO

Dar es Salaam. Fallen diplomat Isaac Sepetu…

Continue

Added by Tulonge on October 29, 2013 at 10:43 — 1 Comment

Tujuzane sababu ya katazo la kupiga picha eneo la vivuko vya Kigamboni (Feri)

Hii ni sehemu ya kukata tiketi za magari na pikipiki upande wa geti la Magogoni ambayo ina alama ya katazo la kupiga picha.

Mimi ni mmoja wa watu wasio fahamu sababu ya kukataza kupiga picha eneo la ambapo huduma za vivuko vya Kigamboni hutolewa. Zuio hilo limetolewa siku za karibuni kwa kuweka alama zinazoashiria kutoruhusu upigani…

Continue

Added by Tulonge on October 28, 2013 at 22:00 — No Comments

Tanga:Watu wawili wanaodaiwa kuhusishwa na vitendo vya kigaidi wameuawa kwa kupigwa risasi

Watu wawili wanaodaiwa kuhusishwa na vitendo vya kigaidi wameuawa kwa kupigwa risasi wakati kundi hilo lilipokuwa msikitini huku wafuasi wake wakiwa na silaha za moto na baridi walipokuwa wakijibizana kwa kutumia silaha mbali mbali ndipo askari walipowahi kuwashambulia viongozi wa kundi hilo kisha kuwanyang'anya silaha zao.

Added by Tulonge on October 28, 2013 at 21:25 — No Comments

Rais Kikwete apongeza uongozi mpya wa TFF

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ameupongeza uongozi mpya wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) chini ya Rais wake, Bwana Jamal Malinzi, uliochanguliwa usiku wa jana, Jumapili, Oktoba 27, 2013.

Katika salamu za pongezi ambazo Rais Kikwete amemtumia Bwana Malinzi, Rais Kikwete ameutakia mafanikio uongozi huo akisisitiza kuwa ni muhimu kwa uongozi mpya kuwekeza ipasavyo katika soka badala ya kuwekeza katika migogoro na kufanya jitihada za…

Continue

Added by Tulonge on October 28, 2013 at 21:10 — No Comments

Mbeya: Baba ampiga binti yake kwa kutumia silaha za ulinzi kwa kosa la kutokwenda shule

Victoria Mukama (10) akiwa hospitali ya rufaa mbeya baada ya kupigwa na baba yake mzazi sehemu mbali mbali za mwili wake akitumia vifaa vya ulinzi likiwemo Lungu.

KATIKA hali isiyokuwa ya Kawaida, Baba mmoja aliyejulikana kwa jina la Oscar Mukama mkazi wa Isengo Airport Jijini Mbeya amemjeruhi vibaya binti yake Victoria Mukama (10)…

Continue

Added by Tulonge on October 28, 2013 at 20:20 — 4 Comments

Rais Kikwete atoa salamu za rambirambi kufuatia kifo cha balozi Isaack Sepetu

Balozi Isaack Sepetu kulia Kabisa wakati wa uhai wake akiwa na mwanae Wema alipotwaa taji la Umiss (Picha kwa hisani ya issamichuzi.blogspot.com)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia Salamu za Rambirambi Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mheshimiwa Bernard Membe…

Continue

Added by Tulonge on October 28, 2013 at 20:00 — No Comments

Sababu iliyomfanya Mh.Rosweeter(60) kukubali kuolewa na Kijana wa miaka 26

Mh. Rosweeter Kasikila

MBUNGE wa Viti Maalumu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rosweeter Kasikila (60), amejikuta kwenye kashfa nzito ya kufunga ndoa na kijana, kinda wa miaka 26, Michael Christian.

Ndoa hiyo ilifungwa katika Kanisa la Tanzania Assembles of God (TAG), linaloongozwa na Mchungaji Getrude…

Continue

Added by Tulonge on October 27, 2013 at 13:11 — 30 Comments

Watoto wakileta mbwembwe hatarishi kwenye kivuko

Mtoto akijirusha baharini huku Kivuko cha Mgogoni kikiwa kwenye mwendo.

Imekua ni tabia endelevu kwa watoto hawa ambao hudandia hudandia vivuko vya Kigamboni wakati vikianza kuondoka. Kivuko katikati ya bahari watoto hao hujirusha baharini na kuendelea kupiga mbizi. Wakati mwingine watoto hawa hupanda sehemu ya juu ya kivuko…

Continue

Added by Tulonge on October 27, 2013 at 12:00 — 8 Comments

Kombe la Dunia U20:Wasichana wa Tanzania wawatandika Msumbiji 10-0

Winga wa Tanzania, Theresa Yona akimtoka beki wa Msumbiji, Esperanca Malaita

Na Mahmoud Zubeiry, Dar es Salaam

TIMU ya soka ya taifa ya wanawake kwa vijana chini ya umri wa miaka 20, The Tanzanites imeifunga Msumbiji mabao 10-0 katika mechi ya kwanza ya raundi ya Kwanza ya Kombe la Dunia kwa mabinti wa umri huo, Uwanja wa Taifa,…

Continue

Added by Tulonge on October 26, 2013 at 23:32 — 5 Comments

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*