Tulonge

Tulonge's Blog – November 2011 Archive (14)

CCM njia panda

CHADAIWA KILIKURUPUKA KUJIVUA GAMBA, SASA KIMEKWAMA 
Claud Mshana 
WAKATI CCM imemaliza vikao vyake  vikuu vya maamuzi mjini Dodoma juzi bila kufikia kikomo cha dhana yake ya kujivua gamba, wasomi, wanaharakati nchini  wamedai chama hicho tawala kilikurupuka ndiyo maana imeshindwa kutekelezeka.
 
Wakizungumza na gazeti hili kwa nyakati tofauti jana, wasomi, wanaharakati na  wanasiasa  hao walisema  kuwa, chama hicho hakikufanya utafiti wa kina…
Continue

Added by Tulonge on November 27, 2011 at 7:36 — 3 Comments

Ambassodors of Christ choir kutia timu Bongo

Kwaya ya kisabato toka Kigali Rwanda inatarajia kufanya ziara Bongo na kutangaza injili ya Bwana katika ukumbi wa Diamond Jubilee siku ya tarehe 4/12/2011 kuanzia saa 7 mchana. Kiingilio ni sh 20,000 (VIP), SH 10,000/5,000 (Kawaida). Kwaya hiyo ambayo imetamba na nyimbo zake nzuri ikiwemo kwetu pazuri imekuwa na mafanikio makubwa toka kuanzishwa kwake ,ona hapo…

Continue

Added by Tulonge on November 23, 2011 at 18:46 — 4 Comments

Rais Kikwete akubali kukutana na Chadema

AAGIZA WAPANGIWE SIKU YA KUKUTANA IKULU,CCM NGOMA NZITO

RAIS Jakaya Kikwete amekubali kukutana na viongozi wa ngazi za juu wa Chadema kusikiliza madai yao juu ya Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Katiba wa mwaka 2011, uliopitishwa bungeni juma lililopita.Taarifa iliyotolewa na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Ikulu jana jioni ilieleza kuwa Rais amelipokea ombi…

Continue

Added by Tulonge on November 23, 2011 at 1:00 — 8 Comments

Bomani: Gamba litapasua CCM

WAKATI mfululizo wa vikao vya CCM vya Kamati ya Maadili, Kamati Kuu (CC) na Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC), vinaanza leo Mjini Dodoma, Mwanasheria Mkuu wa zamani wa Serikali, Jaji Mark Bomani amekitaka chama hicho kuachana na mpango wa kujivua gamba akisema utakipasua.

 

Moja ya agenda kubwa na ambayo imekuwa ikiwasumbua makada, wafuasi na hata wapinzani wa…

Continue

Added by Tulonge on November 21, 2011 at 4:30 — No Comments

Hii ni adhabu aliyopewa mtoto wa miaka 8 baada ya kuiba mkate sokoni

Binadamu inabidi tuwe tunatoa adhabu kulingana na kosa lenyewe endapo tunalazimika kufanya hivyo. Kitendo cha kuiba mkate kilimponza mtoto wa miaka 8 huko Iran kupewa adhabu ya kukanyangwa mikono yake na gari kama inavyoonekana hapo chini.…

Continue

Added by Tulonge on November 16, 2011 at 20:17 — 20 Comments

Kufuzu kwa Taifa Stars ni bahati au ilistahili?

Tunashukuru timu yetu ya Taifa (Taifa Stars) imefuzu kuingia katika hatua ya makundi ya kinyang’anyiro cha kuwania kucheza fainali ya kombe la Dunia mwaka 2014 huko Brazil. Taifa Stars imefuzu kuingia hatua hiyo jana japo ilifungwa bao 1-0 na timu ya Chad katika uwanja wa Taifa. Kufuzu huko kumezingatiwa baada ya Taifa Stars kushinda 2-1 ugenini katika mchezo wao wa…

Continue

Added by Tulonge on November 16, 2011 at 12:49 — 19 Comments

Chadema, NCCR Mageuzi wachafua hali hewa bungeni

WATOKA NJE KUSUSIA MUSWADA WA MABADILIKO KATIBA, SPIKA ASEMA MUSWADA UNAPOTOSHWANeville Meena, Dodoma na Raymond Kaminyoge, Dar

WABUNGE wa Chadema na NCCR-Mageuzi jana walilitikisa Bunge baada ya kuungana kutoka nje ya ukumbi kupinga kile walichodai kuwa ni Spika wa Bunge, Anne Makinda kuwadharau kwa kuwanyima haki zao kwa mujibu wa kanuni.Wakati wabunge hao wakitoka bungeni kugomea muswada huo, Chama cha Majaji Wastaafu Tanzania…

Continue

Added by Tulonge on November 15, 2011 at 1:14 — 5 Comments

20 percent apandishwa kizimbani kwa kukamatwa na kilogram 20 za bangi.

Mwanamuziki wa muziki wa kizazi kipya Tanzania Twenty Percent aliyejikusanyia tuzo tano katika kinyang'anyiro cha Kilimanjaro Music Award 2011 amepandishwa kizimbani ndani ya Mahakama ya mkoa wa Lindi baada ya kukamatwa na kilogram 20 za bangi tarehe 11/11/2011 saa 11:45 jioni.Mzigo huo haramu ulikuwa umefichwa ndani ya gari binafsi aliyokuwa akisafiria msanii…

Continue

Added by Tulonge on November 14, 2011 at 21:30 — 11 Comments

Uganda mother punishes child by tying her to roof upside down

The curiosity of two women strangers at the weekend led to a dramatic rescue of an eight-year-old girl in Uganda, who had been tied upside down to the roof bars by her mother, apparently, as a punishment for allegedly stealing an earring worth $0.2 (USh500).

It was about 2:30pm (East Africa Time) when two women who were walking past the house heard a feeble voice crying…

Continue

Added by Tulonge on November 13, 2011 at 6:27 — 7 Comments

Ona bendi za zamani walivyokuwa wanaweza kuimba live.

Hii ni kashasha ya Tancut Almasi Orchestra

Added by Tulonge on November 13, 2011 at 3:30 — 10 Comments

Kitu kipya cha MwanaFA na Linah-Yalaiti

Nampa big up  MwanaFA na Linah pia, huu wimbo si mchezo. Kazeni buti.

Added by Tulonge on November 13, 2011 at 3:11 — 2 Comments

Msanii wa Bongo Fleva (Timbulo) adaiwa kuiba wimbo.Kwa jinsi hii muziki wa Bongo utakua??

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Tanzania (Timbulo) amedaiwa kuiba wimbo wa mwanamuziki X Maleye uitwao Yelele na kutoa kibao chake kinachotamba kiitwacho Domo langu. Timbulo ameiga kila kitu toka kwenye wimbo huo, kuanzia ujumbe, ala za muziki, hadi baadhi ya staili za kucheza. Wimbo wa X Maleye ukitoka mwaka 2009 wakati wa Timbulo ulitoka 2010, hii inathibitisha kuwa aliyeiba wimbo toka kwa mwanzake ni Timbulo. Kituo cha mlimani TV…

Continue

Added by Tulonge on November 8, 2011 at 18:00 — 12 Comments

Wanachuo wa TZ tunapata changamoto gani baada wanafunzi wa Makerere University kutengeneza gari linalotumia umeme?Take a good look at that lime green hornet pictured above, because it may just herald the dawn of a new era in Ugandan transportation. Known as the Kiira EV, this plug-in was designed by students at Makerere University in Uganda, where electric cars, as you might imagine, are something of a rare commodity. In fact, local media outlets are heralding the Kiira as the first EV ever produced within the central African…

Continue

Added by Tulonge on November 5, 2011 at 7:00 — 4 Comments

Serikali ya Tanzania yakataa ushoga

Waziri Membe asema kama ni misaada yao basi

Raymond Kaminyoge 

TANZANIA imesema ipo tayari kukosa  misaada yote kutoka Serikali ya Uingereza  na kamwe haiwezi kuruhusu sheria inayotambua mashoga na kuhalalisha ndoa za jinsia moja.Msimamo huo mzito wa serikali umekuja siku chache baada ya Waziri Mkuu wa Uingereza, David Cameron, kutamka kwamba nchi yake ina mpango wa kusitisha misaada yake kwa nchi ambazo sheria na katiba zao, hazitambui mashoga na ndoa za jinsia… Continue

Added by Tulonge on November 4, 2011 at 1:48 — 10 Comments

© 2020   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*