Tulonge

Tulonge's Blog – November 2012 Archive (104)

Kesho ni siku ya ukimwi Dunia, wananchi waaswa kupima afya zao na kujikinga na gonjwa la ukimwi

Afisa habari wa mkoa wa Dar es salaam Bi. Adrofina Ndyeikiza akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam kwa niaba ya mkuu wa mkoa huo kuhusu maadhimisho ya Siku ya Ukimwi Duniani ambayo kimkoa yatafanyika katika uwanja wa Biafra, Manispaa ya Kinondoni. Kulia ni Mratibu wa Ukimwi wa Mkoa wa Dar es salaa…

Continue

Added by Tulonge on November 30, 2012 at 19:55 — 1 Comment

Vibaka walikata kidole cha Sharo Millionea na kuondoka nacho

Siku kadhaa baada ya marehemu msanii sharomilionea kuzikwa, vile vitu ambavyo vilisemekana kupotea ama kuibiwa wakati wa ajali vimeanza kupatikana.

Akithibitisha habari za kupatikana kwa vitu hiuvyo, swahiba wake wa karibu ambaye alikuwa akiishi na Sharomilionea Kitale amesema amepata taarifa kutoka kwa mwenyekiti wa kijiji kule Muheza Tanga kwamba…

Continue

Added by Tulonge on November 30, 2012 at 19:44 — 2 Comments

Polisi wajeruhi kwa mabomu Dar na Rufiji

POLISI wamewajeruhi watu watatu kwa mabomu, mmoja kati yao akiwa katika hali mbaya katika matukio mawili tofauti ya kusambaratisha mikusanyiko iliyotokea Tegeta, Dar es Salaam na Rufiji mkoani Pwani.

Aliyejeruhiwa vibaya ametambuliwa kuwa mkazi wa Tegeta, John Paul ambaye baada ya tukio hilo alipelekwa katika Hospitali ya Mwananyamala na baadaye…

Continue

Added by Tulonge on November 30, 2012 at 7:00 — 1 Comment

Jinsi Diamond alivyokuwa akigombewa kupiga picha baada ya kuhojiwa kwenye The Mboni Show leo


Video na: thisisdiamond.com

Added by Tulonge on November 29, 2012 at 22:58 — 7 Comments

Udom yachunguza wanafunzi wanaojiuza

Serikali ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (Udoso), imeanza kuchunguza tuhuma za baadhi ya wanafunzi kujihusisha na biashara ya ukahaba ili kuwachukulia hatua za kinidhamu. Udoso ilichukua hatua hiyo baada baadhi ya vyombo vya habari nchini kuripoti taarifa kuwa baadhi ya wanafunzi wa chuo hicho wanajihusisha na biashara hiyo ya ngono.Akizungumza na waandishi…

Continue

Added by Tulonge on November 29, 2012 at 21:32 — 2 Comments

Mbeya: Polisi afukuzwa kazi kwa kumbaka mtuhumiwa wa kike

JESHI la Polisi mkoani Mbeya limemfukuza kazi askari wake Enock Daffa (22) kwa tuhuma za kufanya mapenzi na mtuhumiwa wa kike mwenye umri wa miaka 25 katika Kituo cha Polisi cha Mji mdogo wa Tunduma, Wilaya ya Momba, mkoani hapa.

Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Athuman Diwani, askari huyo alitenda kosa hilo Novemba 21,2012 na kwamba mtuhumiwa…

Continue

Added by Tulonge on November 29, 2012 at 18:00 — 6 Comments

Serikali yakwama kwa Muro, warudi kujipanga

Jerry Muro akiwa sambamba na Kamanda Suleiman Kova

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imeiruhusu Jamhuri kufanya marekebisho katika hati ya sababu za rufaa ya kupinga hukumu iliyomuweka huru aliyekuwa Mtangazaji wa Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC1), Jerry Muro na wenzake wawili, waliokuwa wakikabiliwa na kesi ya…

Continue

Added by Tulonge on November 29, 2012 at 9:21 — No Comments

Video ya mazishi ya Sharo Millionea

Msanii wa muziki wa kizazi kipya na tasnia ya filamu nchini Hussein Ramadhani ''Sharo Milionea''amezikwa leo kijijini kwao lusanga Kilichopo wilayani Muheza na kuhudhuriwa na mamia ya waombolezaji wakiwemo viongozi wa serikali na wasanii mbali mbali nchini.

Chanzo: ITV

Added by Tulonge on November 28, 2012 at 23:30 — 1 Comment

7 kunyongwa Misri kwa kutengeza filamu

Maandamano yalifanyika kote duniani kupinga Marekani

Mahakama nchini Misri imewapa hukumu ya kunyongwa watu saba walioshukiwa kuitengeza filamu iliyosababisha kero na ghadhabu katika ulimwengu wa kiisilamu mapema mwaka huu.

Hasira dhidi ya filamu hiyo iliyokuwa inamkejeli Mtume Mohammed, ilisababisha maandamano dhidi ya Marekani kiasi…

Continue

Added by Tulonge on November 28, 2012 at 20:39 — No Comments

Sumatra kusitisha huduma za daladala mojamoja Dar

Mkurugenzi Mkuu wa Sumatra, Ahmad Kilima

MAMLAKA ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (Sumatra), itasitisha utoaji wa leseni mpya za usafirishaji wa abiria katika Jiji la Dar es Salaam kwa mmiliki mmoja mmoja kuanzia Desemba Mosi mwaka huu.

Taarifa iliyotolewa jana na Mkurugenzi Mkuu wa Sumatra, Ahmad Kilima, ilisema…

Continue

Added by Tulonge on November 28, 2012 at 20:35 — No Comments

Safari ya mwisho ya Sharo Millionea (picha 5)

Continue

Added by Tulonge on November 28, 2012 at 14:00 — 11 Comments

Hili ndilo gari alilopata nalo ajali Sharo Millionea kabla ya kutolewa eneo la tukio(picha 5)

Gari aina ya Toyota Harrier lenye namba za usajili T 478 BVR alilokuwa akiendesha msanii wa filamu na muziki Hussein Ramadhani Mkieti ‘Sharo Millionea’ kutoka jijini Dar es salaam kuelekea Kijijini kwao Lusanga Wilaya ya Muheza mkoa wa Tanga. Sharo Millionea alikufa papo hapo na mwili wake kuhifadhiwa Hospitali ya Teule Muheza Tanga. …

Continue

Added by Tulonge on November 27, 2012 at 23:30 — 13 Comments

Kumbe msanii John S. Maganga alifanyiwa upasuaji kimakosa kabla ya kifo chake

Leo ni siku ambayo msanii wa maigizo John Stephan amezikwa kwenye makaburi ya Kinondoni kufuatia kifo chake kilichotokea tarehe 24 Nov 2012 baada ya kuugua kwa muda mfupi. Akieleza mkasa mzima kupitia kipindi cha Take One Action cha Clouds TV, Baba mdogo wa marehemu ambaye pia ni msanii wa maigizo Deogratias Shija alisema marehemu alilazimika kufanyiwa upasuaji hospitali ya…

Continue

Added by Tulonge on November 27, 2012 at 23:00 — 15 Comments

Toyota IST, 2003 Model inauzwa

Make:Toyota…

Continue

Added by Tulonge on November 27, 2012 at 17:03 — 1 Comment

Mabilionea watano wa Tanzania

Kwa ufupi

Anayeongoza katika orodha hiyo ni Bakhressa anayemiliki mali na fedha zenye thamani ya Dola za Marekani 620 milioni sawa na Sh992 bilioni (Dola moja Sh1,600) akifuatiwa na Dewji ambaye utajiri wake ni Dola 560 milioni (Sh896 bilioni). Wengine na kiasi cha mali na fedha wanazomiliki kwenye mabano ni Rostam (Sh672 bilioni- Dola 420 milioni) Mengi (Sh448bilioni-…

Continue

Added by Tulonge on November 27, 2012 at 7:30 — 8 Comments

CECAFA CUP 2012: Tanzania yaitandika Sudan 2-0

Msimamo wa kundi B baada ya mechi za leo kwisha.

Katika mchezo wa kundi B timu ya soka ya Tanzania leo imetupa vema karata yao ya kwanza kwenye michuano ya CECAFA baada ya kuichapa Sudani mabao 2-0 katika mchezo huo ambao ulifanyika huko Kampala Uganda, timu zote zilianza mchezo huo kwa kasi na kufanya mashambulizi ya…

Continue

Added by Tulonge on November 25, 2012 at 20:00 — 4 Comments

China: Hii ni baada ya wamiliki kugoma kuhamishwa na serikali ili kupisha ujenzi wa barabara.

Tukio hili limetokea mji wa Wenling huko China baada ya wamiliki (Bw.Luo Baogen na mkewe) wa jengo kuikatalia serikali kubomoa nyumba yao ili kupisha ujenzi wa barabara. Wamiliki hao walidai kuwa fidia iliyo tolewa na…

Continue

Added by Tulonge on November 25, 2012 at 2:00 — 9 Comments

Mtoto mwenye miguu mikubwa kupita kiasi kuanza kufanyiwa matibabu China.

The unfortunate teenager whose feet grew so big that he was barely able to walk successfully underwent surgery at a hospital in China.

Teenager Xiao Meng was born with congenital neurofibromatosis - a genetic condition that causes the feet to swell abnormally - meaning he cannot wear shoes.

The 14-year-old, dubbed Hobbit Boy by schoolmates, is pictured here…

Continue

Added by Tulonge on November 25, 2012 at 1:25 — 3 Comments

Zitto afichua siri yake na JK

MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe amefichua siri ya uhusiano wake na Rais Jakaya Kikwete kuwa, unatokana na kuheshimu mchango wake anaoutoa kwa taifa.

Kutokana heshima hiyo, Zitto anasema ndiyo maana Rais Kikwete hakufika jimboni kwake katika uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2005 na mwaka 2010 kumnadi mgombe wa CCM.

Zitto ambaye pia ni Naibu Katibu…

Continue

Added by Tulonge on November 25, 2012 at 0:55 — 1 Comment

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*