
RAIS Jakaya Kikwete ameviagiza vyombo vya dola kuhakikisha vinamkamata mtu yeyote bila kujali cheo, atakayebainika kumbaka au kumuoa mwanafunzi wa shule.
Ametoa kauli hiyo huku aliyekuwa waziri wa wizara tofauti katika awamu mbalimbali za uongozi, Profesa Juma Kapuya, akiandamwa na tuhuma za kumbaka na kutishia kumuua binti, mwanafunzi mwenye umri wa miaka…
Added by Tulonge on November 30, 2013 at 23:48 — 2 Comments
KUPOROMOKA kwa jengo la ghorofa Mtaa wa Indira Gandhi jijini Dar es Salaam Machi 29 mwaka huu na kusababisha vifo vya zaidi ya watu 36, kunadaiwa kutokana na uzembe wa serikali.
Kwa mujibu wa ripoti ya utafiti iliyotolewa Novemba 24 mwaka huu na taasisi isiyo ya kiserikali ya Twaweza, asilimia 87 ya watu waliohojiwa, iliitupia lawama serikali kwamba inahusika kwa…
Added by Tulonge on November 29, 2013 at 23:46 — 4 Comments
Rais Jakaya Kikwete, ameviagiza vyombo vya dola na viongozi wa ngazi mbalimbali nchini, kuanza mara moja kufanya msako mkali wa kuwakamata watu wanaoa wanafunzi wa kike wa shule za msingi na baada ya kukamatwa wafikishwe katika vyombo vya sheria kwa makosa ya ubakaji.
Rais Kikwete ametoa agizo hilo…
Added by Tulonge on November 29, 2013 at 23:00 — 10 Comments
HATIMA ya Mbunge wa Urambo Magharibi Juma Kapuya (CCM), anayetuhumiwa kutishia kumuua binti anayedaiwa kumbaka, amerejea nchini jana akitokea nchini Sweden, huku Jeshi la Polisi likikwama kumtia mbaroni kama lilivyokuwa likitamba.
Wakati mbunge huyo akiwasili nchini na kupokewa na kusindikizwa na wapambe wake, Bunge limeridhia kukamatwa kwake kwani tuhuma…
Hili ni daraja lililopo kijiji cha Sanghiang Tanjung huko Indonesia. Lilivunjika baada ya mafuriko kutokea katika mto huo. Hali hii ilipelekea wanafunzi kupata shida wakati wa kuvuka kwenda shuleni kama uonavyo pichani wakilazimika kuvuka kwa kujishikiza kwenye mabaki ya daraja hilo.
Hii ni hatari kubwa, sijui watoto hawa walitoa wapi ujasiri wa kuthubutu…
ContinueAdded by Tulonge on November 29, 2013 at 8:00 — 4 Comments
Added by Tulonge on November 29, 2013 at 6:00 — No Comments
Added by Tulonge on November 28, 2013 at 23:09 — No Comments
Added by Tulonge on November 28, 2013 at 12:00 — 3 Comments
Huu ulikua ni usiku mnene eneo la Feri umbande wa Magogoni DSM, nilimkuta mama huyu akiwa amelala ndani ya eneo ambalo abiria hukaa kusubiri kivuko. Mchana mama huyu na wanae watatu huonekana wakiomba hela ili kukidhi mahitaji yao.
Fikiria watoto hawa wanapata wakati mgumu kiasi gani. Wakati wenzao wakiwa wamelala kwenye vitanda vyenye magodoro mazuri, wao…
ContinueAdded by Tulonge on November 28, 2013 at 11:44 — 30 Comments
Added by Tulonge on November 25, 2013 at 8:03 — 8 Comments
Paul akipanda stejini
P-Square ambao walisindikizwa na bendi yenye watu wanne tu (mpiga drums, mpiga kinanda, mpiga gitaa la bass na gitaa la solo), walitoa mfano wa namna live show inavyotakiwa kufanywa. Wakitaniana mara kwa mara jukwaani na kuendesha mashindano ya wao kwa wao, Peter na Paul Okoye walipiga show ya takriban masaa matatu, kwa kasi, nguvu na uwezo ule ule, kuanzia mwanzo hadi mwisho.
Peter akiimba…
TAARIFA YA ZITTO ZUBERI KABWE (MB)
1. Utangulizi
Katika kikao chake cha siku mbili kilichofanyika tarehe 20 - 22 Novemba 2013, Kamati Kuu ya CHADEMA, pamoja na mambo mengine, iliazimia kunivua nafasi zangu zote za uongozi ndani ya chama. Kwa mujibu wa taarifa ya chama iliyotolewa katika mkutano na waandishi wa…
Added by Tulonge on November 24, 2013 at 16:00 — 3 Comments
Added by Tulonge on November 23, 2013 at 7:28 — 18 Comments
Watu kumi ambao wanatuhumiwa kumuua Dk. Sengondo Mvungi ambaye alikuwa mjumbe wa tume ya kuratibu maoni ya katiba wamefikishwa katika mahakama ya hakimu mkazi Kisutu jinini Dar es Salaam na kusomewa shtaka la kuua.
Kamati kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema imewavua Uongozi Viongozi wake watatu baada ya Kugundua waraka wa Siri uliowahusisha na mpango wa kukipasua Chama vipande vipande. Viongozi waliovuliwa Uongozi ni Zitto Kabwe ambaye alikuwa Naibu Katibu Mkuu, Dr Kitila Mkumbo na Samsoni Mwigamba aliyekuwa Mwenyekiti wa Kanda ya Kaskazini. Hatua hiyo ilichukuliwa katika…
Added by Tulonge on November 22, 2013 at 22:10 — 11 Comments
Mwanamuziki wa kundi la P - Square,
Paul Okoye akiwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu
Julius Kambarake Nyerere, Tayari kwa ajili ya kutoa burudani kwa
Watanzania, Msanii huyo aliambatana na Pacha wake Peter…
Added by Tulonge on November 22, 2013 at 8:00 — 4 Comments
Bondia Tyson kulia akimkabidhi Evander kipande chake cha sikio kwenye mkebe akiwa mlangoni huku akionekana kuwa na wasiwasi.
Katika tangazo hilo la biashara bondia Mike Tyson ameonekana akimrudishia bondia mwenzake Evander Holyfield kipande chake cha sikio alicho king'oa kwa kumng'ata katika pambano lao la uzito wa juu mwaka 1997.…
ContinueAdded by Tulonge on November 22, 2013 at 0:30 — 5 Comments
2014
2013
2012
2011
1999
© 2019 Created by Tulonge.
Powered by