Tulonge

Tulonge's Blog – December 2011 Archive (18)

K-Lynn aachana na muziki

Mwana muziki mkongwe wa muziki wa kizazi kipya ambaye pia ni mshindi wa taji la miss Tanzania 2000 K-Lynn, ametangaza rasmi kuachana na muziki na kujikita zaidi kaita sanaa ya upambaji.Akihojiwa katika kipindi cha "Wanawake live " cha EATV, mwanadada huyo alisema amefanya muziki kwa muda mrefu sasa tangu alipokuwa na umri wa miaka 17. Sasa ni muda wa kustaafu umefika…

Continue

Added by Tulonge on December 28, 2011 at 7:03 — 11 Comments

MAFURIKO DAR YAONGEZA VIFO, MAJERUHI, MADARAJA na NYUMBA ZABOMOKA, BARABARA KUU ZAFUNGWA

Waokoaji wakiwaokoa watoto waliokuwa wamezingirwa

na maji majumbani mwao eneo la Kigogo Mbuyuni, jana,

kufuatia Mafuriko ya Mvua zinazoendelea kunyesha…

Continue

Added by Tulonge on December 22, 2011 at 0:47 — 3 Comments

Matukio ya Mafuriko Dar katika picha

Wananchi wanaoishi kwenye bonde la Msimbazi Spenco, maeneo ya Vingunguti, Dar es Salaam, wakiwa

wamepanda kwenye paa la Msikiti ili kujiokoa na mafuriko yaliyotokana na mvua zilizonyesha jijini.…

Continue

Added by Tulonge on December 21, 2011 at 22:30 — 16 Comments

Tendwa amkingia kifua David Kafulila

Msajiri wa Vyama vya Siasa Nchini,

John Tendwa

CHADEMA WAMKARIBISHA, CCM WAPONDA KUFUKUZANA

MSAJILI wa Vyama vya Siasa Nchini, John Tendwa amemkingia kifua Mbunge wa Kigoma Kusini kupitia NCCR Mageuzi, David Kafulila ambaye alifukuzwa uanachama na Halmashauri Kuu ya chama hicho…

Continue

Added by Tulonge on December 20, 2011 at 6:30 — 4 Comments

Wadau kuna mtu hapa.Waweza tuonesha?

Hebu bofya kichwa cha picha hii ili uweze kutujuza huyo mtu alipo. Imewawia vigumu sana baadhi ya watu kubaini mtu huyo alipo.

Added by Tulonge on December 19, 2011 at 20:10 — 8 Comments

Mwanamke akamatwa na 1.5kg za cocaine zikiwa zimesokotwa kwenye "dreadlocks"

Bangkok – A South African woman was arrested at Bangkok’s international airport after police said they found 1.5kg of cocaine hidden in her dreadlocks.

Nobanda Nolubabalo (23) was searched yesterday when police said they noticed a white substance in her hair shortly after she stepped off a Qatar Airways flight that originated in San Paulo and flew through Qatar to…

Continue

Added by Tulonge on December 13, 2011 at 21:20 — 9 Comments

Nyongeza posho za wabunge kaa la moto

SPIKA MAKINDA AKIMBIA MDAHALO,WENGI WAZIDI KUPONDA

SAKATA la posho za wabunge limezidi kuingia katika sura mpya, baada ya Spika wa Bunge, Anne Makinda, kukwepa mdahalo uliohusu mada hiyo, huku Katibu wake, Dk Thomas Kashilillah, akitua mzigo kwa kutotaka ahusishwe tena kwenye mjadala huo.Wakati viongozi hao wa juu wa Bunge wakikwepa kuzungumzia suala hilo,…

Continue

Added by Tulonge on December 13, 2011 at 6:08 — 5 Comments

Askari auwawa kishujaa akipambana na majambazi Kenya

Shot Dead: Policeman, Shot By Gangsters

In Mombasa, 8th December 2011.This policeman won’t be home for Christmas.This brave cop,…

Continue

Added by Tulonge on December 10, 2011 at 10:55 — 7 Comments

Ni Kilimanjaro Stars au Uganda Cranes leo? Hebu tabiri matokeo mdau

Mashindao ya kombe la tusker leo yanaingia katika hatua ya nusu fainali ambapo timu yetu ya soka Tanzania (Kilimanjaro Stars) inakutana na Uganda Cranes. Mchezo huu utapigwa majira ya saa kumi jioni kwa saa za Afrika Mashariki. Mwaka jana timu hizi zilikutana katika hatua kama hii ya nusu fainali, Kilimanjaro stars ilifanikiwa kuitoa Uganda Cranes kwa njia ya mikwaju ya…

Continue

Added by Tulonge on December 8, 2011 at 6:37 — 15 Comments

Mwanamke amuua mumewe ktk mzozo uliojitokeza baina yao wa kutizama runinga,mke alitaka 'The Comedy' mume anataka Soka.

Mahakama ya Uingereza siku ya jana imemhukumu mwanamke kifungo cha miaka 10 jela kutokana na kosa alilolifanya la kumuua mumewe katika mzozo uliojitokeza baina yao kunako ni channel ipi inatakiwa kutazamwa kwenye Televisheni yao ya nyumbani.

Shirika la utangazi la Uingereza (BBC) limesema kwamba mwanamke kwa huyo kwa jina Leonora Sinclair, mwenye umri wa miaka…

Continue

Added by Tulonge on December 8, 2011 at 5:30 — 12 Comments

Taifa Stars yatinga nusu fainali Kombe la Tusker

Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) imefanikiwa kuingia hatua ya nusu fainali ya mashindano ya kombe la Tusker baada ya kuifunga Malawi 1-0 katika mcheo uliomalizika dakika chache zilizopita. Tunaitakia Taifa stars mafanikio katika hatua inayofuata ambapo itakutana na Uganda siku ya Alhamis (08 Dec).

Nini maoni yako…

Continue

Added by Tulonge on December 6, 2011 at 18:00 — 13 Comments

Pumzika kwa amani Mr Ebbo

Hatimaye Mr Ebbo apumzishwa kwenye nyumba yake ya milele jana Arusha. Tunakuombea upumzike kwa amani Ebbo.

Added by Tulonge on December 6, 2011 at 5:00 — 10 Comments

Uingereza yarejesha mabilioni ya rada

ZAINGIZWA AKAUNTI YA BoT LONDON, YAAGIZA WATUHUMIWA WABURUZWE MAHAKAMANI  

Patricia Kimelemeta

BAADA ya vuta nikuvute ya muda mrefu kuhusu kurejeshwa fedha za ziada zilizotumika katika ununuzi wa rada, hatimaye Serikali ya Uingereza imeingiza Sh29.5 bilioni kwenye akaunti ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT), tawi la Uingereza kama marejesho ya…

Continue

Added by Tulonge on December 6, 2011 at 4:26 — 5 Comments

Hali hii ya njaa inatisha wadau

Wanadamu tumekuwa tukijisahau sana pale tupatapo uwezo wa kupata milo mitatu kwa siku. Tunasahau kabisa kuwa kuna wenzetu ambao hawana uwezo wa kupata hata mlo mmoja kwa siku. Kwa kujisahau huku hupelekea watu kufanya matumizi mabaya ya chakula. Si jambo la ajabu kuona mtu anatupa chakula mara kwa mara pasipo kukumbuka kwamba kuna watu hawapati hata hayo makombo unayobakiza. Inabidi tuwe waangalifu na matumizi ya vyakula vyetu, nadhani ni vema mtu kupika chakula kulingana na matumizi ya…

Continue

Added by Tulonge on December 3, 2011 at 5:30 — 7 Comments

Mashtaka mapya watuhumiwa CCM

Katibu Mkuu wa CCM,Willson Mukama

NI WANAOTAJWA KWA UFISADI,TUME YA MAADILI YAZUA HOFU

MASHTAKA mapya yanaandaliwa dhidi ya makada wa CCM wanaotuhumiwa kwa ufisadi ndani ya chama hicho, kabla ya kufikishwa mbele ya Tume ya Maadili, kujibu tuhuma zinazowakabilia, Mwananchi…

Continue

Added by Tulonge on December 3, 2011 at 4:24 — 1 Comment

Cheka upate afya nzuri.

Mahojiano ya Mtalii na Kijana mwenye boti,

Mtalii: Do you know biology, psychology, geography and criminology?

Kijana wa boti: No.

Mtalii: What the hell you know on the face of this Earth? You will die of illiteracy!

Baada ya muda…

Continue

Added by Tulonge on December 2, 2011 at 17:16 — 16 Comments

Msanii na Producer wa muziki wa kizazi kipya (Mr Ebbo) afariki dunia.

Taarifa iliyoifikia Blog ya jamii hivi punde, inaelezwa kuwa aliyekuwa mmiliki na producer wa Motika Records na mwana muziki wa kwanza kuimba nyimbo zake kwa miondoko ya kabila la kimasai, Abel Motika almaarufu kwa jina la Mr Ebbp (pichani) amefariki Dunia usiku wa kuamkia leo baada ya kuugua kwa muda kidogo huko mkoani Tanga alikokuwa anaishi.

Mipango ya kusafirisha…

Continue

Added by Tulonge on December 2, 2011 at 10:30 — 8 Comments

Shule ya kwanza Duniani kufundisha mapenzi yaanzishwa huko Austria

Most Brits think it's an activity best learned behind closed doors.But an enterprising Swedish schoolmistress thinks otherwise.Ylva-Maria Thompson has opened the world's first international sex school to teach its students how to be better lovers.The Austrian International Sex School in Vienna offers 'hands on' lessons in seduction for £1,400 a term.The…

Continue

Added by Tulonge on December 1, 2011 at 16:32 — 12 Comments

© 2020   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*