Tulonge

Tulonge's Blog – December 2013 Archive (74)

Pale Rais wa Angola alipomlipa Mariah Carey bilioni 1.6 kwa onesho la dakika 120

Vikundi vya kutetea haki za binadamu Angola vilikuja juu kufuatia onesho alilofanya mwanamuziki maarufu Duniani Mariah Carey kwa ajili ya Rais Josè Eduardo Dos Santos kwa muda wa masaa mawili na kulipwa dola milioni 1 ambazo ni sawa na sh. bilioni 1.6 za Kitanzania. Onesho hilo lilifanyika katikati ya mwezi desemba mwaka huu kabla ya xmas.

Vikundi hivyo…

Continue

Added by Tulonge on December 31, 2013 at 8:00 — 15 Comments

Duh! Pale Serena Williams alipo vamia fani ya uwana mitindo

Mcheza Tennis maarufu Duniani Serena Williams alishangaza umati uliohudhuria onesho la mitindo kwa watu watu maarufu lililofanyika huko Bangkok Thailand baada ya kupanda jukwaani kwaajili ya kuonesha mtindo ya mavazi. Wengi walishindwa mtambua haraka alipopanda lakini baada ya dakika kadhaa waligundua kuwa ni Serena. Muonekano wa umbo lake lililoshupaa ndicho kilikia kivutio…

Continue

Added by Tulonge on December 31, 2013 at 7:20 — 7 Comments

Kazi kwenu, Rasimu ya katiba mpya hii hapaRais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akipokea Rasimu ya pili ya Katiba Mpya kutoka kwa…
Continue

Added by Tulonge on December 30, 2013 at 23:30 — 8 Comments

Rais amemteua Kamishna wa Polisi Ernest Mangu kuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini.

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya

Mrisho Kikwete leo, Jumatatu, Desemba 30, 2013, amemteua

Kamishna wa Polisi Ernest Mangu kuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini.Taarifa iliyotolewa usiku wa leo na…

Continue

Added by Tulonge on December 30, 2013 at 21:49 — No Comments

Mh.Mbilinyi asherehekea ubatizo wa mwanae

Dr. Mary Mwanjelwa siku ya ubatizo wa Mtoto Shasa Joseph Mbilinyi (Sugu) Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini (Chadema) katikati, mtoto akiwa…

Continue

Added by Tulonge on December 30, 2013 at 20:58 — No Comments

Wabunge waliochukua posho za safari bila kusafiri wakatwa kwenye mishahara yao

Katibu wa Bunge Dk. Thomas Kashililah akiwa ofisini kwake jana wakati wa mahojiano na mwandishi wa gazeti hili.Picha na Kelvin Matandiko

Dar es Salaam: Ofisi ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limewaanika wabunge 15, waliobainika kuchukua posho za safari bila kusafiri huku wengine wakikatisha safari…

Continue

Added by Tulonge on December 29, 2013 at 22:07 — 2 Comments

Mnakiona kiti cha nanihii kinavyowaka moto?

Added by Tulonge on December 29, 2013 at 21:46 — 3 Comments

Ujenzi wa barabara ya mabasi yaendayo haraka unaonyesha mafanikio makubwa

Ujenzi wa miundombinu ya ujenzi wa barabara ya mabasi yaendayo haraka  inayoendelea katika barabara ya morogoro eneo la Ubungo jijini Dar es salaam inaonyesha mafanikio makubwa tofauti na ilivyokuwa hapo awali licha ya kuwepo kwa baadhi ya changamoto ikiwemo tatizo la msongamano wa magari.…

Continue

Added by Tulonge on December 28, 2013 at 22:50 — No Comments

Ona mkusanyiko wa watu ulivyotengeneza sura ya Mandela

Katika pita pita zangu kwenye mitandao ya kijamii nilikutana na picha hii yenye mkusanyiko wa watu wa aina yake ambao ulipelekea sura ya Hayati Mzee Mandele kuonekana. Nilijaribu kufuatilia vyanzo vya picha hii ili kujua ilitokea nchi gani bila mafanikio. Nitawajuza baada ya kupata habari kamili kuhusu picha…

Continue

Added by Tulonge on December 28, 2013 at 22:24 — 3 Comments

Siri zafichuka kung’oka mawaziri

SIRI mbalimbali zimeanza kufichuka kuhusiana na ‘madudu’ yaliyokuwa yakifanyika, katika utekelezaji wa Operesheni Tokomeza, iliyowang’oa madarakani mawaziri wanne.

 

Siri hizo zimeanza kuvuja baada ya kubainika kuwa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda aliandikiwa barua mara mbili na aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk. Emmanuel Nchimbi juu ya ‘madudu’ hayo,…

Continue

Added by Tulonge on December 28, 2013 at 1:30 — 1 Comment

Serikali yatangaza majina ya waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza.

Serikali imetangaza watakaoingia kidato cha kwanza mwakani kutokana na matokeo ya darasa la saba ambapo wanafunzi 427,60 kati ya 844,938 waliofanya mtihani huo mwaka huu wamefaulu ikiwa ni asilimi 50.61 huku ikisisitiza hakuna asiyejua kusoma kuhesabu na kuandika .

 

Jumla ya wanafunzi 844,938 wamechaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza mwakani katika shule za…

Continue

Added by Tulonge on December 28, 2013 at 0:24 — No Comments

Gari lakamatwa likiwa limebeba maiti yenye dawa za kulevya

Kutoka Morogoro taarifa ni kwamba jeshi la polisi la mkoa huo limefanikiwa kukamata gari ndogo aina ya Spacio likiwa na mwili wa marehemu ambapo zoezi hilo limefanikiwa baada ya taarifa kutoka kwa wasamariawema.
Kamanda wa polisi mkoani mbeya Faustine Shilogile amesema walipata taarifa za kuwepo kwa gari hilo ambalo lilikuwa linatokea Mbeya kuelekea Dar.…
Continue

Added by Tulonge on December 26, 2013 at 10:37 — No Comments

Zaidi ya nyumba 400 zimefurika maji kutokana na mvua kubwa mjini Tabora

Zaidi ya nyumba mia nne zimefurika maji na wananchi wanatoka nje kwa tabu kutokana na mvua kubwa iliyonyesha zaidi ya saa nne, mjini Tabora, ambapo imeleta adha kubwa na kusababisha mifugo kama kuku na bata kusombwa hali ambayo imebainishwa inaweza kusababisha mlipuko wa magonjwa kutokana na vyoo kujaa maji.

 

Wakiongea na ITV wananchi wa kata ya Chemu Chemu waliokubwa na mafuriko hayo wamelalamikia ujenzi wa holela pamoja na kutokuwepo na miundombinu ya kupita maji haya ambayo…

Continue

Added by Tulonge on December 26, 2013 at 10:33 — No Comments

Mwakyembe afanya ukaguzi wa ghafla wa tiketi za mabasi ya mikoani

Waziri wa Uchukuzi,Dr Harisoni Mwakembe afanya ukakuguzi wa tiketi ilikubaini mabasi yaliyo toza gharama kubwa za nauli zakusafiria katika kipindi cha Xmass na mwaka mpya,badhi ya mabasi yalikamatwa nakuamuliwa kurudisha nauli zilizozidi abiria wao.zoezi hilo limefanyika majira ya alfajiri katika eneo la Visiga mkoani pwani na kila basi lilozidisha nauli lilitozwa faini ya shilingi laki mbili na nusu.…

Continue

Added by Tulonge on December 24, 2013 at 20:30 — 6 Comments

Watakie X-Mas Njema wadau wenzako wa tulonge

Added by Tulonge on December 24, 2013 at 13:53 — 5 Comments

Bei ya umeme juu

Na Shadrack Sagati

WATANZANIA wataanza Mwaka Mpya 2014 kwa maumivu, baada ya Shirika la Umeme (TANESCO) kuidhinishiwa kupandisha bei za umeme kuanzia Januari mosi.

Uamuzi huo uliotangazwa jana na Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (Ewura), utawalazimu wananchi kulipa zaidi ili wamudu kununua nishati hiyo muhimu katika shughuli za kila siku.

Hivyo, kuanzia Januari mosi mwaka ujao, watumiaji umeme wa majumbani watanunua uniti moja ya umeme kwa…

Continue

Added by Tulonge on December 24, 2013 at 12:32 — No Comments

Picha 3 za msanii Lulu akifanya mazoezi ya nguvu

Msanii wa filamu Tanzania Elizabeth Michael 'Lulu' akiwa amekunjwa na mwalimu wake wa mazoezi. Lulu ambaye anakabiliwa na kesi ya kumuua Steve Kanumba, amekua akionekana kujihusisha na ufanyaji mazoezi ya nguvu kwa nia ya kuweka mwili wake vema.…

Continue

Added by Tulonge on December 22, 2013 at 23:00 — 3 Comments

Wachezaji wanne wa Yanga wadaiwa kuuza mechi

Continue

Added by Tulonge on December 22, 2013 at 21:00 — 1 Comment

Mwalimu wa shule msingi awatia mimba wanafunzi wake wawili

Namanyere-Nkasi — MWALIMU mmoja wa Shule ya Msingi Sintali (jina tunalo) anatuhumiwa kwa kuwatia mimba wanafunzi wawili mmoja akiwa wa shule anayofundisha yeye na mwingine wa Shule ya Sekondari Sintali hali iliowafanya wanafunzi hao kukatisha masomo.

 

Tukio hilo limetokea Katika Kijiji cha Sintali, Wilaya ya Nkasi na baada ya taarifa kuenea kijijini hapo mwalimu huyo alitoroka kituo chake cha kazi na kukimbilia pasipo julikana. Akizungumzia tukio hilo Ofisa Elimu Msingi,…

Continue

Added by Tulonge on December 22, 2013 at 20:04 — No Comments

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*