Tulonge

Tulonge's Blog (2,496)

Mwenyekiti wa CCM Dar kizimbani kwa tuhuma za kusambaza ARV feki

Mwenyekiti wa chama cha mapinduzi -CCM, mkoa wa Dar es Salaam Ramadhani Madabida na wenzake watano wamepandishwa kizimbani kwa tuhuma za  kusambaza dawa bandia za kurefusha maisha  ARV na kuisababishia serikali hasara ya Sh. Milioni 148.3.Wakili wa serikali Shedrack Kimaro amedai mbele ya hakimu mkazi wa mahakama ya hakimu mkazi kisutu, jijini Dar es Salaam…

Continue

Added by Tulonge on February 10, 2014 at 20:30 — 3 Comments

Taarifa ya Wizara ya mambo ya nje kuhusu wafungwa wa kitanzania nchini China

Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa inapenda kukanusha taarifa za uvumi zinazosambazwa kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii na vyombo vya habari kuwa kuna Watanzania wapatao 160 wamenyongwa nchini China kwa kosa la…
Continue

Added by Tulonge on February 10, 2014 at 20:30 — No Comments

Zaidi ya kilo 200 za madawa ya kulevya zimekamatwa katika bahari ya Hindi.

Zaidi ya kilo 200 za madawa ya kulevya zimekamatwa katika bahari ya Hindi.

 

Zaidi ya kilo 200 za madawa ya kulevywa aina ya heroin yamekamatwa na kikosi cha polisi wanamaji katika bahari ya hindi yakisafirishwa kutokea nchini irani pamoja na mabaharia kumi na wawili kutoka nchi ya Irani na Pakistani.

 

ITV imefika katika eneo la bandari ya Dar es…

Continue

Added by Tulonge on February 4, 2014 at 22:06 — 5 Comments

Msimamo wa ligu kuu ya vodacom TZ baada ya michezo ya jana

Added by Tulonge on February 3, 2014 at 7:56 — No Comments

Rais Kikwete awakabidhi kadi za kujiunga na CCM baadhi ya wasanii maarufu Tanzania

Mwenyekiti wa CCM,Rais Jakaya Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Wasanii mahiri wa Filamu hapa nchini,mara baada ya kuwakabidhi kadi za kujiunga na chama cha CCM kwenye maadhimisho ya  miaka 37 ya chama hicho huko Mbeya jana.…

Continue

Added by Tulonge on February 3, 2014 at 7:30 — 15 Comments

Dodoma:Askari polisi 5 wamefariki papo hapo baada ya gari yao Corolla kugongana na Basi la Mohamed trans

Askari polisi 5 wamefariki papo hapo baada ya gari yao Corolla kugongana na Basi la Mohamed trans huko Dodoma.

 

Askari watano wa jeshi la polisi kituo cha polisi wilaya ya Kongwa wamefariki papo hapo katika ajali ya barabarani baada ya gari dogo aina ya Toyota Corolla walilokuwa wakisafiria kutoka Dodoma manispaa kwenda wilayani Kongwa kugongana uso kwa uso na…

Continue

Added by Tulonge on February 2, 2014 at 23:00 — No Comments

Mdau kuna ukweli hapa au la?

Added by Tulonge on January 31, 2014 at 21:43 — 5 Comments

Wabunge wa Tanzania wajiongezea marupurupu

Kumekuwa na ghadhabu nchini Tanzania kufuatia uamuzi wa wabunge kujiongeza maelfu ya dola kama marupurupu.

Pesa hizo wanasema ni mkono wa kwaheri.

Marupurupu hayo yatatolewa kwa kila mbunge wa bunge la Tanzania lenye wabunge 357 wakati watakapokamilisha muhula wao wa tano kama wabunge.

Kila mbunge nchini Tanzania, hupokea mshahara…

Continue

Added by Tulonge on January 31, 2014 at 21:39 — 4 Comments

Habari mbaya kwa walaji wa Kitimoto: Huenda wengi wao wakaja kupata kifafa

Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) kimehadharisha walaji wa nyama ya nguruwe nchini, kuwa wanakabiliwa na hatari ya kupata kifafa.

Utafiti wa kisayansi uliofanywa na SUA, umebaini kuwa baadhi ya nguruwe wana minyoo aina ya tegu ambao nyama yao ikiliwa bila kuiva vizuri, mlaji atapata minyoo hiyo ambayo huingia kichwani na kusababisha…

Continue

Added by Tulonge on January 24, 2014 at 12:27 — 24 Comments

Jamaa wakiiba mafuta toka kwenye tanki la lori mchana kweupee eneo la Tazara DSM

Bila wao kutambua, Kamera ya Tulonge iliwanasa vijana hawa watatu wakiiba mafuta toka kwenye lori la mafuta lenye namba T873 BHE eneo la Tazara barabara ya Nyerere DSM leo. Vijana hao walipata fursa hiyo baada ya lori hilo kusimama likisubiri taa za kuruhusu kuondoka. Kwa muda wa dakika chache, vijana hao walifika kwenye lori hilo na kufungua midomo…

Continue

Added by Tulonge on January 21, 2014 at 14:17 — 9 Comments

Baba wa kambo awachoma moto watoto wawili huku mama yao akishangilia

Askari wanaharakati  wa dawati la mtandao wa jinsia kulia na kushoto wakiwa wamemkamata mama wa watoto  hao tayari kwenda polisi…


Continue

Added by Tulonge on January 20, 2014 at 16:30 — 2 Comments

Lindi: 9 wafariki, 30 wajeruhiwa kwa ajali ya basi

Watu 9 wakiwemo watoto 2 wamefariki dunia na wengine zaidi ya 30 kujeruhiwa vibaya baada ya basi la abiria la Alhamdulilah linalofanya safari zake kutoka jijini Dar kwenda mkoani Mtwara kupinduka katika kijiji cha Mambulu Manispaa ya Lindi. Ajali hiyo iliyotokea mchana leo baada ya basi hilo kupishana na lori na kupoteza mwelekeo…
Continue

Added by Tulonge on January 20, 2014 at 15:30 — No Comments

Uhamisho na uteuzi wa Mawaziri na Naibu Mawaziri

Bofya hapo chini kupata taarifa kamili

Mabadiliko-Baraza-la-Mawaziri-2014

Added by Tulonge on January 19, 2014 at 23:11 — 1 Comment

Hii kali:Njia watumiayo baadhi ya wanafunzi wa China ili kujizuia wasilale wanaposoma

Kweli elimu si lele mama. Usingizi ni adui mkubwa sana wa ufaulu wa wanafunzi hasa kipindi cha mitihani. Mbinu mbalimbali hutumiwa na wanafunzi ili kuzuia usingizi wakati wa kujisomea. Nadhani hii inayotumiwa na wanafunzi wa China ni kiboko.…

Continue

Added by Tulonge on January 14, 2014 at 10:00 — No Comments

Nililala nikiwa naona, nikaamka na upofu

“Wengi wetu tunaishi bila kujiuliza maswali kama; “Itakuwaje iwapo siku nitaamka nikiwa sina uwezo wa kuona tena? Hatujiulizi maswali kama haya kwa sababu tunavichukulia vitu muhimu kuwa vya kawaida tu.”

 

“Hata mimi nilikuwa mmoja kati ya watu hao hadi Januari 2008, nilipopoteza uwezo wa kuona, mama yangu alikuja kuniamsha lakini jibu langu lilikuwa; siwezi…

Continue

Added by Tulonge on January 12, 2014 at 7:42 — 3 Comments

Hiki ndicho kilichowatokea waumini walio kula nyasi huko Afrika Kusini

Dada akitoka nduki kuelekea chooni pale tumbo lilipoanza kusokota baada ya kula nyasi

Hiki ndicho kilichotokea baada ya mchungaji Lesego Daniel mwenye kanisa lake huko Garankuwa, Kaskazini mwa Pretoria, nchini Afrika Kusini kuwaamuru waumini wake kula nyasi. Alidai kwamba binadamu anaweza kula kitu chochote kwa imani. Baada ya kula…

Continue

Added by Tulonge on January 11, 2014 at 14:00 — 6 Comments

Hii kali: Mchungaji awashawishi waumini kula nyasi

Moyo unanituma kusema huu ni Ujinga lakini ninasita. Tukio hili lilitokea Afrika Kusini pale mchungaji Lesego Daniel ambaye ni mchungaji mkuu wa ' Rabboni Centre Ministries' alipowafanya waumini wake waamini binadamu anaweza kula chochote jinsi roho mtakatifu atakavyo muongoza. Haikueleweka kama waumini hao waliongozwa na roho mtakatifu kwa wakati mmoja hadi kuanza kula majani…

Continue

Added by Tulonge on January 10, 2014 at 10:00 — 10 Comments

Watoto 3 wa familia moja wamefariki baada ya kugongwa na basi la Mtei wakiwa kwenye pikipiki

Watoto watatu wa familia moja ambao walikuwa wamepanda pikipiki wamekufa baada ya kugongwa na basi la Mtei express katika njia kuu itokayo Singida hadi Arusha ambapo baada ya tukio hilo wananchi wenye hasira waliamua kulichoma moto basi hilo.

Kamanda wa polisi mkoani Singida SACP Gefrey Kamwela amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo ambayo imehusisha basi la Mtei…

Continue

Added by Tulonge on January 10, 2014 at 0:16 — 2 Comments

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*