Tulonge

Tulonge's Blog (2,496)

Mama Yangu!! Dereva arushwa mita 20 juu kwa ajali ya gari (video)

Nimekutana na hii video clip mahali. Yasemekana ajali hii ilitokea China. Katika uchunguzi wangu nimeshindwa kugundua kama video hii imetengenezwa, ingawa kuna baadhi ya wadau wanadai imetengenezwa bila kutoa vigezo vya kiteknologia

Added by Tulonge on January 8, 2014 at 8:51 — No Comments

Zitto Kabwe apewa ushindi katika shauri lake la kipinga kujadiliwa

Mahakama ya rufaa kanda ya Dar es Salaam imempa ushindi mbunge wa Kigoma kaskazini Mh. Zitto Kabwe katika shauri lake la kupinga kamati kuu ya chama chake kujadili uanachama wake hadi rufaa aliyokata baraza kuu la chama hicho itakaposikilizwa na kuamuliwa.

Akitoa maamuzi ya kesi hiyo jijini Dar es Salaam jaji aliliyeendesha kesi hiyo John Utamwa amesema…

Continue

Added by Tulonge on January 7, 2014 at 23:47 — No Comments

Ujenzi wa daraja la Kigamboni kukamilika 2015

Ujenzi wa daraja la Kigamboni hautakamilika kama ilivyotarajiwa Januari 2015 na badala yake utakamilika Julai 2015 kufuatia mikondo ya maji kukutwa chini ya miamba iliyotarajiwa kusimamishiwa nguzo za daraja hilo na kulazimisha mkandarasi kuongeza urefu wa nguzo kutoka mita 64 hadi 84.

 

Katibu mkuu wizara ya ujenzi injinia Mussa Iyombe amesema hayo wakati…

Continue

Added by Tulonge on January 7, 2014 at 23:27 — No Comments

Rais Kikwete aongoza mamia ya waombolezaji katika mazishi ya Dkt. Mgimwa

 Kaimu Waziri wa Fedha Mhe…
Continue

Added by Tulonge on January 7, 2014 at 20:00 — 1 Comment

Nimependa uungwana wa Etoo: Amuomba msamaha Trafiki ili asitozwe faini

Booked: Samuel Eto'o appears to plead with a traffic warden in Milan

We all know how annoying it can be when you've barely been parked two minutes and a traffic warden somehow has a ticket on your windscreen before you can even blink.

No matter how much you plead or beg, the traffic warden refuses to give any quarter…

Continue

Added by Tulonge on January 6, 2014 at 8:00 — 9 Comments

Ramsey Nouah "I Slept Under The Bridge & Didn't Eat Four Days"

Famous Nigerian Actor, Ramsey Nouah

Those were the times when things got really bad for my mother and I, we had nothing. It was so bad that we didn’t have a home or shelter to live in. We had to stay in a store, a small store that could take only one mat.

My mother and I squeezed ourselves in that mat. We…

Continue

Added by Tulonge on January 6, 2014 at 7:30 — 2 Comments

Mapendekezo ya Mh.Mnyika juu ya Mgawanyo Mpya wa Manispaa za Jiji la Dar es Salaam

Mbunge wa jimbo la Ubungo(Chadema) Mh. John Mnyika

Nimepokea mwaliko wa kikao maalumu cha kikao cha fedha na uongozi wa tarehe 3/01/2014 kikao kufanyika tarehe 06/01/2013 saa nane mchana kujadili mapendekezo ya kuongeza maeneo mapya ya utawala katika Mkoa wa Dar es Salaam pamoja na ajenda zingine.

Nimeonelea tija…

Continue

Added by Tulonge on January 6, 2014 at 6:55 — 1 Comment

Kama na wewe huwa una'tweet' fitna na majungu juu ya Mh.Halima Mdee basi hii inakuhusu

Kupitia ukurasa wake wa Twitter, mbunge wa Kawe (Chadema) Mh. Halima Mdee aliandika ujumbe huo akiwapa taarifa wale wote wenye tabia ya kuandika maneno ya fitna na majungu juu yake.

Added by Tulonge on January 5, 2014 at 23:49 — 2 Comments

Chadema kimewafukuza uwanachama, Dr. Kitila Mkumbo na Samsom Mwigamba

Chama cha demokrasia na maendeleo -Chadema kimewafukuza uwanachama aliyekuwa mjumbe Kamati kuu taifa wa chama hicho Dr. Kitila Mkumbo na aliyekuwa mwenyekiti wa Chadema mkoa wa Arusha Samsom Mwigamba.

 

Akizungumza na waandishi wa habari na baadhi ya wanachama wa chama hicho jijini Dar es Salaam katibu mkuu wa Chadema Dkt Wilbrod Slaa amesema maamuzi hayo…

Continue

Added by Tulonge on January 5, 2014 at 23:00 — No Comments

Rais Kikwete aongoza wananchi kuaga mwili wa aliyekuwa Waziri wa Fedha Dkt. Mgimwa viwanja vya Karimjee Dar

001

Rais Jakaya Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete, wakitoa heshima za mwisho mbele ya Jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Waziri wa Fedha, marehemu Dkt. William Mgimwa, wakati wa shughuli za kuaga mwili huo zilizofanyika kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es…

Continue

Added by Tulonge on January 5, 2014 at 23:00 — No Comments

TPA yapata kigugumizi kuhusu shehena ya meno ya tembo na nyara za serikali

Mamlaka ya usimamizi wa bandari Tanzania TPA imepata kiguguzi na kushindwa kulitolea ufafanuzi suala la kukamatwa meno ya tembo na nyara nyingine za serikali licha ya wizara ya maliasili kukiri kuwa imekamata nyara hizo na bado ziko bandarini hapo.

 

Akijibu maswali ya waandishi wa habari jijini Dar es Salaam waliotaka kupata ufafanuzi kuwa yalikuwa yanatoka wapi…

Continue

Added by Tulonge on January 4, 2014 at 8:00 — 1 Comment

Benki Kuu yatoa sarafu ya 50,000/-

BENKI Kuu ya Tanzania (BoT) imetoa sarafu maalumu ya kumbukumbu ya miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar yenye thamani ya sh 50,000.

Gavana wa BoT, Profesa Benno Ndulu, alisema jana kuwa sarafu hiyo iliyotengenezwa kwa madini ya fedha kwa asilimia 92.50, imetolewa kwa ajili ya kumbukumbu tu na haitaingizwa katika mzunguko wala kutumika kwa kulipia malipo ya aina…

Continue

Added by Tulonge on January 3, 2014 at 8:53 — No Comments

Kinyago cha mtoto tumboni kwa mama

Hii ni moja kati ya picha zilizonifanya nikodoe macho kuitazama kwa dakika kadhaa asubuhi ya leo. Huu ni mwamba uliopo Antioquia, Colombia. Umechongwa na kuonesha taswira ya mtoto akiwa tumbuni kwa mama. Eneo hili limekua kivutio kwa wengi wapitao…

Continue

Added by Tulonge on January 3, 2014 at 8:33 — 2 Comments

Wanakwaya 6 walipuliwa kwa bomu Arusha

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Arusha, Liberatus Sabas

WANAKWAYA sita wa Kanisa Katoliki Parokia ya Mt. Kalory Rwanga, Usa River, mkoani hapa, wamelazwa katika Hospitali ya Misheni na ya Tengeru, Arumeru baada ya kujeruhiwa kwa bomu.

Walikutwa na masahibu hayo juzi muda mfupi baada ya kutoka kanisani kwenye Mkesha wa…

Continue

Added by Tulonge on January 3, 2014 at 8:12 — 2 Comments

Hapa ndipo marehemu Dkt. Mgimwa atakapozikwa

Katibu wa mbunge Dr Wiliam Mgimwa Bw Martine Simangwa akiwaonyesha viongozi  wa  CCM eneo ambalo waziri Mgimwa atazikwa  katika  kijiji  cha Magunga kata  ya Maboga  jimbo la Kalenga. Picha na Francis Godwin.…

Continue

Added by Tulonge on January 3, 2014 at 0:00 — 1 Comment

Tishio la kuonekana bomu laleta hali ya taharuki eneo la Shekilango DSM (video)

Taharuki imewakumba baadhi ya wapita njia na wafanyabiashara katika makutano ya barabara ya Morogoro na Shekilango jijini Dar es salaam,na kusababisha baadhi ya shughuli kusimama baada ya wapita njia wawili kuona kitu kinachodhaniwa kuwa ni bomu la kutupwa kwa mkono huku baadhi ya askari polisi wakiwa na kazi ya ziada ya kuwaondoa baadhi ya wananchi waliokuwa wakitaka…

Continue

Added by Tulonge on January 2, 2014 at 23:30 — No Comments

Pale Rais wa Angola alipomlipa Mariah Carey bilioni 1.6 kwa onesho la dakika 120

Vikundi vya kutetea haki za binadamu Angola vilikuja juu kufuatia onesho alilofanya mwanamuziki maarufu Duniani Mariah Carey kwa ajili ya Rais Josè Eduardo Dos Santos kwa muda wa masaa mawili na kulipwa dola milioni 1 ambazo ni sawa na sh. bilioni 1.6 za Kitanzania. Onesho hilo lilifanyika katikati ya mwezi desemba mwaka huu kabla ya xmas.

Vikundi hivyo…

Continue

Added by Tulonge on December 31, 2013 at 8:00 — 15 Comments

Duh! Pale Serena Williams alipo vamia fani ya uwana mitindo

Mcheza Tennis maarufu Duniani Serena Williams alishangaza umati uliohudhuria onesho la mitindo kwa watu watu maarufu lililofanyika huko Bangkok Thailand baada ya kupanda jukwaani kwaajili ya kuonesha mtindo ya mavazi. Wengi walishindwa mtambua haraka alipopanda lakini baada ya dakika kadhaa waligundua kuwa ni Serena. Muonekano wa umbo lake lililoshupaa ndicho kilikia kivutio…

Continue

Added by Tulonge on December 31, 2013 at 7:20 — 7 Comments

Kazi kwenu, Rasimu ya katiba mpya hii hapaRais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akipokea Rasimu ya pili ya Katiba Mpya kutoka kwa…
Continue

Added by Tulonge on December 30, 2013 at 23:30 — 8 Comments

Rais amemteua Kamishna wa Polisi Ernest Mangu kuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini.

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya

Mrisho Kikwete leo, Jumatatu, Desemba 30, 2013, amemteua

Kamishna wa Polisi Ernest Mangu kuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini.Taarifa iliyotolewa usiku wa leo na…

Continue

Added by Tulonge on December 30, 2013 at 21:49 — No Comments

© 2020   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*