kukithiri kwa vipigo kwa waamuzi wa mchezo wa soka hapa nchini hivi sasa,kumefanya baadhi ya waaamuzi wa mchezo huo kutakiwa kujifunza karate ili kujihami pale wachezaji wanapomshambulia.
Mksa wa kupigwa na wachezaji ulimpata mwamuzi israel nkongo katika mchezo kati ya azam fc na young african kwenye uwanja wa taifa ,baada ya wachezaji wa yanga kuona mwaamuzi…
ContinueAdded by jemadari mimi on March 21, 2012 at 20:59 — 4 Comments
Inasikitisha na kuhuzunisha juu ya picha hii,hivi naomba mniambie kuna haki hapa ya mwanamke huyu asiye na aibu na wala kutambua thamani ya utu wake,mama salma kikwete, anna kilango mpo wapi?
Added by jemadari mimi on March 15, 2012 at 11:11 — 23 Comments
Nakala ya injili ya miaka 1500 iliyopita ambayo imepatikana tena ktk kanisa moja nchini uturuki baaada ya kupotea kwa muda wa miaka mingi, ina utabiri wa kuja kwa mtume muhamad S A W baada ya masihi issa A S yaani yesu.
Maneno yaliyomo kwenye injili hiyo ya miaka 1500 iliyopitayanafanana sana na maneno ya Quraani tukufu na kijumla manenoyake yanakaribiana sana na…
ContinueAdded by jemadari mimi on March 3, 2012 at 17:10 — 5 Comments
Siku moja tu baada ya chuo kikuu cha dar-es- salaam kuwafukuza wanafunzi wake 43,Uongozi wa chuo kikuu cha Afya na sayansi shirikishi muhimbili[muhas], umewasimamisha masomo wanafunziwake 66 kwa tuhuma za kuwa vinara wa vurugu chuoni hapo.Mbali na hatua hiyo uongozi wa chuo hicho umeeleza kuwa mipango ya vitisho na uvunjifu wa amani chuoni hapo bado ipo na inaleta hofu kwa…
Added by jemadari mimi on December 16, 2011 at 9:22 — 6 Comments
Umati huu hapa si kwamba hupo kwenye sherehe fulani, balni mambo ya uswahilini haya wakishudia fumaninzi la mwanamke aliyekutwa na mwanaume asiye mume wake,huu umati wa watazamji waliokusanyikakushuhudia sokomoko hilo,inadawa dada huyo aliyefumani alichezea kichapo cha nguvu toka kwa m wenye mali,inadawai dada huyo alitolewa nje ya chumba akiwa hana chochote…
Added by jemadari mimi on December 15, 2011 at 16:47 — 6 Comments
Jumla ya wanafunzi567567 wamefaulu mtihani wa elimu ya msingi mwaka 2011,Akitangaza matokeo hayo jijini dsm, naibu waziri wa elimu na mafunzo Mhe, philipo mulugu[mb] amesema kiwango cha kufaulu kimeongeza hadi kufikia asilimia 58.28 ukilinganisha na cha mwaka jana,wanafunzi mwaka huu wameoneka kufanya vinzuri ktk masomo ya kiingereza;hisabati,sayansi na huku somo la kiswahili…
Added by jemadari mimi on December 15, 2011 at 15:45 — 7 Comments
Katibu mkuu wa umoja wa mataifa Ban Ki-moon,waziri wa mambo ya kigeni wa marekani Hillary clinton,waziri mkuu wa bangladesh shekh Hasina pamoja na waziri mkuuwa mali Cisse mariam kaidama sidibe ,wameungana na viongozi wengine kutoka kote duniani kwenye uzinduzi wa mpango wa kuunga mkono elimu kwa wasichana mjini paris.
Wasichana mil 39 kutoka kote duniani walio na umri…
ContinueAdded by jemadari mimi on December 14, 2011 at 13:38 — 4 Comments
Ama hakika hii ndio tanzania tunayosema inaamani na kuheshimu haki za raia,ebu angalia hawa askari wakimsurubu kijana huyu ambaye si kibaka bali ni raia mwema tu ,lkn kwasabau wao wanazozijua wakampa kosa la kuwakimbia na pikipiki wakati wakimsimamisha barabarani,lkn si kweli kijana huyu ni muuza maji na juice kwenye kituo cha basi,hata ilo pikipiki hajui.
Lkn ndio…
ContinueAdded by jemadari mimi on December 14, 2011 at 7:30 — 15 Comments
Huyu umuonaye hapa simnyama au mdudu ,bali ni mwanadamualiyekata tamaa ya maisha kufuatana na maradhi yanayomsibu.
Kijana Nguyen Duy Hai wa nchini vetnam hana uwezo kufanya kitu chochote kilezaidi ya kukaa chini au kujilaza kwani uvimbe kwenye mguu wake umekuwa mzito sana kiasi cha kufikia kilo 80 toka…
Added by jemadari mimi on December 13, 2011 at 10:12 — 8 Comments
© 2021 Created by Tulonge.
Powered by