Tulonge

Jemadari mimi's Blog – December 2011 Archive (7)

BILA ROHO MBAYA HUTOKI

Added by jemadari mimi on December 17, 2011 at 11:52 — 3 Comments

MUHAS NAKO KUMEKUCHA

Siku moja tu baada ya chuo kikuu cha dar-es- salaam kuwafukuza wanafunzi wake 43,Uongozi wa chuo kikuu cha Afya na sayansi shirikishi muhimbili[muhas], umewasimamisha masomo wanafunziwake 66 kwa tuhuma  za kuwa vinara wa vurugu chuoni hapo.Mbali na hatua hiyo uongozi wa chuo hicho umeeleza  kuwa mipango ya vitisho na uvunjifu wa amani chuoni hapo bado ipo na inaleta hofu kwa…

Continue

Added by jemadari mimi on December 16, 2011 at 9:22 — 6 Comments

FUMANIZI NOMA

Umati huu  hapa si kwamba hupo kwenye sherehe fulani, balni mambo ya uswahilini haya wakishudia fumaninzi la mwanamke aliyekutwa na mwanaume asiye mume wake,huu umati wa watazamji waliokusanyikakushuhudia sokomoko hilo,inadawa dada huyo aliyefumani alichezea kichapo cha nguvu toka kwa  m wenye mali,inadawai dada huyo alitolewa nje ya chumba akiwa hana chochote…

Continue

Added by jemadari mimi on December 15, 2011 at 16:47 — 6 Comments

HAWA NDIO WASOMI WETU

Jumla ya wanafunzi567567 wamefaulu mtihani wa elimu ya msingi mwaka 2011,Akitangaza matokeo hayo jijini dsm, naibu waziri wa elimu na mafunzo Mhe, philipo mulugu[mb] amesema kiwango cha kufaulu kimeongeza hadi kufikia asilimia 58.28 ukilinganisha na cha mwaka jana,wanafunzi mwaka huu wameoneka kufanya vinzuri ktk masomo ya kiingereza;hisabati,sayansi na huku somo la kiswahili…

Continue

Added by jemadari mimi on December 15, 2011 at 15:45 — 7 Comments

VIONGOZI WA DUNIA WAUNGA MKONO ELIMU KWA WASICHANA

Katibu mkuu wa umoja wa mataifa Ban Ki-moon,waziri wa mambo ya kigeni wa marekani Hillary clinton,waziri mkuu wa bangladesh shekh Hasina pamoja na waziri mkuuwa mali Cisse mariam kaidama sidibe ,wameungana na viongozi wengine kutoka kote duniani kwenye uzinduzi wa mpango wa kuunga mkono elimu kwa wasichana mjini paris.

Wasichana mil 39 kutoka kote duniani walio na umri…

Continue

Added by jemadari mimi on December 14, 2011 at 13:38 — 4 Comments

Ama hakika hii ndio tanzania tunayosema inaamani na kuheshimu haki za raia,ebu angalia hawa askari wakimsurubu kijana huyu ambaye si kibaka bali ni raia mwema tu ,lkn kwasabau wao wanazozijua wakampa…

Ama hakika hii ndio tanzania tunayosema inaamani na kuheshimu haki za raia,ebu angalia hawa askari wakimsurubu kijana huyu ambaye si kibaka bali ni raia mwema tu ,lkn kwasabau wao wanazozijua wakampa kosa la kuwakimbia na pikipiki wakati wakimsimamisha barabarani,lkn si kweli kijana huyu ni muuza maji na juice kwenye kituo cha basi,hata ilo pikipiki hajui.

Lkn ndio…

Continue

Added by jemadari mimi on December 14, 2011 at 7:30 — 15 Comments

Kabla Hujafaa Hujaumbika

Huyu umuonaye hapa simnyama au mdudu ,bali ni mwanadamualiyekata tamaa ya maisha kufuatana na maradhi yanayomsibu.

Kijana Nguyen Duy Hai wa nchini vetnam hana uwezo kufanya kitu chochote kilezaidi ya kukaa chini au kujilaza kwani uvimbe kwenye mguu wake umekuwa mzito sana kiasi cha kufikia kilo 80 toka…

Added by jemadari mimi on December 13, 2011 at 10:12 — 8 Comments

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*