Tulonge

Severin's Blog (11)

EAC Heads Sign the Monetary Union Protocal today in Kampala President Dr.Jakaya Mrisho…
Continue

Added by Severin on November 30, 2013 at 23:00 — 2 Comments

Kumbe kujiremba ndo kulimponza Masogange akamatwe Afrika Kusini

Taarifa zilieleza kuwa nchini Afrika Kusini mtandao uliowasaidia kina Masogange kupita na dawa za kulevya hapa Dar, pia ulijipanga kufanikisha upitishaji wa dawa hizo aina ya Cyrsatl Methamphetamine au “TIK” pasipo kubughudhiwa.

Taarifa zinaeleza baada ya Masogange na wenzake kufanikiwa kupita katika maeneo ya ukaguzi ya uwanja wa Oliver Tambo, Mangunga…

Continue

Added by Severin on August 17, 2013 at 22:57 — 1 Comment

Mke wa Samwel Etoo akiuka maadili ya Kiafrika alipokua akiogelea na Familia yake.

One of the most paid footballers of our time coming out of Africa Samuel Eto was enjoying some pool time with his family and God knows who took these pictures.

This is amazing and at the same time outrageous, the Ivorian wife of Samuel Etoo showed her asset to the world free of charge, what do you think about this African queen?…

Continue

Added by Severin on March 22, 2012 at 21:59 — 9 Comments

Mwanamke ajigeuza ‘Kiumbe Mnyonya Damu’

Look at me now: Domestic violence victim Maria Jose Cristerna became a ‘vampire’ help her recover. Photo: PA

‘Vampire Woman’ Helps Domestic Abuse Victims

A Mexican woman who turned herself into a vampire look-a-like after suffering years of domestic violence is helping other victims.

Mother-of-four Maria Jose Cristerna, who is…

Continue

Added by Severin on March 9, 2012 at 23:53 — 6 Comments

Kifanyike kitu gani kuwasaidia watoto wa mitaani?

Watoto wa Mitaani wanaosimama Mabarabarani kwa shughuli ya kuomba omba wakiwa wamelizonga gari lililokuwa limesimama kusubiri ruhusa ya Taa za kuongozea magari Barabara ya Morogoro road kutaka kupewa hela na mwenye gari hilo mchana wa leo.hali ya Watoto hawa kuongezeka mitaani ilazidi siku hadi siku na huku wengine wakifanya fujo iwapo hawapewi hela wanazozihitaji na wengine…

Continue

Added by Severin on February 27, 2012 at 22:34 — 5 Comments

Ghana: Kinyume na haki za wanyama,kijana akamatwa akifanya mapenzi na farasi ndani ya Zoo (Video).

Ghana - Kumasi: Horny zoo guard caught trying to have sex with a horse unaware he was being recorded.

The funny thing is that it was broad daylight and this idiot got completely naked and decided to screw the innocent horse.Our source says that this is not the first time he's slept with that particular horse.…

Continue

Added by Severin on February 27, 2012 at 21:00 — 16 Comments

Sitta matatani

Festo Polea  

WAZIRI wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta ameingia matatani baada ya Jeshi la Polisi nchini kutolea tamko ugonjwa wa Naibu Waziri wa Ujenzi, Dk Harrison Mwakyembe na kueleza kuwa hautokani na kulishwa sumu, huku likisema limefungua jalada kwa ajili ya uchunguzi wa kauli yake hiyo.Tamko hilo la polisi lililotolewa jana na Mkurugenzi wa Makosa…

Continue

Added by Severin on February 18, 2012 at 8:48 — 4 Comments

Pumzika kwa amani dada Whitney Houston.

Legendary pop singer Whitney Houston was found dead Saturday at a Beverly Hills, California, hotel, officials said. She was 48.

The entertainer, whose incredible talent was discovered at an early age, was pronounced dead at 3:55 p.m. (6:55 p.m. ET) at the Beverly Hilton hotel despite resuscitation efforts, a police spokesman said.

Beverly Hills Police Lt.…

Continue

Added by Severin on February 12, 2012 at 7:40 — 13 Comments

Uwoya na Wema wamsukumia madongo Jack Wolper

Tabia ya bifu baina ya wasanii wa filamu za kibongo yazidi kushika kasi. Hili lilithibitika pale Irene Uwoya na Wema Sepetu walipotwanga madongo makali msanii mwenzao Jackline Wolper pale walipokuwa wakihojiwa “live” na Mtangazaji mahiri Zamaradi Mtetema ndani ya kipindi cha “Take One & Action”.

Madongo haya yalianza pale Wema alipoanza…

Continue

Added by Severin on December 15, 2011 at 12:03 — 10 Comments

Wema Sepetu akiri kupokonywa Diamond wake na Jokete.

Ni ngumu sana kuamini kama binti wa kilokole anaweza kumpokonya mwenzake mchumba. Hili limewezekana baada ya Jokete kumzidi kete Wema kwa kufanikiwa kuwa na mahusiano na Diamond (Star wa Bongo fleva) ambaye inajulkana kuwa ni mchumba wa Wema licha ya kuwa na misukosuko ya hapa na pale katika mapenzi yao.

Tukio hili limethibitishwa na Wema pale alipokuwa akihojiwa katika…

Continue

Added by Severin on December 14, 2011 at 15:00 — 16 Comments

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*