Tulonge

Belita's Blog (3)

CHADEMA yaikalia kooni polisi kuhusu mauaji ya Morogoro

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimesema hakina imani na Tume iliyoundwa na Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) kuchunguza mauaji yanayodaiwa kufanywa na Polisi mkoani Morogoro wakati wa maandamano ya chama hicho.

Mkurugenzi wa Habari na Uenezi wa Chadema, John Mnyika alisema hayo jana Dar es Salaam wakati akitoa taarifa juu ya tukio la mauaji ya muuza magazeti wa…

Continue

Added by Belita on August 30, 2012 at 3:09 — 1 Comment

Whitney na Michael wanaweza rudia pozi hili endapo ni kweli watu hukutana mbinguni baada ya kufariki.

Ni pozi zuri sana,wanaonekana ni wenye furaha sana. Kama ni kweli watu hukutana mbinguni baada kufariki, basi nadhani Whitney na Michael lazima watakumbushia pozi hili. Sijui nani atakua mpiga picha huko walipo? Tunawaombea wapumzike kwa amani.…Continue

Added by Belita on February 13, 2012 at 21:30 — 17 Comments

Jamaa alazimishwa kufunga ndoa na MAITI ya aliyekuwa "girlfriend" wake.

Plans have been concluded by the family of a man, Ifeanyi Sunday, whose lover, Chinyere Ezeala, died in his home at Ejigbo, Lagos State, Southwest, Nigeria after rounds of sex, to marry the deceased as tradition demands in order to be able to bury her.

The late Chinyere was a final year student of the Lagos State University, LASU, Ojo before her death.

Families of the deceased and her lover allegedly reached this agreement at the Ejigbo Police Station where the matter was…

Continue

Added by Belita on December 17, 2011 at 20:32 — 5 Comments

© 2023   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*