KILA mwaka Serikali imekuwa ikiongeza kodi kwenye vinywaji, hususan pombe ili kukidhi bajeti ya mapato na matumizi yake. Hali hiyo husababisha bei ya pombe kupanda karibu kila mwaka na kuwaongezea mzigo wanywaji kwa kulazimika kuzama zaidi kwenye mifuko yao ili kugharimia kinywaji hicho.Kwa miaka yote hiyo wanywaji wamekuwa wakilia kimoyomoyo bila ya kuwa na mahali pa kupaza…
Continue